• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. mayenga

  Siku yangu imeharibika kwa video nilizotumiwa

  Usiku wa leo katika group moja la whatsup,kuna picha na video za mwanaume mmoja hapa Tanzania akimlazimisha binti (naamini si wake) kunyonya***ume wake. Binti huyo anaonekana akilazimishwa kufanya kitendo hicho. Taarifa za baadae na kwa mujibu wa picha hizo ni kwamba huyo mwanaume alipigwa...
 2. mayenga

  Tumekosa ustaarabu katika kusitiri miili ya wenzetu

  Ndugu wanaJF, Katika ajali iliyotokea juzi Arusha,kila mtu atakubaliana nami kwamba utaratibu mzima uliotumika katika kuwasitiri wenzetu haukuwa mzuri na sahihi.Jana katika kipindi maalumu cha Clouds TV,mmoja wa wazazi pia alilalamikia hili.Maiti za watoto zilizivyotolewa kwenye korongo,wengine...
 3. mayenga

  Orodha ya magazeti yaliyofutiwa usajili

  ORODHA YA MAGAZETI YALIYOFUTWA USAJILI 1. Sports Scene 2. Uzazi Bora 3. Elimu Haina Mwisho 4. Habari Maalum ya Uzima Tele 5. Lengo 6. Lishe 7. Mfanyakazi Huru 8. Mapinduzi ya Kijamaa 9. Ngao 10. Uhuru na Amani 11. International Diplomacy 12. Pambamoto 13. Tanztravel 14. Carmel 15. Sky Safety...
 4. mayenga

  Huyu bwana ni nani?

  Ukiangalia upande wa kulia wa picha ya Lowasa kwa nyuma,kuna huyo bwana mwenye shati la zambarau.Ni nani bwana huyu?-maana ameonekana kuwa close sana NA Mgombea.
 5. mayenga

  Walakini wa timu inayoambatana na Mgombea urais kwa tiketi ya UKAWA

  Ndugu zangu, Pamoja na kuyapenda mabadikiko kwa dhati,lakini Mbeba ajenda Mkuu,ambaye ndiye mgombea urais WA Ukawa kwanini anaambatana na wanachama aliyotoka nao CCM tu❔➖mfsno jioni hii kwenye taarifa ya habari channel ten,Lowassa anaonekana Yuko Njombe na wwtu alioambatana nao...
 6. mayenga

  ''Enchweke'': Sauti za waliokufa, inatokeaje mtu anaongea kwa niaba ya mfu?

  Wakuu, Sina kiswahili sahihi cha neno ''enchweke'' ambalo kwa lugha yangu ya kihaya ni hali ya mzimu wa mtu aliyekufa kumwandama mtu aliye hai na kumfanya aongee kile anachokitaka. Mara nyingi marehemu hupenda kutoa wosia kwa waliobakia kupitia mtu huyo. Nimeishuhudia mjomba wangu alipofariki...
 7. mayenga

  Elections 2015 Balozi Mahiga, Pinda, Kitine, Makongoro na wengineo jitokezeni. Ukweli utawaweka huru

  Ni takribani wiki mbili sasa mchakato WA kumpata mgombea ndani ya Chama tawala umemalizika.Katika michakato yote ambayo chama hiki imefanya,Ni wazi kuwa mchakato huu ulikuwa na changamoto kubwa kuliko yote. Wanachama wakongwe na wenye heshima zao kabla hata mchakato kuisha,walijitokeza na...
 8. mayenga

  Coronavirus disease: Mnaujua huu ugonjwa?

  Wakuu, Kuna ugonjwa huu unaitwa Coronavirus, nasikia unaambukizwa kwa njia ya hewa. Tayari umeua watu wawili ambao ni watu ninaowafahamu. Take care guys. ================================== Source: webmd
 9. mayenga

  Obama visit in Kenya

  YH.E Baraka Obama President of the United States of America has comfirmed to visit kenya for only 8 hours. The US Navy Seals will be in charge of all water bodies in East Africa. The USA Secret Service, CIA,FBI will take over the Role of kenya defense forces and all armed forces in Kenya...
 10. mayenga

  Tatizo la rangi kwenye TV naomba msaada

  Wakuu Nina flat screen yangu inch 34 haina muda mrefu inasumbua Sana kwa kutoa rangi zisizoeleweka na PIA imekata sauti.Naomba yeyote mwenye kujua tatizo Ni nini au anayemjua fundi mzuri WA tv anisaidie.Asante
 11. mayenga

  Mc pilipili contacts

  Wakuu Nina shida ya haraka na Mc pilipili,mwenye contacts zake aniwekee hapa tafadhali.
 12. mayenga

  Senene waua mtu Kagera

  Katika hali isiyo ya kawaida,mtoto mmoja katika wilaya ya Karagwe amekufa baada ya wale wadudu watamu kwa wingi wao kumshambulia na kumziba pua na mdomo. Hali ilivyo kwa sasa, wadudu hawa wamekuwa wengi kupita pengine miaka yote iliyopita. Taarifa za kuaminika kutoka Bukoba mjini ni kwamba...
 13. mayenga

  Tafakari tunduizi: Hivi Rais wa nchi hii anachaguliwa na nani?

  Ndugu zangu, Rais Mugabe WA Zimbabwe huwa Ana msemo mmoja maarufu kuwa,watu muhimu katika uchaguzi wowote ule,si mpiga kura,Bali mwenye kuhesabu kura.Ni Jana Tu,watu wengi,wamefurahia Mou Kati ya vyama vinavyounda Ukawa,hii kwa nchi yoyote ya kidemokrasia,Ni jambo jema Sana.Hata hivyo nchi...
 14. mayenga

  Salim Mwalimu ni nani

  Ni hivi majuzi Chama cha Demokrasia na Maendeleo,Chadema,kimepata safu yake ya uongozi.Miongoni mwa viongozi waliochaguliwa tena kwa kura nyingi,ni naibu katibu Mkuu,Zanzibar Salim Mwalimu. Kwa uelewa wangu,Salim Mwalimu,Ni mwajiriwa wa Kampuni ya Vodacom Katika nafasi ya upande wa masoko.Ni...
 15. mayenga

  football vs sex

  Football vs Sex. 1. Going to your bf/gf without being invited = OFFSIDE. 2. Dating a girl today and having sex on the same day = FREE-KICK. 3. Condom = GOALKEEPER 4. Condom breaks = PENALTY 5. Abortion = RED CARD 6. A girl with lots of energy = CAPTAIN 7. Having sex...
 16. mayenga

  Kwanini mchango wa harusi ni muhimu

  Wadau, Hapa kumekuwepo na mada chungu nzima,zikilalamikia michango ya harusi isiyokoma.Miongoni mwa watu ambao wamekuwa hawapendezwi na uwepo wa miichango mingi Ni Mimi mwenyewe.Lakini baada ya kutafakari kwa makini,nimegundua,wale wenye kuoa au kuolewa wanahitaji michango mingi zaidi na...
 17. mayenga

  Klabu ya wasoma vitabu Dar Es Salaam

  Wakuu! Sina uhakika kama wazo langu hili ni jipya!-ila ninadhani kitu hiki kinaweza kuwepo tayari.Ningependa kujua hapa Dar es Salaam,au hata waliopo mikoani kama kuna Clubs za wasoma vitabu;ambapo badae upata muda wa kushirikishana kile kilichosomwa na kupanua nijadala yenye afya.Mwenye kujua...
 18. mayenga

  Majina ya nchi hizi yametokea wapi?

  Wakuu, Kuna baadhi ya nchi ambazo hujulikana kwa kiingereza kwa jinsi zinavyojulikana;lakini nchi hizo pia katika llugha yetu adhimu ya Kiswahili unakuta zinaitwa majina tofauti.Mfano nchi kama Malawi inaitwa hivyo hivyo kw lugha zote;lakini angalia nchi zifuatazo; 1.England- Uingereza...
 19. mayenga

  Get well soon Paloma

  Wana MMU, Mpendwa Paloma ni mgonjwa! Amepewa bed rest kwa siku kadhaa na amepima vipimo vyote ugonjwa hauonekani.Inshallah!-mwenyezi Mungu mwingi wa rehema atamjalia apone haraka.Lets keep our finger closed and pray for our beloved daughter,friend,mentor and colleague. Get well soon friend!!
 20. mayenga

  zingatia haya

  WORDS FROM A FATHER TO A SON ABOUT MARRIAGE 1. My son, if you keep spending on a woman and she never asked you if you’re saving or investing, and she keeps enjoying the attention, don’t marry her. 2. My son, a woman could be a good wife to you, some could be a good mother to your...
Top