• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. M

  Membe: Musiba na Mchange anayewatuma kunichafua kwanini hamnipeleki mahakamani? Kama mnaweza kunirekodi mmeshindwa nini kutoa huo ushahidi

  haya mabilioni ulimpa wewe mkuu? au na wewe ni mbwekaji wa Taifa
 2. M

  Damu ya Lissu yawakomboa wanasingida dhidi ya shida ya maji

  baada ya damu ya lissu kumwaga na wasiojulikana sasa ni wazi damu yake haikumwagika bure. Kama Vile Damu ya Yesu ilivyomwagwa msalabani ma kuwa sababu ya wokovu wetu, wana singida wamejikuta matatizo yao ya muda mrefu sasa yakitafutiwa ufumbuzi. Mawaziri wawili wako singida wakisimamia miradi...
 3. M

  Askofu Mkuu Ruwa’ichi aanza kufanya mazoezi

  Habari nzuri sana
 4. M

  Rais Magufuli amjulia hali Charles Kitwanga aliyelazwa Muhimbili

  kama alivyoenda kumjulia hali lissu Sent using Jamii Forums mobile app
 5. M

  Tusahau mradi wa bomba la mafuta si mara ya kwanza kwa Museveni

  kweli Sent using Jamii Forums mobile app
 6. M

  Ufisadi mpya wa Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo

  Wanahaha kumchafua Mama hachafuki huyu ndo kiboko wa mafisadi
 7. M

  Mhe.Freeman Mbowe akiongoza kikao cha Baraza la Uongozi la Kanda ya Ziwa Victoria kilichofanyika Leo tarehe 20.10.2018 Jijini Mwanza

  saa ya ukombozi ni sasa sumaye kuna wakati muda utamtunuku amesimama na sisi hata kama watesi wetu hawapendi
 8. M

  Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Kikao cha Dharura. Ni Kikao cha kuwachinjilia mbali Kubenea na Komu

  chadema mkituingiza kwenye chaguzi zitakazogharimu 3bn kwa kushindwa kutatua migogoro yenu ya ndani hatutawaelewa. fanyieni kazi hiyo clip na mjisahihishe bima kutuadhibu sisi walipa kodi
 9. M

  Tuorodheshe majina ya waliopotea au kupotezwa katika mazingira ya kutatanisha

  acheni jokes it is about peoples lives
 10. M

  Je, ni salama kwa kiongozi mkuu wa nchi kufanyiwa dhihaka?

  nyie ndo mnatuharibia viongozi wetu kwa kuwafanya miungu isiyokosolewa. hakuna aliyemtukana Rais bali wanamkosoa yeye na serikali yake acheni uzombi
 11. M

  Yule kichaa aliyekuwa akipita Mikumi kwa miguu kaliwa na simba miezi 2 iliyopita

  World is not fair. Wamemwacha mpaka ameliwa na simba!
 12. M

  Wasifu (CV) ya Kamanda Simon Sirro

  1981 to 1984 He went Uru catholic seminary o level 1984 to 1987 high school in chemistry, Biology and Geograph at Tosamaganga secondary 1989 he joined UDSm where he studied Education He joined Policeforce in the early ninetees
 13. M

  Mbali na mke, kuna mwanafamilia mwingine aliyemtembelea Lissu Nairobi?

  Kuna ndugu wengi niliokutana nao wodink
 14. M

  Mbowe: Hadi sasa zaidi ya Sh. Milioni 100 zimeshatumika kumtibia Lissu. Dereva anaendelea na huduma ya kisaikolojia...

  Kwa hiyo ulichoweza kusoma hapo ni hiyo shs 100m tu? Sent using Jamii Forums mobile app
 15. M

  Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

  Tuwe makini this time anaweza kushtakiwa kwa uhaini au uhujumu uchumi Sent using Jamii Forums mobile app
 16. M

  Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

  HOJA ZA KUONGEZA MUDA WA URAIS ZIKEMEWE NA ZIPIGWE MARUFUKU KABISA! Katiba ya nchi ni kama msahafu kwa nchi husika, ni nadra sana kufanya mizaha na misahafu mitakatifu. Hivi karibuni wamezuka watu ambao kwa maono ni walevi wa mchana ambao kila kukicha wanazidi kuongezeka. Leo huko korogwe bila...
 17. M

  Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akamatwa akiwa uwanja wa ndege wa Dar akielekea Kigali

  In God I tell you dictator Your days are on hand of God Sent using Jamii Forums mobile app
 18. M

  Joseph Mbilinyi (Sugu), aiwakilisha CHADEMA mazishi ya mke wa Mwakyembe

  Sugu siyo mnyakyusa bali mkinga Akili yako ya kikabila ni fupi dana 78% ya wakazi wa jiji la Mbeya ni mchanfanyiko hakuna tena ukabila hivyo baki na ukabila wamo Sent using Jamii Forums mobile app
Top