• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. havier jr

  Changamoto gani unakutana nazo katika kujamiiana?

  awe anatembea na silaha maana kuna wanyama wakali
 2. havier jr

  Tuweni makini na marafiki tulio nao

  kikulacho..........mr nice
 3. havier jr

  Kijana wa kiume wa sasa tumejianda aje kuoa mwanamke aliyekuwa inspired...?

  dunia haijawah kuishiwa wanawake wapo wa kila aina
 4. havier jr

  Wadada mnaweza kuwa kwenye mahusiano bila kuomba hela?

  wadada waaminifu wapo sema hawana misambwanda/hawana shda na pesa
 5. havier jr

  Mambo magumu kwa mwanamke na suala la kufika kileleni

  ingekuwa hadi mwanamke afike kileleni ndo apate ujauzito hii dunia ingekuwa na watu 9:
 6. havier jr

  Hivi kwanini mtu akishaoa au kuolewa ndo yanaanza kuja mazari ya kukutana na wapenzi wengine wazuri zaidi?

  Mkuu hiyo kawaida kama vile mate na matembele,bangi na bangili,uchi na uchizi malizia ...........
 7. havier jr

  USHAURI: Serikali yapaswa ipitishe haya ili raia waweze kupambana na Coronavirus (COVID-19), la sivyo hali itakuwa mbaya sana

  acha tulipie uzembe uliosabishwa na serikali toka mwanzo ilishindwa kuonyesha react yoyote unashindw funga mipaka kisa watalii nani bora kati ya mwananchi na mtalii pesa ina thaman kuliko uhai wetu Nb:serikali imehusika kwa uzembe jtk hili.
 8. havier jr

  Wanaovaa makoti na kupiga picha na marefa na makapteni kwenye mechi za Ligi Kuu (VPL) ni akina nani?

  Soka letu, ligi yetu. Kivyetu vyetu mkuu usipate shida kuelewa
 9. havier jr

  Mungu nisamehe kwa nilichotaka kufanya

  Mungu akupe faraja
 10. havier jr

  Misukosuko: Bongo Movie Part 1,2,3

  misuko suko 1&2picha zangu bora ukitoa za kanumba pembeni
 11. havier jr

  Mo anahonga waamuzi

  Wapenzi na mashabiki yanga ifkapo mechi ya simba mnataadharishwa mje na vipenga vyenu uwanjani
 12. havier jr

  Bingwa EPL kaandaliwa?

  Dulljr acha hayo mambo liver wana alison vvd mo firmno mane trent gin keita arsenal tuna hawa mustaf saka gunduzi ozil.mzee bba vunga tupambane na khali zetu yakher
 13. havier jr

  Natamani nipate mume mwenye hela ila asiwe na kibamia 2020

  Mungu humuongezea mwenye nazo vipi wew una pesa ambazo zitamshawishi Sir God akupe mwenye nazo.
 14. havier jr

  Mchumba kakataa kuongea na mimi kwenye simu aliyopelekewa na mama yangu.NIFANYEJE

  aise itakuwa mvulana wewe sisi wanaume hatuna pigo za kiwaki
 15. havier jr

  Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambae hana mpango nawe.?

  kamwe huwezi kuunganisha mikono na ngumi iliyokunjwa
 16. havier jr

  Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  inauma hatuna namna inabidi tujipange imara kurudisha mashambulizi. rise and fall ni nyakati katik maisha.ya kibinadamu fall ni kipindi kibaya sana katika maisha hata wapendwa wetu lazima watukimbie hiki kipindi huwa na maumivu makali sana. lakini siku zote tumaini huwa lipo haijalishi upo katka...
 17. havier jr

  Haya ndiyo maneno ya ziada tuliyoongea na shetani kule bustanini

  majukumu hatuyakimbii cutelove but tnakimbia tabia maana nyie wanawake hamnaga kubwa wala dogo
 18. havier jr

  Ni sawa kupokea zawadi kutoka kwa ex?

  duuu hili nalo linahitaji mjadala. basi pokea tuu
 19. havier jr

  Haya ndiyo maneno ya ziada tuliyoongea na shetani kule bustanini

  Aise wanawake mna kazi kweli kweli. Kwanini mkiitwa vyombo vya kutustarehesha povuuuu kama lote.
 20. havier jr

  Utafanya nini endapo mpenzi wako kaku-block?

  katika vitu ambavyo hutakiwi kuviamini sana ni mapenzi.mkuu chukulia kawaida sana jitahidi kuyaweka mawazo yako mbali naye fanya shughuli zako zingatia ratiba zako kikubwa usiwe dhaifu acha kuwa mtumwa kwa mtu asiye na uitaji nawe. kamwe huwezi kuunganisha mkono na ngumi iliyo kunjwa
Top