• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. Typical

  Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

  masai dada, itia pitia humu utoe utoe tongo tongo kidogo Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Typical

  Uchaga na ukabila hautusaidii, tujifunze sisi watu wa Kanda ya ziwa

  Wachaga si wabaguzi ila wachaga wako aggresive mda wote kwenye kutafuta hela. Moshi ni kamji kadogo sana kwao, hata wao wenyewe hakawatoshi ndo maana wametapaka kila kona wakitafuta kipato. Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Typical

  Nisaidieni jinsi ya kufunga kampuni

  Nenda brela watakupa utaratibu wa kufunga kampunj Sent using Jamii Forums mobile app
 4. Typical

  Nimeijaribu hii series kumbe ni ya kipuuzi hivi, watu wameipendea nini?

  Money Heist ni series nzuri,story imejengeka vizuri Inawezekana isiwe nzuri zaidi ya prison break.
 5. Typical

  Nimepewa siri nashindwa kuitunza (roho inauma)

  Uchune tu, wala usimwambie chochote
 6. Typical

  Ngumi: Dullah Mbabe apewa kipigo cha mbwakoko nchini Uingereza

  Kachapwa kiboya sana
 7. Typical

  Wakina mama hujisikia vibaya watoto wao wa kiume wasiposhughulika na wanawake

  Wanaogopa usije ukawa Chak'uLa
 8. Typical

  UKIFUNGUA KAMPUNI NI KODI GANI NA GANI UNAHITAJI KULIPA TRA?

  1. Estimation on Income tax 2. Income Tax ( Mwisho wa mwaka, baada ya kujaza vitabu vya mahesabu na kukaguliwa na auditor) 3.Vat ( if registered) 4.Witholding tax on Rent Fee (11% of rent) 5. WCF 6. SDL Other Cost 1. Brela 2. Business Licence 3. Office Rent fee 4. Fire 5.Osha 6. Nssf
 9. Typical

  Great Brink’s Robbery: Wizi wa Karne

  swafi
 10. Typical

  Car4Sale nauza ist dpd kwa 9.5m fixed

  Weka number zako za simu
 11. Typical

  Wema aachiwa, akamatwa tena, azua kizaa zaa mahakamani

  kina madhara gani Hebu shusha nondo kidogo
 12. Typical

  Msaada wa kisheria

  Isije ikawa ni wivu tu unakusumbua
 13. Typical

  Bawasiri/Hemorrhoids: Ugonjwa wa kuota vinyama sehemu za siri; chanzo, dalili, tiba na kinga

  Unaona aibu kusema ni wewe
 14. Typical

  NDC yakopesha matrekta 442

  Yanapatikanaje haya matrekta Mwenye kujua ashushe nondo hapa
 15. Typical

  "Upendo wa kudumu" ( nilimuonea?)

  Sasa kama hukuwahi kumgegeda hayo ni mapenzi sawa na ya dada na kaka tu. Yanakuwa very strong.
 16. Typical

  Nilikuja kuelewa swali aliloniuliza baada ya kujua mtoto aliyezaa sio wangu!

  Demu malaya....!!! Shukuru mungu amekufunulia mapema tabia zake. Ungelea sana watoto wa wenzako
 17. Typical

  Kila nitakayemwambia naoa mchaga ananishangaa. Je, wana nini hawa?

  Wapalestina ni wamachame..!!! Hawa ndo walianzisha tabia ya kuua wame zao miaka ya nyuma. wapo mpakni na arusha, na wanapakana na mameru, hata lugha yao zinaingiliana na kimeru kwa kiasi flani. story behind ni kuwa miaka ya nyuma sana walikuwa wakipigana sana vita na mameru. Na wanaume zao...
 18. Typical

  Unipogundua boyfriend ana wapenzi wengine zaidi yako wewe ulifanya nini?

  Mara nyingu hao watu wako wa karibu wanatoaga green light.. Inaelekea jinsi unavyomwadithia story zako naye anasikia wivu, anatamani na yeye iwe hivyoo.. Na mwanaume natural, ana tamaa muda wote... si akijipitisha analiwa tu fasta..
Top