• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. klorokwini

  Suala la Kizushi

  Baada ya kusoma thread nyingi hapa MMU nimegundua kwamba linapotendeka kosa kwenye mahusiano watu wengi wanaelekeza lawama kwa mhusika na kusahau mazingira. Ghafla jana baada ya kukosa usingizi kutokana na kuibiwa saa yangu mpya kabila la Seiko nikajikuta najiuliza hili suali. Je Vishawishi...
 2. klorokwini

  You title it.......

  She is like an angel, amejawa na nidhamu Her smile is special, maneno yake matamu Highest above level, hakika hanishi hamu Sticked her my label, awe wangu wa kudumu. Akiwa karibu yangu, nothing I want more Yakimkosa macho yangu, my heart always sore Kama nyota na mbingu, please baby love me so...
 3. klorokwini

  Faida za Maharage

  Baada ya kufanya resechi wiki 2 mfululizo mimi na ex wangu bila waifu kujua, tumegundua kumbe hata maharage pia yana faida (hii ni habari njema kwa walalahoi), nitazitaja faida kwa kiswahili. NB: hii sredi yangu naomba isiwe sababu ya kupandishwa bei ya maharage nchini. Faida za maharage 1)...
 4. klorokwini

  Wizi Mtupu!

  Eti wanasema "Heshima ni kitu cha bure", mbona sisi walalahoi hatuitwi "waheshimiwa"? au hatustahili "heshima" au "kuheshimiwa" ? Wanasiasa bana! Nilikuwepo! wasalimieni JF Chit Chat
 5. klorokwini

  To You..

  aaah! mods naomba mic niwakilishe. oh! baby! nimekaa na kutulia, mengi nimefikiria Mawazo yamenijia, tangu tulipoanzia shairi nakutungia , nielewe my dia mwenzio ninaumia, please say wewe pia Kila nikikuangalia, kweli umekamilika nguvu zinaniishia, nikuite malaika? moyoni ninaumia, mwenzio...
 6. klorokwini

  Mgombea

  Mgombea: nitajenga daraja hapa kijijini Wananchi: Mheshimiwa! hakuna mto Mgombea: Nitachimba
 7. klorokwini

  dedicate this to your wife

  knock knock JF , leo niko kivyengine Commited to the life, yangu mimi na wengine About beautiful wife, wala si kitu kingine She makes my half, sikieni na muone Mpe hii mistari waif wako. kama unahisi imetulia, kama nimefuja, rembeeni madongo tu, klorokwini anakubali...
 8. klorokwini

  Vituko

  aahhh vituko hivi vituko, visikieni jamani jimama kakosa mwiko ,atumia wa jirani keshazua sokomoko,na gumzo mtaani hakukitaka kijiko ,alichonacho nyumbani. mwengine katuchekesha,vioja katuletea usiku kucha kakesha ,jasho limemuenea eti mawe achemsha,supu yake aisubiria hakika...
 9. klorokwini

  anza wiki.

  kuna njemba ilikuwa inamkong'ota na kumdunda waif wake vibaya sana mpaka yule mama akawa anaiogopa hii njemba vibaya sana. kuna siku hii njemba iliumwa ikaenda hospitali na ikatakiwa kupeleka mkojo, njemba ilirudi home na ikatia mkojo kwenye kichupa na kukiweka pembeni ya kitanda. wakati...
 10. klorokwini

  eti!!!

  unajifanya brazameni,tozi,bishoo halafu hela za starehe unaomba! aaakh! acha izo bana! .tafta kazi ufanye, acha kuturogea mitaji yetu.
 11. klorokwini

  gudi aftanuni

  mimi ni bonge la mbumbumbu flani hivi.nimejiunga kuskuma miwiki mbele tu. (makofi ,pah pah pah). kuna miblog kibao imeniomba nijiunge nimekataa. nikachagua JF (makofi tena ,pah pah pah). nikaribisheni basi sio mnauchuna kama serikali ilokosa feza ya bajeti.
Top