• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. Endeleaaa

  Kumbe mchakato wa Samatta kukipiga Uingereza ni mrefu hivi

  England sio Ufaransa. Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Endeleaaa

  Samatta mbioni kujiunga na Aston Villa

  Team ikishuka mchezaji anaweza kuuzwq kwenye timu nyingine. Si lazima ashuke na timu. Pale anatakiwa anaoneshe viwango vya akina Mane au zaha au Adama atauzika kwenye timu nyingine kubwa zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Endeleaaa

  Samatta mbioni kujiunga na Aston Villa

  Championship ya England inazidi ligi kuu ya Belgium kwa ubora. Angalia timu ya taifa ya ubelgiji ni wangapi wanacheza ligi ya nyumbani Sent using Jamii Forums mobile app
 4. Endeleaaa

  Magufuli Pumzika, yatosha sasa!

  Nani Alokuambia TL ndo anafaa kuwa Rais? Kitendo cha mangumashi ya kumpitisha Masha awe mbunge East Africa bila kupingwa na anajaribu kukikingia kisheria jaribu kufikiria angekuwa angeweza kufanya mangapi na mtindo huo? Mtu kuwa na maneno mengi haimaanishi waweza kuwa Rais Sent using Jamii...
 5. Endeleaaa

  DC Mtatiro: Marufuku kufanya Sherehe za darasa la saba, fedha za Sherehe wazitumie kuwasomesha wasiwe mzigo kwa Taifa

  Angeanza kufuta za chekechea kwanza. Kila mtu hupenda kufurahia hatua alofuzu kwenye maisha. Anataka kutuambia miaka saba ya mtoto kwenda shule haikuwa na maana? Kuagana na watoto wenzao na walimu waliokaa nao miaka saba si kitu kibaya. Labda angeweka muongozo wa namna shughuli itavyofanyika...
 6. Endeleaaa

  Suala sio Rais Magufuli kuongezewa muda, bali ni nani atayaendeleza haya anayoyafanya?

  Kama wana mkataba na Mungu kuishi miaka 15 ijayo sawa. Kitu pekee ni kuweka mifumo na sio watu. Mifumo bora inahitaji watu maalum kuitengeneza ila watu wa kawaida tu kufanya nayo kazi. Sent using Jamii Forums mobile app
 7. Endeleaaa

  Rais Magufuli aagiza Wajumbe wa NEC kusafiri bure na ndege ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada bure kurejea Dar es Salaam

  Wanakamati waenda kwa pipa, mwenyekiti kwa mandinga. Sent using Jamii Forums mobile app
 8. Endeleaaa

  Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

  Wajitahidi tu kuhalalisha uchaguzi kwa kumutumia media zao, ila ukweli leo hakukuwa na uchaguzi. Sehemu kubwa ya nchi
 9. Endeleaaa

  Tukubali au Tukatae tarehe 24 Novemba 2019 tunapiga kura...

  Itamshinda nani sasa wakati wataoenda kupiga kura ni wanaccm wenyewe, wengine watakuwa watazamaji tu.
 10. Endeleaaa

  Hofu ya Upinzani ni CCM kuwa imara tena chini ya Mzalendo Mwenyekiti Magufuli

  Siasa ni majukumu ya kila siku ya mwanasiasa. Sasa unaposema siasa zisifanyike kwamba utawala uachwe ufanye kazi ni upuuzi tu wa kufunika sababu haswa. Sababu ya kuzuia siasa za upinzani zisifanyike. 1. Ili kuzuia ukosoaji 2. Kuzuia vyama kukua. 3. Kuwasema wapinzani ila wao wasiweze kujibu...
 11. Endeleaaa

  Hofu ya Upinzani ni CCM kuwa imara tena chini ya Mzalendo Mwenyekiti Magufuli

  Kama Chama kiko imara kulikuwa na haja gani 1. kuzuia vyama vingine visifanye siasa baada ya uchaguzi mkuu. Wakati chama kinafanya siasa nchini nzima. 2. kuwatisha watendaji wa serikali wanaosimamia chaguzi kuwa akishinda mpinzani basi nae kapoteza kazi. 3. Kuzuia shughuli za bunge kuoneshwa...
 12. Endeleaaa

  ‘Terminal 3’ ya JNIA na vivutio lukuki vya ndege na abiria

  Unajua yeye analipa rent kiasi gani kuweka biashara hapo? Na je wajua kwa siku anauza vikombe vingapi? Kama huna uwezo wa kununua huduma wee tulia, wenye uwezo watanunua.
 13. Endeleaaa

  Kwa hili la Membe, nasimama na Rais Magufuli

  Nchi yoyote ili itawalike na ifuate sheria lazima Bunge liongozwe na upinzani. Maana Bunge ndio chombo pekee kinachoweza kumdhibiti Rais na Serikali yake. Lakini Bunge likiwa la mwenye Serikali basi wengine lazima waumie tu bila kujali Rais alie madarakani ni nani. Hakuna mwenye Serikali...
 14. Endeleaaa

  Maneno haya ya mtendaji mkuu wa Barrick kwenye uzinduzi wa kampuni ya Twiga yamenitisha sana

  Halafu wakamuuzie nani wakishachimba? Hujui soko la hayo makitu lina wenyewe wanaolishikilia worldwide.
 15. Endeleaaa

  Rais Magufuli kama kweli unatujali walalahoi tufungulie hili geti!

  Utoke kwenu mbagala uje kupumzika mnazi mmoja! Nani Alokuambia ulikuwa uwanja wa mapumziko? Pia mjue mambo yanaenda yakibadilika. Ndio maana unazungumzia vituo vya mabasi kisutu. Na sasa hakipo tena. Kulikuwa hakuna Mall pale sasa hivi kuna bonge la Mall. Tujifunze kubadilika na wakati...
 16. Endeleaaa

  Kwanini miradi mingi inaelekezwa Dodoma na Chato?

  Sio lazima timu ya Ligi kuu itoke chato hata hawa akina simba na yanga wasio na viwanja vyao watauhitaji. Ujinga pekee ulofanyika ni kuuweka uwanja wa uhuru na taifa sehem moja. Hapo ndo tulitakiwa kupiga kelele maana haviwezi kutumika vyote kwa wakati mmoja.
 17. Endeleaaa

  Kwanini miradi mingi inaelekezwa Dodoma na Chato?

  Ile kuanzia usa kupitia Njiro, uwanja wa ndege Arusha kwenda kuunganisha hadi namanga ilikuwepo wapi wewe
 18. Endeleaaa

  Kwanini miradi mingi inaelekezwa Dodoma na Chato?

  Zile awamu ambazo hamkuwa yatima mmefanyiwa kipi sasa na hao wa kwenu. Au wa kwenu walisahau kiwaUda hausubiri. Wamuulize Basil Mramba alivyojua kuutumia muda wake kwa wa kwao. Rombo yote asahivi fulu Lami. Kumekuwa Mji.
 19. Endeleaaa

  Rais Magufuli acha kutembelea nchi masikini hazitakusaidia chochote

  Obama Alikuja Bongo kufungua kanjia kule ikulu au umesahau!? Mwai Kibaki alikuja Bongo kufungua kanjia pale msasani drive au umesahau!? Anaendaje DRC bila kualikwa? Au udhani ziara za uraisi ni kama kama unavyojisikia kwenda bar?
Top