• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. PlayBoyMwema

  Nahitaji Kitanda na Godoro.. Nipo songea!

  Habari za wakati huu...!! Natafuta mtu anayeuza kitanda na godoro lake aniuzie ila viwe katika hali nzuri... Itapendeza kama size itakuwa 4x6 au 5x6 Mawasiliano.. 0620 344312
 2. PlayBoyMwema

  Kibongo bongo hii simu inauzwa maeneo gani?

  Habari za mida hii wakuu katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na hii smatphone ambayo imenivutia Tatizo linakuja sijui duka gan hapa Tanzania zinakouzwa na bei yake pia sijafahamu inasimamia shingap Smartphone yenyewe inaitwa vivo Nex S
 3. PlayBoyMwema

  Nahitaji kingámuzi cha startimes cha antena

  Nahitaji mtu aliepo Songea ambae anauza kingamuzi chake cha Startimes tufanye biashara ofa yangu ni 20,000 hadi 30,000 Mawasiliano 0754 085675
 4. PlayBoyMwema

  NAFASI ZA KAZI KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE.. WAHI SASA

  Kama una ndugu yako amemaliza kidato cha nne na yuko nyumbani anajua kuongea na kuandika kiswahili na kiingereza kwa ufasaha Na yuko tayari kufanya kazi kwa mshahara wa laki nane (800,000/=) MSALIMIE SANA MWAMBIE TUKO PAMOJA..!!
 5. PlayBoyMwema

  Nini tofauti ya Hospital na Hospice?

  Habari za mida hii mabibi na mabwana ningependa kufahamishwa tofauti ya neno HOSPITAL na HOSPICE Kuna movie nilikuwa naicheki lakin cha kushangaza eneo wanapotibiwa wagonjwa ambapo tumezoea kuona pakiitwa HOSPITAL (hospitalini) wenzetu wanapaita HOSPICE Naomba wajuzi na wataalam wa mambo ya...
 6. PlayBoyMwema

  Ndoto gani uliyowahi kuota ulivoshtuka ukashukuru kuwa ni ndoto sio uhalisia?

  Hebu tujikumbushe ni ndoto gani/zipi tulizowahi kuota ambazo hazikuwa nzuri kiasi kwamba tulivoshtuka toka kwenye hizo ndoto tulishukuru sana kuwa afadhali zile ni ndoto tu sio uhalisia Kwa upande wangu ndoto niliyowahi kuota ni ile ya kuibiwa gari la kampuni ambalo nililichukua kinyume na...
 7. PlayBoyMwema

  Mwanaume ukifanya hili jambo hapo ndio utagundua we ni malaya uliyetukuka

  Hamna kitu kibaya kwa mwanaume kama kurudia kutongoza mwanamke uliyewahi kulala nae kipindi cha nyuma. Wengi wetu huwa tunajitetea kuwa tukishalala na mwanamke maramoja alafu ikatokea tukaachana basi tunawafuta mawazoni kabisa kiasi kwamba ikipita muda fulan tukakutana nao tena hatuwezi...
 8. PlayBoyMwema

  Njia rahisi ya kudownload file lenye ukubwa wa GB 40 na kuendelea

  Habari zenu wakuu ningependa mnisaidie njia rahisi ya kudownload file La torrent lenye ukubwa wa GB 40 Kwa mtandao wangu wa voda(3g) nimecheki naona itachukua siku 2 hadi file lote likamilike kuwa downloaded Hivi haiwezekan nikadownload hili file la torrent kwa kutumia INTERNET DOWNLOAD MANAGER?
 9. PlayBoyMwema

  Ewe mwanaume Ukitaka kujua siri za mpenz wako subiri agombane na shoga ake

  Bado najiuliza hivi ni kwanini wanawake hamuwezi kutunziana siri ?..Urafiki wenu ni wa mashaka sana yani hamnaga kifua cha kutunziana mabaya na mazuri ya rafik zenu..why? Binafsi nimeshuudia pale ambapo mpenz wangu aligombana na rafik ake wa karibu sana wakaanza kutoleana siri zao ambazo kwa...
 10. PlayBoyMwema

  Mrejesho: Kuhusu yule binti niliechana nae kwa matusi na maneno ya kashfa

  Huu uzi ukipata wachangiaji wa kutosha nitaleta mrejesho kuhusu yule msichana aliekuwa mpenzi wangu lakin tuligombana na kuachana nae kwa matusi na maneno ya kashfa..stay tuned!!
 11. PlayBoyMwema

  Kitu gani kinaifanya simu itikisike (vibration)?!

  Habari zenu wadau, Nimekaa na kutafakari hivi ni kifaa gani kilichomo kwenye simu zetu ambacho huifanya simu i-vibrate?
 12. PlayBoyMwema

  Ndoto ya kurudi tena masomoni, huwa inamaanisha nini?

  Hebu chukulia imepita miaka takribani 15 au 20 kabisa toka uhitimu masomo ya ngazi flani mfano: elimu ya sekondari au chuo Lakini ghafla siku za karibuni unaota ndoto umerudi tena masomoni tena sio kwa kuanza upya ni katikati ya muhula wanafunzi wenzako wakiwa tayari wamesoma topiki nyingi...
 13. PlayBoyMwema

  Wanawake kwanini mnapenda wanaume wakorofi kuliko wapole?

  Kweli nimeamini mapenzi hayana formula unakuta mwanamke yupo kwenye mahusiano na lijamaa ambalo ni likorofi na libabe ambalo halimjali wala kumpenda kwa dhati hapo hapo kuna mwanaume mpole na mkarimu ambae anahangaika kuuteka moyo wa huyo msichana lakin msichana bado anamkataa mwanaume mpole na...
 14. PlayBoyMwema

  Madaktari mnalipwa mshahara mzuri lakini mnaishi maisha ya kuunga unga sana

  Katika kazi ambazo inasemekana zina mshahara mnono basi mojawapo ni kazi ya UDAKTARI.. Cha kushangaza ni maisha ya kuunga unga wanayoishi madaktari yaani unaweza kukutana na daktari mtaani ukadhani ni kichaa unakuta kavaa nguo hazijanyooshwa, viatu vichafu, nywele hajachana yaani yupo ovyo...
 15. PlayBoyMwema

  Natafuta application ya music player ambayo ni Gapeless playback

  Habari wadau kwa yeyote anaefahamu music player yeyote ya android au windows ambayo inaweza kuplay nyimbo kabla haijafika mwishon nyimbo nyingine inaingia hapo hapo
 16. PlayBoyMwema

  Tumeachana kwa maneno makali na matusi juu, vipi kuna chance ya kurudiana baadae?

  Nimeachana na aliekuwa mpenzi wangu lakini hatujaachana kwa amani tumetukanana sana na kutoleana maneno makali ambayo hayafai kuandikwa hapa. Lakini moyo wangu bado unampenda huyu msichana na nilijitutumua kurushiana nae maneno makali ili asinione zoba maana amezidisha dharau sana kiasi kwamba...
 17. PlayBoyMwema

  Msaada: Nachukia Samaki na harufu yake

  Hodi wanajamvi Naombeni msaada wenu mwenzenu nasumbuliwa na aleji ya Samaki kwa kifupi siwezi kula samaki hata harufu yake hunifanya nijisikie kichefu chefu CHANZO CHA TATIZO Tatizo hili lilinipata miaka 3 nyuma kuna msichana nilimpa ujauzito hivo akawa na aleji ya samaki alivoniambia tu...
 18. PlayBoyMwema

  Nahitaji iphone 5s yenye icloud lock

  Habar za leo wakuu Simu yangu (iphone 5s) imepasuka kioo hivo nahitaji kama kuna mtu ana simu kama hii yenye icloud aniuzie ili nitoe display niweke kwenye cm yangu Budget yangu ni efu 50
 19. PlayBoyMwema

  Hivi unaamini kuna wapendanao/wanandoa wanaofanana sura

  Habari za mida hii Kuna baadhi ya watu wanaamini eti kuna wapendanao wakiishi pamoja kwa muda mrefu au wakiwa na mapenzi ya kweli kati yao hupelekea sura zao kuanza kufanana Je ushawahi kukutana na wapendanao/wapenzi waliofanana sura zao hadi ukahisi ni ndugu wa damu??
 20. PlayBoyMwema

  Naweza kusex na mtu anaeumwa U.T.I ?

  Habari za leo wakuu najitokeza kutaka kufahamishwa kama ni salama kufanya mapenzi na mtu anaeumwa ugonjwa wa U.T.I ? Nauliza hivi kwa sababu siufahamu kiundani ugonjwa huu na imetokea mpenzi wangu anao..Je nikishirikiana nae kimwili anaweza kuniambukiza??
Top