• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. E

  Mbezi Mwisho Wekeni Round About

  Nimejaribu kuangalia pale kwenye makutano ya Mbezi na kuelekea Goba na Malamba Mawiki nimeona kama vile TANROAD wataweka taa kitu ambacho foleni yake inaweza kuwa kubwa kuliko ile iliokuwepo Ubungo. Nashauri waweke round about kubwa kabisa kama Ile ya Msamvu ili foleni ya Ubungo isihamie Mbezi...
 2. E

  Serengeti Lite inavyoitesa TBL

  Hii ni Kwa walevi tu. Nakumbuka TBL ziliva sana miaka ya nyuma. Ila tangu Serengeti Breweries walete hiki l bia cha Serengeti Light aisee jamaa wanauza balaa. Yaani ukienda bar utakuta zaidi ya nusu ni hako kabia. Halafu hakana harufu mbaya. Hongera mpishi na mgunduzi wa hako kabia.
 3. E

  2025 Yawezekana Akawa Kabudi

  Habari za asbh Kutokana na umahiri wa Kabudi katika wizara ya Sheria napenda kuamini ya kuwa huenda akaja kuwa kiongozi wa nchi hii. Binafsi nampenda anavyotoa maelekezo na majibu bila Shaka anaweza kumrithi mheshimiwa Dr Magufuli 2025. Nimefurahi pia alivyohamishiwa wizara nyeti zaidi ya Mambo...
 4. E

  Tundu Lissu fanya ufanyalo lakini usiwaamini sana CHADEMA

  Nakumbuka kipindi Slaa alivyopigania Sana chadema hadi ikapanda chati Sana. Watu walipenda CHADEMA Kwa kuwa na Imani na Slaa na sio akina Mbowe na wenzake wa Kili. Lakini mwishowe wanaletwa mtu mwingine agombee uraisi. Kwa hiyo na wewe kaka angu mpendwa hao watu USIWAAMINI kupita kiasi...
 5. E

  Tahadhari kwa wabunge wanaohama vyama vyao kwa sasa

  Huu ni itabidi wangu kwa wabunge na madiwani wanaohama vyama vyao kwa sasa na kurudi tena kwenye nafasi zao kwa chama kingine. Inaonekana kuwa wengi wanaohama vyama na kugombea tena wanafanya hivyo baada ya kiangali upepo wa siasa. Wengi wanaona kuhamia ccm kuna uwezekano wa kupita bila kupingwa...
 6. E

  Hili la wanajeshi kutumia ilani ya chama imekaaje?

  Juzi wakati Mheshimiwa Waziri wa ndani akihutubia maafisa wa juu wa vyombo vya ulinzi aliwauliza ni wangapi wana ilani ya chama na wanyooshe juu. Wakabaki kutazamana tu kila mtu anamuangalia mwenzake. Hivi jamani Afisa wa polisi, magereza, uhamiaji au zimamoto anatakiwa kutembea na Ilani ya...
 7. E

  Kesho kuna tamko LA kutaka aachiwe

  Kesho au kesho kutwa kuna tamko litakalowataka wamuachie mwandishi ili kuwaonesha wananchi kuwa hakuna udikteta. So hii kitu imetengenezwa kimkakati zaidi kufuta hisia za wananchi kuwa hakuna Uhuru. Keep waiting
 8. E

  Kilichotokea NEC ya CCM kina maana gani kisiasa?

  Ndugu wadau, Leo nilitoka siku ya kipekee kabisa na Umekuwa ni kama taratibu mpya ambao haujawahi kupokea hapa chini. Kupokea wanachama wapya zaidi ya 5 tena baada tu ya Nyalandu kuhama CCM. JE ni nini Hasa? Au ndio kukubalika Kwa Chama?
 9. E

  Tunamlaumu sana Rais lakini tutakuja kumkubali tu

  Ndugu wananchi wenzangu Poleni kwa tishio la njaa, ukame, ukosefu wa hela mfukoni na mengineyo mengi. Ila nionavyo mimi hali hii ya ukosekanaji wa hela mfukoni ni kama ya muda mfupi. Serikali inachofanya hapa ni kufumua mfumo fulani wa kiuchumi na kuanzisha mpya ambao hatukuuzoea. Naamini...
 10. E

  Jinsi kampuni za bia zilivyobadili gia angani

  Heri ya mwaka mpya wanywaji wote wa Bia, Kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu hivi sasa na hasa ukizingatia ya kuwa serikali imekuwa ikipandisha kodi kila mwaka kwenye Bia. Sasa TBL na SBL wameona isiwe shida, wameamua kushindana kuzalisha Bia ndogo zenye ulevi uleule kwa Bei nafuu ya 1500...
 11. E

  Mapendekezo ya namna bora ya kuhamia Dodoma

  Suala la kuhamia Dodoma sio gumu kama watu wanavyofikiri, pamoja na changamoto zake lakini litafanya tuwe na mji mwingine mkubwa angalau wenye watu hata milioni mbili siyo mbaya ili kuleta uwiano fulani. Mapendekezo yangu. 1. Zihame ofisi zote za wizara; yaani tuna wizara zipatazo 20 hivi...
 12. E

  Ndugai fanya hivi kulinda heshima ya bunge

  Habari za siku wadau wa jf Bunge ni chombo huru na linapaswa kulindwa ili kiwe na nguvu ya kutetea maslahi ya wananchi na taifa bila kujali vyama vyao. Kiongozi Mkuu wa chombo hiki ni Spika akisaidiwa na Naibu Spika, ambapo kazi ya kiongozi wa Bunge ni kuwaongoza wabunge bila kujali vyama vyao...
 13. E

  Naomba ushauri wadau nina shida kubwa

  Habari wana MMU Naanza moja kwa moja na tatizo langu. Mimi ni kijana wa miaka 28 naishi na mpenzi wangu ana umri wa 26. Kwa miaka mitatu ila hayuko tayari kuzaa wala kuolewa na mimi na anasema hayuko tayari kwa sasa, ila anakaa kwangu na mimi nampenda sana. Sasa nifanyeje ili anikubali.Je...
 14. E

  Mauaji ya Albino na Siasa za Tanzania

  Ndg wana JF napenda kutoa pole kwa wenzetu albino kwa Maafa yanayowakabili, Ila Nina kilio cha maswali nisiojua Majibu yake? 1. Ni kwa nini yatokee katika miaka hii ya 2007 hadi Leo? kumbukumbu zinaonesha kuwa hakuna Vifo vya aina hii viliwahi tokea Kabla. 2. Je inawezekana viongozi...
 15. E

  Ujumbe muhimu kwa mh. Samweli Sitta

  Mh, mwenyekiti wa bunge maalum la katiba, nasikitika kuona jinsi wajumble wanavyochangia rasimu ya katiba kwa kuitukana tume ya rasimu hasa Warioba. wewe Kama mwenyekiti ulipaswa kuwaongoza vyema wachangiaji na na bora ya kuchangina na kuepuka kuitukana rasimu Bali wajadili jinsi ya...
 16. E

  Samweli Sitta anafaa kuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba

  Baada ya kutangazwa kwa wajumbe 201 wa bunge maalum la katiba napendekeza wabunge hao wamchague Mh, Sitta kuwa Mwenyekiti kwa kuwa alionesha kulimudu vyema bunge la JMT haswa katika mambo yenye maslahi ya taifa. Natoa rai yangu kwa wajumbe wote 600 wasije chagua watu watakaopokea maelekezo...
 17. E

  Mapacha Wawili Katika Siasa za Tanzania

  Nikijaribu kuwaangalia hawa wanasiasa wawili vijana yaani; NAPE na ZITTO naona kama wanafanana kwa upande fulani; mfano; Tuanze na Nape huyu amekuwa akikosoa viongozi wake katika chama kwa kujitafutia umaarufu fulani, 1. Kabla hajapewa ukuu wa wilaya alipinga sana rushwa katika jengo la Vijana...
 18. E

  Ufafanuzi kuhusu vyama vya siasa kumiliki media

  Mara nyingi watu wamekuwa wakijiuliza ni kwa nini vyama vya siasa hasa upinzani hawana vyombo vya habari. Ukweli ni kuwa kwa mujibu wa sheria za tanzania chama cha siasa hakiwezi kuruhusiwa kuanzisha gazeti la chama au televition na radio za chama kwa kuwa itakuwa vigumu kukidhibiti chama kama...
 19. E

  Tazama jinsi serikali tatu zinavyoweza kupunguza gharama

  Ndugu wana JF wananchi wengi wamekuwa na maswali ni jinsi gani serikali itaweza kuendesha mfumo wa serikali tatu. huu ni mchanganuo nilioufanya na kuona kuwa serikali tatu sio mzigo mkubwa hata kidogo; 1. Bunge la sasa la Jamhuri ya Muungano Tanzania lina wabunge takribani 350 ikiwa ni pamoja...
 20. E

  Mbunge JUMA NKAMIA aonja joto ya jiwe

  Aliyekuwa mtangazaji wa TBC radio bwana Juma Nkamia amefyata mkia baada ya kurushiwa kombora la skadi huko jijini mwanza na aliyekuwa Mkuu wa BBC Swahili Tido Mhando. Bwana Juma Nkamia alikuwa akivisakama vyombo vya habari na waandishi wenzake akiwaita makanjanja, baadhi ya media alizozisakama...
Top