• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. Calnde

  Tangazo la Airtel na Mapenzi kwa watoto wetu!

  Mimi kuna matangazo nayapenda sana. Lipo la hili mtoto anaendesha ringi lake, linakanyangwa na gari, kisha anajaribu kulinyoosha kwa kajiwe, mama anamwona, anamnunulia baiskeli! Mimi linanigusa, linaonesha upendo mkubwa kwa watoto wetu! Unampenda mtoto mpaka anafurahi mwenyewe! Jamani...
 2. Calnde

  Tujikumbushe 'wachumba' wetu wa utotoni

  Kwa wale tuliozaliwa katika mazingira ya kitanzania halisi, mtakumbuka wakati wa utotoni wazazi walikuwa wanam-refer mtoto flani mwenzio kama 'mchumba' wako au wewe mwenyewe ulikuwa unatreat kama 'mchumba' wako. Hivi bado unamkumbuka? Mliwahi kucheza kibaba baba na kimama mama? Mliwahi ku...
 3. Calnde

  What's your best love song?

  Tuambiane! Whats your best love song? Like listening to it. Whether alone or with your love! Maana nyimbo zinahusika sana! Kwangu mimi, za kizungu 1. My endless love ~Diana Ross & Lionel Richie 2.I will always love you~Dolly Parton 3.I ve got a winner in you~Don Williams. Za Ki~Makinda...
 4. Calnde

  Why apple?

  Hellow MMU. Katika maeneo mengi nimeona apple likitumika kama ishara ya upendo/mapenzi. Wakati fulani niliona katika engagement pete imefichwa kati kati ya apple. Shemeji yangu wakati anaolewa wakati wa send off yake alimtafuta mumewe akiwa na mshumaa na apple. Wengine wanafikia hatua ya...
 5. Calnde

  Huko Kitchen Party huwa mnafundishwa/wanafundishwa nini?

  Naomba kufahamu dada zetu huko kitchen party huwa mnafundishwa nini? Maana nilisikia huwa mnafundishwa maadili. Namna ya kumtunza mumeo na watoto wako. Mapishi ya vyakula vizuri kwa mumeo na watoto. Usafi. Namna ya kumridhisha mumeo kimapenzi nk nk. . . Mbona bado matokeo hayaonekani baada...
 6. Calnde

  Imewahi kukutokea?. .

  Hivi imewahi kukutokea unaamka tuu huna mood na mpenzio/mkeo? Yaani hutaki tuu akusemeshe au awe karibu nawe! Sababu nini?
 7. Calnde

  Tofauti kati ya chama na Serikali (Jibu kwa wanaosema CCM imefanya mengi toka Uhuru)

  Nianze kwa kuwapa pole wale wapenda mabadiliko kwa namna mchakato wa katiba unavyokwenda. Mashaka yanazidi matumaini. Kwa hoja yangu, labda niweke mambo yanayoleta maendeleo kwa nchi yeyote A. Inherent factors ( zipo zenyewe kiasili. Hazifanywi na watu) 1. Rasilimali watu wenye ufahamu wa...
 8. Calnde

  5 Tips for a healthy relationship. (just a joke)

  1.Its important to have a woman who helps at home, cook, clean and have a job 2. its important to have a woman who can make you laugh. 3. Its important to have a woman who trust and doesnt lie to you. 4. Its important to have a woman who is good in bed and likes to be with you. 5...
 9. Calnde

  Wasichana kuwaitia wizi wapenzi wao (kisa cha juzi udsm). .

  Jumanne ya juzi kuna kijana mmoja alipigwa sana na kupoteza uhai udsm hall 1 kwa kuitwa mwizi. Uchunguzi uliofanyika ulibaini yule kaka hakuwa mwizi. Alikuwa boyfriend wa mwanadada mmoja ambapo inaonekana huyo dada alikula hela ya jamaa. Kabla ya kuitwa mwizi alionekana akizungumza kwa simu...
 10. Calnde

  Lets know women deeply. . . .

  One person once said 'The thinnest title in this world is on what men know about women'. Akimaanisha kitabu chenye kurasa chache zaidi kile ambacho kinaeleza wanaume wanajua nini kuhusu wanawake! Lengo hapa ni kujua hasa ni mambo gani ambayo mwanamke akifanyiwa na mwanaume ataona amethaminiwa...
 11. Calnde

  Jambazi lakamatwa na risasi 2040

  ITV, NEWS ZA USIKU. Jambazi sugu likitokea kigoma limekamatwa na risasi 2040 likiwa limefunga kwenye kiroba cha kawaida. Msako huo umekamata majambazi 300
 12. Calnde

  Kitu Perfume. . . .

  Je unajua umuhimu wa perfume kwenye mahusiano? Mpenzi wako anapokuwa na perfume permanent inatengeneza harufu yake ya kipekee inayomtambulisha. Sasa ikiwa hivyo inaongeza intimacy! 1. Freedom to hug and caressing 2. Long time staying together without getting bored 3. Comfort when u r...
 13. Calnde

  Kufanya haya mwanaume haipendezi. . . (Mwendelezo wa sisi ni wanaume bwana!)

  Kuna uzi uliokuwa unasema sisi ndo wanaume bana! Mimi naomba niendeleze kwa kutoa yale nnayodhani hayafai kwa mwanaume kufanya. . . 1. Haipendezi kubana matumizi kwa familia lakini kutumia kwa issue nyingne kama kupiga maji, gari nk 2. Haipendezi mwanaume kutokuwa na utaratibu wa kuwa na...
 14. Calnde

  Wanawake wapendelea zaidi kujifungua kwa kisu than natural way?

  Kuna habari kuwa kwa sasa wanawake wengi wanapenda kujifungua kwa operation 'kisu' kuliko natural way. Sababu ni kwamba baada ya kujifungua mambo hayarudi sawa as before! Wakuu, kuna ukweli hapa? Fact. Arusha, St Thomas hospital wanasifika kwa kuzalisha kwa kisu. The reason they recommend...
 15. Calnde

  Books, movies & sites that might help to do well in your relationship& marriage.

  Wakuu, nadhani tuwe na uzi utakaotusaidia materials kuhusu mapenzi, mahusiano and related matters! Knowledge is power. 1. Love to dare. Hiki ni kitabu cha kikristo kinachoonesha how married couples can solve their problems. Its a nice one with its movie called fire proof! 2. Courageous! This...
 16. Calnde

  Nivaeje baada ya kuolewa?

  Juzi tulikuwa sehemu na mada hii ikaibuka! Vipi mwanamke aliyeolewa avae vipi? Huyu dada aliyepekea hoja ianze ni mnene asiye na upungufu wa nyama mwilini! Bantu haswa! Lakini kavaa 'skini taiti', kishati kidogo kiloacha sehemu ya kifua chake kikubwa nje. Mguuni kipo kikuku! Mkononi ana pete ya...
 17. Calnde

  Kenya wazindua ujenzi wa bandari ya Lamu inayogharimu trillion 2 za Kenya

  Hapo sasa, wenzetu wanakimbia! Sisi je? Kigoma kuwa Dubai ya Africa? Viwanja vya kimataifa? Bandari zetu? Reli ndo tumeua!
 18. Calnde

  Swali mipango miji: Mwenge ni Stand au Soko? (Picha)

  Ukiwa hapa mwenge unaweza kutoelewa kama upo stand au sokoni!
 19. Calnde

  Rashidi Hamadi na JK, Guess anamwambia nini JK?

  Mheshimiwa CUF ni wanafiki sana, Mie ndo maana nawakubali ninyi CCM, si unaona ninavyikupigia debe mjengoni?
 20. Calnde

  Saluni inaweza kukuharibia pendo ati. . .

  Huduma za saluni (wanaume na wanawake) zimekua sana Tanzania. Ila kwa kweli zinaweza zikakuharibia pendo usipokuwa makini. Tazama 1. Huyu dada kaenda kutengeneza nywele, jilulize atakuwa anaongea nini mpaka atakapomaliza 2.Huyu dada anaoshwa na kupakwa rangi kucha na mwanaume! Jiulize...
Top