• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. KAWETELE

  Mbeya: Agizo la Rais Magufuli la kugawa eneo la Airport ya zamani kwa wamachinga latekelezwa

  Ikumbukwe eneo hilo liliombwa kwa Mh. Rais na Naibu spika Dr. Tulia siku ya tarehe 26 April 2019. Zaidi soma https://www.jamiiforums.com/threads/mbeya-rais-magufuli-ahutubia-wananchi-uwanja-wa-ruanda-nzovwe-agusia-usajili-wa-laini-na-machinga.1577226/ Tangu juzi wafanyabiashara wadogo wadogo...
 2. KAWETELE

  Wataalam wa umeme wa Solar nisaidieni kuhusu inverter

  Heri ya mwaka mpya wakuu.. Kuna fundi kamfungia bi mkubwa solar, tangu tarehe 30 December Sasa taa zinawaka ila inverter inawasha taa nyekundu na kupiga alarm. Fundi aliwaahidi kuwa jua likiwaka hali itakuwa shwari. Ila hali bado ni ile ile. Inverter ina 1000W batteries mbili za 12V. Kwenye...
 3. KAWETELE

  Mbeya: Majambazi yamewafanyia unyama wahudumu wa Bar ya Diwani wa CCM

  WATU wanaodaiwa kuwa majambazi, wamevamia nyumba ya kulala wageni ya Malema Lodge katika mtaa wa Sinde jijini Mbeya, inayomilikiwa na Diwani Viti Maalumu (CCM), Mary Malema, kisha kufanya ubakaji kwa wahudumu na mlinzi na hatimaye kupora fedha. Unyama huo waliufanya usiku wa kuamkia jana baada...
 4. KAWETELE

  CCM yapangua safu kimyakimya, Shaka Apelekwa mkoani

  Katika kinachoonekana kama mpango wa maandalizi ya uchaguzi mkuu na chaguzi za Serikali za Mitaa, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kupangua safu za uongozi kwa kuwagusa makatibu wake wa wilaya na mikoa huku baadhi yao wakirudishwa makao makuu. Katika mabadiliko hayo aliyekuwa kaimu Katibu Mkuu...
 5. KAWETELE

  Kilio cha Madaktari wanaomaliza internship Awamu ya Tano

  Anaandika Daktari Mpya mtaani aliyemaliza mafunzo ya utaraji (internship). "Jina kubwa" kuliko wallet. Unakutana na classmate wako wa o level anakuita kiongozi, mkuu, kamanda na anaenda maili moja mbele anakuita " Daktari". Meanwhile hauna kitu mfukoni zaidi ya nauli na maisha yako yamekuwa ya...
 6. KAWETELE

  Itakuwaje Bunge likikataa kuthibitisha Serikali kuhamia Dodoma?

  salaamu wana JF Serikali ya awamu ya tano chini ya Mtukufu Rais, imedhamiria kuhamia dodoma kutimiza ndoto ya muasisi wa taifa hili. ni jambo jema ingawa limekuja ghafla mno kiasi wachambuzi wa mambo wanahoji uharaka wa jambo nyeti kama hilo. Ikumbukwe kwamba suala la kuhamia dodoma haikuwa...
 7. KAWETELE

  Matumizi mabaya ya kodi, TBC taarifa ya habari ni CCM tu

  serikali ya awamu ya 5, imejikita katika kuhakikisha tunalipa kodi. hatukatai lakini inauma pale kodi zinapotumika kwa manufaa ya chama. waandishi wa TBC leo kazi moja kujikomba. inatosha kwa vyombo vya umma kusifia serikali ya CCM lakini siyo kuegemea mno kwenye chama hicho. shughuli ya leo...
Top