• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. twatwatwa

  cloudstv kuonekana Africa via dstv inawezekana?

  Hawa jamaa wa cloudstv wamezindua channel Yao kwenye dstv wanasema itapatikana Africa yote hii imekaaje wadau naona kama kuna kamchezo hapo maana channel zote za e.africa huwa azionekani s.a kazalika na za kwao azionekani kwetu wale wanaotumia beam ya sa naomba mtie neno hapa isije kuwa changa...
 2. twatwatwa

  Suzuki carry inauzwa Morogoro

  Waungwana gari tajwa inauzwa ipo ktk hari nzuri bei ni mil 6. 0784666975
 3. twatwatwa

  Wamasai wanted Morogoro mjini

  Kufuatia kitendo cha wamasai kumuua kwa kumkata mapanga kijana mmoja wa bodaboda huko katika mashamba ya Mgongola Mvomelo. Sasa sakata hilo limeamia mjini kila masai anaetia mguu mjini cha moto amekipa vijana wa bodaboda wemejioganaizi popote anapooneka mmasai wanamfanyia ambushi kubwa, jana...
 4. twatwatwa

  biashara ya pick up morogoro mjini

  heshima kwenu wakuu. Nina kigari changu kipo hapa mjini hakina kazi. Naomba kazi toka kwenu . Kinauzo wa kubeba mzigo wa tani na nusu adi mbili itategemea na mzigo na unapokwenda karibuni
 5. twatwatwa

  gereji inauzwa morogoro

  eneo la geleji linauzwa. Linaukubwa wa mita 70 kwa 35. kwa sasa kuna shughuli za ufundi wa magari zinaendelea. Uzio hupo na upande wa mbele kuna geti na vibanda vya biashara. Eneo limepakana na gereji zingine. Gereji hipo barabara ya mazimbu inatizamana na idara ya maji. MOROWASA na PECOH. Bei...
 6. twatwatwa

  Ruge wa Clouds yuko live kumjibu Jide

  ile cinema ya jide dhidi ya ruge na wajanja wenzie inaendela sasa kwa ruge kumjibu jide tegeni sikio kwenye redio cloudsfm sasa
 7. twatwatwa

  Ajali mbaya ya lori Kapunga

  Nimepigiwa simu toka huko kapunga Mbeya kuna ajali imetokea huko. Lori lilobeba watu zaidi ya 90 limeanguka ubavu na kubuluzika umbali mrefu watu zaidi ya ishirini inasemekana wametutoka huku wengine wemesambaratika viungo hasa mikono. Kwa walio Mbeya mnaweza fatilia hilo tukio,,nimepigiwa...
 8. twatwatwa

  TV Iman imebadili frequence

  Toka jana tv imaan imebadili freguenc zake toka 3780 v 1667 hadi 4069v 2500 kwenye sat hilehile intelsa 906
 9. twatwatwa

  Ting waingia mitini

  Hawa jamaa wameingia mitini hawapatikani tena kwenye sateliti walisema wanafanya marekebisho. Marekebisho gani hayo leo siku ya 6 naona wametutapeli kama gtv wabongo tumeliwa na mchungaji
Top