• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. Raaj

  Naomba msaada wa 'kufungua' unlock Kitochi 4G ya Vodacom kitumie mitandao yote

  Habari ndugu zangu wana Jf, Nimenunua Kitochi 4G ya Vodacom sasa ninahitaji huduma ya ku unlock hiki kitochi ili line namba 1 ikubari mitandao yote Asante Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Raaj

  Nahitaji huduma ya ku Unlock kitochi 4G

  Habari ndugu zangu wana jf, nahitaji huduma ya ku unlock kitochi 4G ya vodacom ili laini namba 1 iwe inasoma mitandao yote Asante Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Raaj

  Msaada: iPhone 5C ina tatizo la power button

  Habari za leo ndugu wana JF poleni na majukumu ya kazi,samahani naomba msaada wenu nimenunua iphone 5c siku 2 za mwanzo ilikua poa kila kitu lakini sasa hvi ina matatizo kama 3 hivi 1.Kuna muda hata kama simu siitumii inaleta ile screen ya kuzima simu yaani inakua kama nimebonyeza power button...
 4. Raaj

  Msaada kwenye hili la ku-root simu

  Habari za Leo ndugu wana jf,poleni na majukumu ya kazi naombeni msaada wenu ni kwamba nilifanikiwa Ku root simu yangu Samsung s3 sasa nikawa na flash ROM nikafanikiwa sasa wakati wa kuflash Gapp ikaandika error je naweza kuflash hiyo Gapp kwa Mara ya 2? Ni nini umuhimu wa Hiyo Gapp kwenye simu...
 5. Raaj

  Wataalamu wa umeme msaada please

  Habarini Ndugu wana jf, mimi nina solar watt 100 betri N70 dry cell ambazo nazitumia kwenye tv na kuwasha taa kama 5 tu tatizo linalofanya nijekuomba ushauri kwenu ni kwamba nyakati za usiku siifaidi kabisa hii tv maana umeme unawahi kuisha yaani kwa usiku maximum ni masaa 3 tu Nb: natumia...
 6. Raaj

  Msaada Iphone 4s imetumbukia kwenye maji

  Habari ndugu wana Jf, simu yangu iphone 4s imetumbukia ndani ya maji kwa muda wa kama sekunde 5 hivi nikafanikiwa kuitoa na kwa bahati nzuri ikaendelea kupiga kazi kama kawa ila tatizo ni kwamba sasa haitunzi moto kabisa tofauti na ilivyokua mwanzo je. Ni kifaa gani kimeharibika? na inaweza...
 7. Raaj

  Naombeni Ushauri Wenu

  Habari ndugu wana Jf poleni na majukumu ya kila siku kuna jamaa anataka kuniuzia iphone 4 kwa sh 170,000 ila ina tatizo la kufungwa laini inatumia laini za at&amp je inawezekana kuifanya simu hiyo itumie laini za nyumbani na itanigharimu sh ngapi? Thanks in advance
 8. Raaj

  NAHITAJI IPHONE 4 AU IPHONE 4s

  husika na mada tajwa hapo juu mwenye simu tajwa hapo juu anicheki tafadhari
 9. Raaj

  Recovery software's

  Habari ndugu wana JF . Ni juzi tu nilitoka kuomba msaada wenu kuhusu external hard disk nashukuru kwa msaada wenu niliweza kutatua tatizo hilo sasa tatizo linakuja kwenye ku recovery data zilizokuwemo kwa kutumia software zifuatazo:- 1.AESEUS RECOVERY Hii software inazisoma data zote zilizo...
 10. Raaj

  The file or directory is corrupted and unreadable

  Ndugu wana jf naomba msaada wenu hdd yangu sasa inaniandikia hivo mara niiwekapo kwenye laptop sijui tatizo ni nni na nilitatue vpi Asanteni
 11. Raaj

  Msaada: External Hard disk haisomi

  Habari za leo ndugu wana JF poleni na mihangaiko ya maisha, Naombeni msaada wenu external hard disk yangu haisomwi tena kwenye laptop yangu na ikitokea ikasomwa haionyeshi chochote yaani total storage na used storage Sijui nifanyaje ndugu zangu Thanks
 12. Raaj

  Your pc experience some problems

  Habari ndugu wana jf jana nilikua naangalia movie kwenye laptop yangu ghafla ikaandika your pc experience some problem neesd to restart ikarestart tokea hapo screen haionyeshi kitu chochote inakua black tu jamani naombeni msaada wenu Asanteni
 13. Raaj

  Msaada: Screen ya laptop yangu

  Ndugu wana JF naombeni msaada wenu, laptop yangu aina ya hp Elitebook 2530p haionyeshi kitu chochote kwenye screen baada ya kuwaka. Inaanza kuwaka vizuri inaleta logo ya window 8 halafu inanambia niweke password kama kawaida lakini baada ya hapo screen inakua plain kabisa. Msaada wenu...
 14. Raaj

  Your phone is hard to root

  Habari za leo ndugu wana Jf naombeni msaada jinsi ya kuroot samsung galaxy gt 7392 maana sasa nimechemka nimejaribu kuroot kwa kutumia vroot, root master na kingo root lakini zote zimekataa kabisa zinasena your phone is hard to root naombeni msaada wenu please
 15. Raaj

  Imenihuzunisha sana msaada please

  Habari ndugu wana jf poleni kwa usumbufu wangu wa kuomba msaada kila siku lakini ntafanya nini wakati sina ninachojua? TATIZO LANGU NI KWAMBA NILIKUA NA PICHA KWENYE MEMORY CARD AMBAZO NI KUMBUKUMBU MUHIMU SANA ZA FAMILIA LAKINI SUDDEN HAZIONEKANI NA WALA SIJA DELETE CHOCHOTE NAOMBENI MSAADA...
 16. Raaj

  Naomba kujua bei

  habari ndugu wana jf naomba kujua bei za portable laptops za kampuni ya acer,hp na samsung THANKS IN ADVANCE
 17. Raaj

  Inawezekana?

  Naomba kuuliza inawezekana ku upgrade kutoka kwenye certificate kwenda degree moja kwa moj?.
 18. Raaj

  Wataalamu wa umeme naomba msaada kwenu

  Habari ndugu wana jf baada ya kujipanga kwa muda mrefu hatimaye nimefanikiwa kununua laptop kutokana na ukosefu wa umeme nataka kununua betri ya gari na inverter halafu natumia kama source of energy je hii haiwezi kuharibu laptop yangu? Je umeme huo unaweza kutosheleza?
 19. Raaj

  Jinsi ya kubadilisha Custom rom

  habari ndugu wana jf naombeni msaada jinsi kubadarisha kutoka slimkat ROM kwenda cyanogenmod
 20. Raaj

  Msaada kwanini siwezi Ku-comment instagram

  Msaada please kila nikitaka Ku comment instagram inakataa sijajua shida hasa ni nini?
Top