• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

  1. E

    Kama ni miujiza Tanzania ya viwanda inawezekana, Kama ni Mpango mkakati tumeshindwa kabla ya kuanza

    Rais Magufuli anaweza kuwa na ndoto nyingi sana juu ya Taifa hili lkn naamini ameshindwa kabla ya kuanza. Tuanze na hiki ninachokisikia mara kwa mara kikitamkwa na rais na watendaji wake Tanzania ya viwanda. Je Tanzania ya viwanda yaweza kufikiwa? Jibu ni Hapana. Sababu ni zifuatazo. 1...
  2. E

    Kwa nini tusiachane na Disemba 9.

    Ndugu zangu Watanzania ili kubana matumizi yasiyokuwa ya lazima Kwa nini tusiache kuazimisha maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika ambayo limeshakufa tangu 1964 na tubaki tunaazimisha April 26 siku ya Muungano. Na fedha za maadhimisho ya Disemba 9 zipelekwe kwenye shughuli za maendeleo au kulipa...
Top