• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. denis eliah

  Je, kuna dawa za kuongeza uume, makalio, matiti na unene?

  Tume Kua Tukiona Au Kusikia Kila Siku Kuhusiana Na Matibabu Au Dawa Zinazo Tolewa Na Madaktari, Wataalamu, Matabibu Zinazo Husiana na kukuza maumbile ya binadamu kama umme, makalio, matiti, unene, na mengineyo... je ni kweli dawa hizi zipo 1:- kukuza/kurefusha/kunenepesha uume 2:- kukuza...
 2. denis eliah

  Baada Miaka 40 Matekani.

  Ndege Aina Ya Boeng 737 ya Nchin Ujerumani ilio Tekwa Ka Miaka 40 Na Kundi La Kigaidi Lililo Julikana Kana RAF -Red Army Fraction Likidhaniwa n La Palestina.. Ndege Hio Imerejeshwa Jana Baada Ya Kuachiwa Huru.. Huku Ikibebwa Na Ndege Shirika La Boeng AN 124 and AN IL 76.....
 3. denis eliah

  Kauli Ya Mhe. Nape, Je Nani Anakumbuka Kauli Hii,

  Kwakweli Nilipenda Sana KaulinYa Mhe. Nape Mpka Sasa Huwa Najiuliza Je.? Huwa Anajutia Au Huwa Anafurahia..? Kauli Hii..?
 4. denis eliah

  Je, wajua hili nalo lipo..?!

  *Kampuni Ya Kutengeneza Magodoro La Ergoflex La Uingereza Lilifanya Utafiti, Mwaka, 2013 na Kugundua Kuwa Wanaume Wengi, Mabachela, Hubadilisha Mashuka Kitandani Mara 4 Kwa Mwaka.*
 5. denis eliah

  Takribani watu 149 wamefariki baada ya tetemeko la ukubwa wa 7.1 kuikumba Mexico

  mpka muda huu jiji la mexico liko katika hatari ya kupatwa na idadi kubwa ya vifo vya watu pamoja na uharibifu mkubwa utakao tokana na tetemeko lililo ipiga jiji hilo... PRAY FOR MEXICO, PRAY FOR MEXICO... =============== A strong earthquake has struck central Mexico, killing at least 56 people...
 6. denis eliah

  North Korea yarusha tena kombora kupitia anga ya Japan

  Kama Kawaida Yake Kaamua Kuachia JAMBO lingine Upande Ule Ule Wa Japani Je Nn Maoni Yako, Ni Anafanya Majaribio au Anatafuta Sababu.. Serikali ya Japan imesema inapingana vikali na uchokozi huo usiovumilika, Jeshi la Korea Kusini limesema kombora hilo lilirushwa kuelekea Mashariki kutoka mji...
 7. denis eliah

  Naombeni Mnisaidie kuhusu internet download manager

  Mwenye Ujuzi Wowote Wa Jins Ya Kupata "Serial Number" za IDM au Internet Download Manager Naomba Anitumie Au Anipe Njia Ya Kuzipata... Ahsanteni Sent using Jamii Forums mobile app
 8. denis eliah

  Nahitaji hii kitu, mnaita Vespa, Scooter

  Watu wangu wa nguvu wa Zanzibar na Tanzania, nikihitaji huu usafiri used, au mpya nitaupata kwa bei ipi? Sent using Jamii Forums mobile app
Top