• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. C.T.U

  Huyu mtu ni nani mjini hapa??

  Nilianza kumuona GSM .. Mara namuona yupo na Taifa stars , inaonekana ni rafiki mkubwa na Mkuu wa mkoa DSM Huyu mtu ni nani? CV yake ,? Profile yake? Natangulisha shukrani
 2. C.T.U

  Bar gani unapendelea kwenda na kwanini??

  Mie napendelea kwenda Tripple B Goba... Sababu kuu ni wahudumu wenye makalio makubwa Taja baa zingine zenye sifa kama hizo mjini hapa Sent using Jamii Forums mobile app
 3. C.T.U

  SWALI:Ninaweza kucheza Lottery za Kimataifa ilhali nikiwa Mbagala kiburugwa

  Wakongwe habari... Kama swali linavyoonekana hapo juu ni kwamba je? ninaweza kucheza lnternational lottery programs kama vile Mega billionaire ya kule Marekani na zingine za nchi nyingine?? Je kuna lottery program yeyote ambayo ni ya kimataifa mtu yeyete duniani anaweza kucheza ? vipi maswala...
 4. C.T.U

  Brilliant adventure ni ya nani?

  Naiona inatanganzwa sana kuwa wanapeleka watu Russia Je ni mali ya nani?
 5. C.T.U

  JamiiForums karate club

  Wakongwe habari zenu aisee wote tunajua kuwa maisha yamebadilika sana kutokana na pilika pilika za maisha utafutaji wa fedha watu tunakuwa busy sana kwani ukiangalia ratiba ya mtu ni nyumbani, kazini halafu nyumbani ratiba hii inatoa fursa ya magonjwa kuanza kutunyemelea kwa sababu hatuna fursa...
 6. C.T.U

  Naomba kuelimishwa kuhusu masuala ya salute kati ya Jeshi na Polisi

  Wana Jf habarini za kwenu poleni na majukumu ya kila siku wakongwe naomba kuuliza ... naamini kuwa hapa ndio mahali pekee ambapo naweza pata maarifa ya mambo kadhaa... na kwa upana wake Leo swali kubwa ni kuhusu vyeo vya jeshi la wananchi na jeshi la polisi na suala zima la salute wanajeshi...
 7. C.T.U

  Biashara ya Bar, Sport bar na Night club Tanzania

  Habari wadau, natumai mu wazima humu, Kwanza napenda kuwashukuru kwa michango ambayo wadau mbalimbali wanatoa humu jamvini. Ni dhahiri kuwa forum hii inawasaidia watu wengi ambao wanaingia kwenye biashara mbalimbali na ambao wanafanya biashara mbalimbali sababu inajulikana kuwa biashara huwa...
 8. C.T.U

  Mada ya Kizushi: Kijiwe chenye Totoz Wikiend

  Ni sehemu gani naweza kwenda pata kinywaji moja moto moja baridi kipindi cha wikiend halafu mwisho nikaondoka na totoz kali high class ukiachana na totoz chafu chafu za la chaz na ambiance Sent using Jamii Forums mobile app
 9. C.T.U

  List ya Makampuni na NGOs zote zilizopo Tanzania

  Wakongwe habari zenu Nani anaweza nisaidia kupata database ya Makampuni pamoja na NGO s zote zilizopo Tanzania pamoja na contact zake Kama kuna link ambayo tunaweza kuingia na kukuta list ya Makampuni hayo nitashukuru sana Natanguliza shukrani...
 10. C.T.U

  Dar to Pretoria na gari private: Ushauri na changamoto zake plus gharama

  Wakongwe salaam, Nina mpango wa kuwasha ndinga kutoka Dar mpaka Pretoria South Africa hivi karibuni. Dhumuni hasa kuna mizigo miwili mitatu nataka nikafanye shopping kwa ajili ya biashara (mobile phones) Mizigo hiyo nina mpango wa kusafiri nayo kwenye gari kwa maana niweke kwenye buti. Lengo...
 11. C.T.U

  TCRA mkamateni Jovin Silayo ni tapeli

  Tcrl mkamateni jovin silayo anayetumia namba 0765696409 Ni tapeli sana anakupigia simu akijifanya ni mfanyakazi wa vodacom anakwambia masuala ya mpawa na mpesa Halafu anakwambia anataka kukupa bonus then anakwambia ufanye process Fulani iwapo ukifanya process hizo Jua kabisa Fedha za...
 12. C.T.U

  Njia rahisi ya kufika Pangani Tanga

  Wakuu, Kuna jamaa yangu kahamishiwa kikazi Pangani Tanga, sasa yeye ana gari ndogo aina ya Toyota Porte na alikuwa anataka ku drive na familia yake mpaka Pangani sasa anauliza the best way ya kwenda nalo hilo gari ni kupitia Tanga mjini then aitafute barabara ya Pangani au aende mpaka Mkata...
 13. C.T.U

  Top Ten Vituko 10 Vya Kona Bar Sinza Afrika Sana

  Nimeamia Sinza Africa Sana hivyo basi kutokana na kukaa sinza huku kituo changu cha kupata moja moto moja baridi ni KONA BAR umaarufu wa bar hii nadhani kila mtu anaujua sasa tokea niamie huku na kukaa zangu sana hapa nimeona vituko kadha wa kadha na hii ni top ten countdown ya vituko vya kona...
 14. C.T.U

  Kituo Cha Polisi STAKISHARI kinasemekana ndicho kinachoongoza kutoa dozi kwa wahalifu

  Hizi story ni za washkaji ambao wamekwishajichnganya kwa hawa jamaa kwa maana mamwela. Wenyewe wanakwambia wakikamatwa na POLISI kwa mahojiano wakiambiwa wanapelekwa STAKISHARI wenyewe wanakuwa wadogo,unaambiwa Stakishari wanatoa dozi iliyoenda shule. Hebu waliopitia mikononi mwa hawa jamaa...
 15. C.T.U

  Wenyeviti wa vyama vya upinzani na wao watuambie mishahara yao ni kiasi gani

  Wakuu salaam Hapo Nyuma kulikuwa na Kelele kuhusu mshahara wa Rais hoja hizo zilikuwa ni hoja za msingi ila sasa baadhi ya wanasiasa waligeuza kama ndio hoja ya kuwatoa kimasomaso Sasa tarehe 1/4/2016 Rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania aliamua kavunja mzizi wa fitna na kutuambia...
 16. C.T.U

  Wazee wenzangu wa Martial Arts Special Thread

  Wale wote wanaocheza Martial Arts Tanzania hapa njooni tubadilishane ujuzi kuanzia wale wa Japanese Shotokan (JAPAN) Aikido (JAPAN) Kick Boxing Tae Kwo ndo (KOREA) Muay Thai (THAILAND) HAWA NDIO KINA ONG BAK Ninjitsu (JAPAN) KungFu (CHINA) systema...
 17. C.T.U

  Kwanini wadada wa Bongo Movie kamwe hawawezi kutoka na matajiri wa Tanzania?

  Swali langu ni kuwa kwanini wadada wa Bongo Movies na madada wengi wa mjini kamwe huwezi kuta waatoka na matajiri wa hapa Bongo. maana hapa Bongo tuna MATAJIRI NA WAFANYABIASHARA Sasa mie naongelea Matajiri Kina; Michael Shirima GSM Fidah Hussein Salim Bakhresa Ali Mufuruki Manji Mo Abood...
 18. C.T.U

  Msaada kwenye uchongaji wa Funguo za magari

  Wakongwe habari zenu Aisee mie nilikuwa nina swali naomba kuuliza Ni kuwa kwa hapa Dar Es Salaam ni wapi naweza kuchonga funguo ya gari wakaniwekea na kichwa cha funguo cha PLASTIC ambacho ni kama vile vichwa vinavyokuja na Gari lenyewe Kwa maana ya hivi Maana funguo nyingi...
 19. C.T.U

  Nimchukulie Passo au Vits?

  Wakuu, habari yenu wakuu, Ninataka gari la haraka haraka ya kumchukulia wife kwani gari aliyokuwa anaitumia mwanzo ambayo ni Carina t.i nimeamua niiweke sehemu fulani iwe inatega, sasa nimekuwa na kibarua cha kumpeleka wife kazini na kumrudisha jambo ambalo naona linaanza kunishinda kwani...
 20. C.T.U

  Soma uujue AOKIGAHARA: Msitu wa ajabu Japan ambapo maelfu ya watu wamekufa kimiujiza

  Aokigahara au msitu wa kujiua au bahari ya miti ni msitu ambao una ukubwa wa 35 square- kilomita ambao uko karibu na milima ya fuji huko japan msitu huu ni msitu ambao mbali ya kuwa ni kivutio kikubwa cha watalii ni msitu ambao unasemekana kuwa una mambo ya ajabu, kutisha na kuogofya ni kawaida...
Top