• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. nurbert

  Mungu nisifikie kukata tamaa

  Uza simu upate nauli!! Kimfaacho mtu chake mkuu!!! Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
 2. nurbert

  Wimbo Wa Ukimwi Ulioimbwa Na TID

  Nilikua nazungumzia huu!! Nime Upata Kwa Mtu!! https://soundcloud.com/nurbert-elias-pola/tid-tuwalinde-ukimwi-umeenea Sent using Jamii Forums mobile app
 3. nurbert

  Wimbo Wa Ukimwi Ulioimbwa Na TID

  Hapana Sio Huo Sent using Jamii Forums mobile app
 4. nurbert

  Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

  Press Windows + R then type dxdiag then enter, nenda kwenye tab ya Display hapo itakupa taarifa zote kuhusu kadi yako Sent using Jamii Forums mobile app
 5. nurbert

  Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

  Kama Ni Video Editing Jitahidi Utafute Pc yenye Processor Kubwa kama Core i5 au 7, Card iwe nvidia atleast GeForce 720 kuendelea kulingana na utavyopangilia Budget yako Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
 6. nurbert

  PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

  pes 2019 nadhan nao uefa haitakuwepo.... kulikuwa na rumors kuwa konami wamevunja mkataba
 7. nurbert

  PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

  Kuna anaetumie ? Smoke Patch Execo 9.9 humu???
 8. nurbert

  Simu inaleta kujaza google account tu baada ya kuiflash

  Hyo kwa Kifupi inaitwa FRP ina njia nyingi za kutoa... na hyo simu yako hukuflash ila uli reset... maana simu za mtk na spd ukiflash huwa inatoka pia... lakini samsung hata uflash kwa odin inabaki... muhimu sema simu yako ni vodafone ipi maana zngine ni spd na zingine ni mtk... tutajie model...
 9. nurbert

  Msaada Wa Ku Unlock Router Vodafone r207-z

  Jaman Msaada Wa Haracka nahitaji maelekezo ya Ku Unlock Hii Kitu Thanks In Advance
 10. nurbert

  Hasara za Kukurupuka!, Jinsi ya kudownload nyimbo bure Wasafidotcom

  kwani bado iko uchi wakuu?
 11. nurbert

  Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

  huja install vcom drivers download hapa MTK USB All v1.0.1 - Official Website jinsi ya kuzi install angalia tutorial youtube
 12. nurbert

  Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

  http://spflashtool.com/download/SP_Flash_Tool_v5.1628_Win.zip
 13. nurbert

  Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

  yap lakini huwa tuna unlock kwa box.. na ni rahisi tuu...sina uhakika na hyo crack yamiracle box... maana nmewah tumiaikawa inafanya kazi zote isipokuwa unloacking... so jaribu kama itakubali... ikishindwa nenda kwa fundi aliye karibu nawe
 14. nurbert

  Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

  vfd 200 ni spd na inatolewa kwa box lolote linalosuport spd chip... kama unatumia infinity lazma u activate Infinity Chinese Miracle CM2SPD
 15. nurbert

  Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

  inategemea simu aina ipi? maana kuna zingine hata box hazitoi mpaka kulipia
 16. nurbert

  Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

  hii dawa yake ni kutafuta rom nyingine kama rom kibao zmegoma bas ujue hyo inaweza kuwa haifanani nA zingine... ndo maana unashauriwa ku backup bin au scater kabla hujaflash
 17. nurbert

  Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

  hata unapo badili imei kwa box lazma linakupa warning kuwa changing imei iz not legal
 18. nurbert

  Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

  mkuu mbna zx3 crack ina write na ku read certificate vizuri tuu... lakini kubadili imei ndo huwa ina leta error
 19. nurbert

  Installation ya kudownload movie..kwenye pc

  Popcorn time itakufaa sana ipo ya Pc na Ya Androids Chaguo ni lako ya Androids Hapa download popcorn time free (android) na Ya Windows pata Hapa Popcorn Time - Watch movies and TV shows instantly!
Top