• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. B

  Maoni yangu juu ya Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi (BRT)

  jamani ee pia watuambie mradi huu unakamilika lini mbon unaenda polepole sanaaa maana tumechoshwa na foleni hasa kuingia pale kituo cha Ubungo ni tabu kubwa sanaaaa! jamani tunateseka ! Magufuli mbona hatujasikia makali hapoooo!
 2. B

  habari ndugu

  habari ndugu
 3. B

  Shehe afumaniwa akibaka mwanafunzi

  Mimi naona mjadala mnaoendeleza ni wa kutaka kukashifiana dini sio lengo la forum hii! pembuene tatizo lillopo kwani hata ma padre ana wachungaji wamepatikana mara nyingi na scandal kama hizi! tusivuke mipaka! hakuna alyefariki halafu akafufuka na kutueleze kwa dini ipi ndio sahihi bali ni imani...
 4. B

  ''...Tanzania haitakalika''

  hebu tuchambue hoja yenyewe wala tusinganganie kukosoana! unajua kama vita unaisikia kwenye vyombo vya habari huwezi kuona kama ni kitu chenye madhara sana ni kama hakikuhusu nadhani hizi asilimia 40% za uchangiaji zitakapo ugusa mfuko wako ndio utaelewa machibya na wengine wanaomuunga mkono...
 5. B

  Ubabe ubabe zoeli la udahili UDSM

  jamani mbona mnataka kuturudisha kule nyuma tulipokuwa na wasomi wachache! maana watu 2000 wasiporejea chuoni ina maana hapo umetengeneza wahalifu, wazururaji , wangapi?
 6. B

  Ubabe ubabe zoeli la udahili UDSM

  Mpaka sasa ni vigumu kuelewa nchi hii vipaumbele vyake ni nini! ukienda Hospitali pale Mwananyamala au muhimbili wagonjwa bado wanalala chini! sasa Uchumi huu utajengwa bila elimu wala afya bora? jamaani jamani ya Zimbabwe yasije kutukuta jamani chondechonde! naona tunacheza! historia inatuambia...
 7. B

  Ubabe ubabe zoeli la udahili UDSM

  ama kweli binadamu ni wepesi kusahau! leo hii ndugu zetu watawala wameshiba na hawakumbuki tena kama kuna masikini ambaye hawezi kuikusanya hata laki moja kutimiza hiyo 40%. Dhuluma hii siku hiyo ya hesabu kutakuwa hakutoshi! naongea kama mdau ambaye nimepigika nimelipa hizo asilimia arobaini...
 8. B

  heri ya mwaka mpya wanajamii! hebu tutafakari mustakabali wa nchi yetu katika kipindi cha jamaa...

  heri ya mwaka mpya wanajamii! hebu tutafakari mustakabali wa nchi yetu katika kipindi cha jamaa kilichobaki na kilichofika jee tutafika?
 9. B

  Tanzania yakumbwa na uhaba wa chakula

  Uhhhhhhhhh! Aliyeshiba kawaida hamkumbuki mwenye njaa! Kwa kweli siku ya hukumu ya mwenyezimungu tutakimbiana!wanadamu tutakuwa na hali mbaya!
 10. B

  Tanzania yakumbwa na uhaba wa chakula

  inashangaza kwani wanaoteseka ni watanzania masikini ambo ndi wapiga kura na wanaowaweka madarakani na enjoy neema! na mara wanawasahau wateseke kwa njaa!
 11. B

  Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

  jamani ukabila mbaya hebu nadhani sote tumeshuhudia yanayotokea Kenya!
 12. B

  Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

  amakweli hujafa hujaumbika ! mtu ukijifanya mjanja ya mungu mengii!
 13. B

  UFISADI Kila Kona: Baraka za CCM KINGA ya Ufisadi BoT na Viongozi Mafisadi

  jamani viongozi wetu wawe na huruma ! watu wanabadilika sana na Misifa yote ya balali leo huwezi kuamini maana jamaa mapesa yalimgeuza kuwa mdudu! nadhani wapo wengi wa aina Hii
Top