• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. Popomtata

  Je solar panel ya 100watts unaweza kutumia vifaa gani?

  Mimi nina solar panel yenye cells 48 ikiwa na 150w pia battery ya 120w charge controller ya 30a! Swali langu endapo nitapata inverter je nitaweza ku run tv ya inch 32 yenye 45w, kin'gamuzi 15w, kwa masaa mangapi kwa kipindi cha jua kuchomoza na kabla ya kuzama?
 2. Popomtata

  ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

  A Asante sana mkuu ndo maana naipenda Jf
 3. Popomtata

  ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

  Jamani mimi binafsi naombeni mwenye wimbo wa Edina by Magereza Jazz afanye kuutuma kwa njia yoyote anayoona itafaa, kama link tuma, kama utaweza kuattach hapa sawa kama utanitumia kwa email basi tuma hapa mwalusasi@gmail.com Mpaka nafikia kuuomba kwenu huu wimbo ni kwa sababu ninaupenda mno pili...
 4. Popomtata

  Wireling bora ya Sola!

  Asante Mkuu
 5. Popomtata

  Wireling bora ya Sola!

  Boss umenipa maelezo ya kitaalam sana, baadhi nimeelewa lakini huko kwenye kanuni za kimahesabu siko vizuri sana, Lakini pia nataka kujua upotevu huo wa umeme unaweza kuwa zaidi,kuwasawa, au kuwa pungufu tukilinganisha na ule umeme utakaopotea kwenye wireling ya sola?
 6. Popomtata

  Wireling bora ya Sola!

 7. Popomtata

  Wireling bora ya Sola!

  Kwa hiyo kwa matuminzi ya DC pekee haitafaa mpaka niwe na Inverter?
 8. Popomtata

  Wireling bora ya Sola!

  Wakuu natarajia kupata panel ya 150w, Battery 120ah na Charger Controller 15a, mahali ninakoenda kufunga umeme haujafika ila nyuma tayari ina wireling ya Tanesco, je wireling hiyo itafaa kwa matuminzi ya DC pekee?
 9. Popomtata

  Wale wa madish ya ku-band na C- band pamoja na receiver pitia hapa

  Kumbuka Zuku Decoder ipo katika Pay Tv Subscription nadhani kisheria ni makosa kutumia decoder hiyo ikiwemo Azam, Ting, Startimes, n.k. Hivyo kama unapenda fta channels tatuta receiver ya FTA na dish kubwa upate kilicho cha halali!
 10. Popomtata

  Wale wa madish ya ku-band na C- band pamoja na receiver pitia hapa

  Kuzipata hicho channels unatakiwa kuwa na dish kuanzia futi 6 na receiver ya FTA lakini nzuri zaidi ni ile inayo support keys kama biss, powervu na dre
 11. Popomtata

  Wale wa madish ya ku-band na C- band pamoja na receiver pitia hapa

  Yaa unaweza kuwa sahihi kwa sababu miaka michache nyuma walijiita Freesat na Sasa wamebadili Brand wanajiita Gt Media. Ila nilichonacho mimi kina power ON/OFF
 12. Popomtata

  Wale wa madish ya ku-band na C- band pamoja na receiver pitia hapa

  Local sizipati kwa sababu dishi nimeelekeza position ya 68.5e ambako kuna zile za Discovery channels na HBO movies na za kihindi kibao!
 13. Popomtata

  Wale wa madish ya ku-band na C- band pamoja na receiver pitia hapa

  Ni Gt media v7 plus nimeipata Iringa kwa 150,000
 14. Popomtata

  Wale wa madish ya ku-band na C- band pamoja na receiver pitia hapa

  Haya ndo mambo nayoyataka, Jamaa upo vizuri sana! Mimi bana nipo iringa mjini, kuwapata mafundi dish wazoefu ni shida, Yaani unamwita fundi aje akufungie dishi yeye anakuja kwa kukariri position anayoijua sasa utapomwambia kuna position yako ulioichagua hapo utasikia amesahau spana mara pima...
 15. Popomtata

  [IFUFUE AZSKY G6] Jinsi ya kutumia CCCAM katika AZSKY G6 na QSAT

  Asante kwa ufafanuzi mkuu, kweli haya majanga!
 16. Popomtata

  [IFUFUE AZSKY G6] Jinsi ya kutumia CCCAM katika AZSKY G6 na QSAT

  Huu sasa ni mwaka 2019 nimejaribu kucheki updates mpya za masuala haya cccam naziona za miaka ya nyuma tu! kuna mwenye idea kuhusu hili? kama yupo atuambie aina za cccam accounts zilizopo now na zinazofanya vyema sokoni hasa kwa soko la Afrika na pia satellites muambato bila kusahau bei!
 17. Popomtata

 18. Popomtata

  Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

  Asante nimekuelewa
 19. Popomtata

  Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

  Na soko kama hili la Jumia hapa kwetu Afrika kwa uzoefu wako hasa kuhusu usalama wa pesa na huduma hali iko vipi maana naona hili halitajwi kabisa!
Top