• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. Ngamanya Kitangalala

  Tanzania na uwekezaji

  Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wawekezaji inatarajiwa kuanza kutekeleza miradi miwili mikubwa kabisa ya kimkakati( Strategic projects) katika ukuaji wa uchumi wetu Kwanza, ni mradi wa kuchakata gas asilia, Liquefied Natural Gas( LNG) plant katika mkoa wa Lindi, mradi huu...
 2. Ngamanya Kitangalala

  Nafasi za kugombea kuwa mtumishi wa wananchi, sio vita ya kufa na kupona

  Tanzania nchi yetu kama ilivyo kawaida kila baada ya miaka mitano, tunafanya uchaguzi mkuu wa kupata viongozi wa kututumikiakatika kipindi kingine cha miaka mitano Sasa tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2020,Kwa muda mrefu kumekuwepo na dhana potofu juu za nafasi za kugombea za...
 3. Ngamanya Kitangalala

  Umuhimu wa uwanja wa ndege wa kimataifa Chato

  Kumekuwa na upotoshwaji mkubwa kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Chato Kwa nini uwanja wa ndege Chato???? Ukisoma ilani ya uchaguzi ya CCM mwaka 2015- 2020, imeelekeza ni lazima serikali ichukue hatua za makusudi kukuza sekta ya utalii nchini, ili ifikapo 2020, Tanzania iwe...
 4. Ngamanya Kitangalala

  Hivi kuhama chama kwa mujibu wa sheria mpya ya vyama vya siasa ni nini?

  Ni kipengere kipi hicho kwenye sheria mpya ya mabadiliko ya vyama vya siasa?
 5. Ngamanya Kitangalala

  Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

  Tuache uzushi wa kijinga
 6. Ngamanya Kitangalala

  Tundu Lissu anapotosha, hakufuata utaratibu wa matibabu ya viongozi wa umma

  Unajua wakati mwingine tuache ushabiki tu, kwa kutaka kufanya siasa kwa kila jambo Kama nilivyosema siku za nyuma, na nitaendelea kusema, binafsi nilisikitika sana kwa kitendo cha kinyama alichofanyia kiongozi wetu mh Tundu Lissu , na kama mzalendo nitaendelea kulaani kitendo hicho ni kitendo...
 7. Ngamanya Kitangalala

  Uwanja wa ndege Chato na utalii nchini

  Uwanja wa Chato una manufaa makubwa kwa uchumi wetu kwa siku za usoni, hasa katika kukuza sekta ya utalii nchini kwa upande wa circuit ya magharibi Kwanza, kabla ya kuendelea na mjadala huu, nawashauri mkasome ripoti ya utafiti iliyofanywa na World Bank 2014 , kuhusu hali ya uchumi wa...
 8. Ngamanya Kitangalala

  Rais Magufuli ajijengea heshima kubwa duniani kote

  " Nilikuwa nineenda kwenye shughuli za kikazi nchini Panama , nikiwa jijini Panama City, niliingia ndani ya mgahawa mmoja, nilipojitambulisha natoka Tanzania, mmiliki wa mgahawa aliniuliza You come from Tanzania? Tanzania of Magufuli? Magufuli is the king of Africa Mh Magufuli* ni Rais...
 9. Ngamanya Kitangalala

  Sh. Bilioni 13.9 kukarabati Bombardier nchini Canada

  Naomba, kwa niaba ya wazalendo wenzangu wa Isansa Mbozi nitoe ufafanuzi kuhusu na kilichoandikwa na gazeti la *NIPASHE* la leo tarehe 14 January 2019, kwenye kichwa cha habari _"Bil 13.9 kukarabati Bombadier Canada"_ Ni kwamba tarehe 10 mwezi huu, mh waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na...
 10. Ngamanya Kitangalala

  Kuhusu ukarabati wa Bombadier zetu

  Naomba, kwa niaba ya wazalendo wenzangu wa Isansa Mbozi nitoe ufafanuzi kuhusu na kilichoandikwa na gazeti la NIPASHE la leo tarehe 14 January 2019, kwenye kichwa cha habari _"Bil 13.9 kukarabati Bombadier Canada"_ Ni kwamba tarehe 10 mwezi huu, mh waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na...
 11. Ngamanya Kitangalala

  CAG Vs SPIKA

  Binafsi pamoja na uelewa wangu mdogo katika sheria, ili niweze kulielewa vema sakata hili ninesoma vitu vifuatavyo, (nitaambatanisha humu na wenzangu mpitie) 1.katiba ya jamhuri wa muungano wa Tanzania ya mwaka 1977( The constitution of United Republic of Tanzania of 1977) 2.Sheria ya ukaguzi...
 12. Ngamanya Kitangalala

  Zitto Kabwe: Spika wa Bunge hana mamlaka kisheria kumwita CAG Kamati ya Maadili

  Nimeisoma katiba yetu ya mwaka 1977 kwenye sura ya saba ibara ya 143, inayoeleza kikatiba kuanzishwa kwa ofisi ya mkaguzi mkuu wa hesabu serikali( CAG) Na vile vile nimesoma kidogo sheria ya ukaguzi wa umma ya mwaka 2008( The public audit act 2008) sura ya 10, 11, 12 na 14 zinazoeleza...
 13. Ngamanya Kitangalala

  Ziara ya Xi Jinping Afrika. Hatatembelea Tanzania. Je, nchi yetu imepoteza mvuto na ushawishi?

  Baada ya kuchaguliwa tu Rais Xi Jinping ziara yake ya kwanza kutoka nje ya China ilikuwa ni Tanzania
 14. Ngamanya Kitangalala

  Wabunge wa CCM amkeni chukueni hatua, kilio chenu chaja 2020

  Sio sahihi sana musema mh mwenyekiti anawachukia wabunge wake tatizo wabunge wengi wa CCM 2015, hawakupatikana kwa sifa zao, bali wengi walitokana na msukumo na pressute kubwa ya makundi ya urais ndani ya CCM 2015 Sio siri wengi wao walitumia pesa nyingi sana kwenye kura za maoni za ndani ya...
 15. Ngamanya Kitangalala

  Ushauri kwa mheshimiwa mwenyekiti wa CCM taifa

  Napenda kuchukua fursa hii kumpongeza kwa dhati ndugu Dr Bashiru Ally Kakurwa kwa kuteuliwa na kuwa katibu mkuu wa chama cha mapinduzi taifa Kwa uteuzi huu ni dhahiri pasipo shaka mh mwenyekiti taifa, amedhamiria kwa dhati kukifanya chama cha mapinduzi kiweze kujiendesha chenyewe kiuchumi...
 16. Ngamanya Kitangalala

  Rais Magufuli kutoka kuhujumiwa wadhamini 2015 hadi kupukutisha Watesi ndani ya CCM

  Mkuu umenena vyema kabisa, mh Mwenyekiti ni lazima asafishe chama, wengi waliokuwepo wameharibika kwa sababu ya makundi ya urais 2015 Kwenye uchaguzi 2020, tutegemea kuona sura mpya kabisa
 17. Ngamanya Kitangalala

  Pamoja na malalamiko mengi ya wananchi na viongozi wenzie kwanini DC wa Mwanga hatolewi?

  Safi kabisa mkuu wa wilaya, wanasiasa hawa wametuchelewesha sana Piga kazi kuitikia wito wa mh Rais wetu mpendwa John Pombe Joseph Magufuli
 18. Ngamanya Kitangalala

  Magufulization Lands Tanzania World's Fourth Fastest Growing Economy

  Magufulization Lands Tanzania World’s Fourth Fastest Growing Economy May 07, 2018 6-5-2018, New York: INCREDIBLE and swift transformation in the manufacturing, communication, health and other sectors in Tanzania attest a new dawn for the continent’s readiness for serious business in my home...
 19. Ngamanya Kitangalala

  Jerry Silaa amesahaulika sana, napendekeza apewe ukuu wa mkoa wa Dar

  Keenja hajawahi kuwa meya wa jiji la Dar es Salaam Isipokuwa kwa mamlaka aliyekuwa nayo waziri mkuu wa wakati huo, mh Sumaye, alivunja halmashauri ya jiji na kuunda tume, ambapo Keenja aliteuliwa kuwa mwenyekiti wa tume
 20. Ngamanya Kitangalala

  Kwa tulioshuudia jana ikulu, mh Lowassa ameshastaafu siasa

  Kwanza nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kwa mh Rais John Pombe Magufuli na Mh waziri mkuu mstaafu Edward Ngoyai Lowassa, kwa kukutana kwao hapo jana Ni ukweli usiopingika, moja ya chaguzi za vyama vingi, zilizowahi kuwa na ushindani wa karibu, ni...
Top