• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. Popomtata

  Wireling bora ya Sola!

  Wakuu natarajia kupata panel ya 150w, Battery 120ah na Charger Controller 15a, mahali ninakoenda kufunga umeme haujafika ila nyuma tayari ina wireling ya Tanesco, je wireling hiyo itafaa kwa matuminzi ya DC pekee?
 2. Popomtata

  Ulimwengu wa smart tv na vionjo vyake!!!

  Natumia Smart TV ambapo humo ndani kama nikitaka kufanya mirroring kuna teknolojia ya Intel®wireless display, ambapo unaweza kuunganisha devices nyingine kama Laptop, tablet, na smartphone: Kwa mujibu wa huduma hiyo unaweza kufanya mirroring kutoka kwa vifaa vyenye Intel widi kama laptop ama kwa...
 3. Popomtata

  Wenye uelewa zaidi yangu naombeni kujua kuhusu Nilesat 201@7°w

  Jamani wenye uelewa zaidi yangu naombeni kujua ikiwa hiyo satellite tajwa hapo juu Yaani Nilesat 201@7°w ambayo ina FTA za kutosha kuna ambaye anaipata kwa Tanzania, Ikiwa yupo aniambie aipata kwa ukubwa gani wa dish, Mimi nipo Iringa nahitaji majibu yenu!
 4. Popomtata

  Free sms worlwide over internet!

  Hii kitu inawezekana lakini acha nifanye research zaidi kwa worldwide lakini kwa Tanzania ni uhakika naomba kwa walio nje ya Tanzania watupie namba na jina la nchi waliko kisha mm nitawatumia sms nao watatupa mrejesho hapa ndipo sasa nitaanza kutoa mbinu za namna ya kukufanya utume sms popote...
 5. Popomtata

  Voda nao mhuuu!

  Kuanzia kesho voda wataanza kutoa ofa mpya walioiiga toka tigo. Kwamba sasa utaweza kutumia bure intaneti kwa kiwango cha MB100 kuanzia saa 12 mpaka saa mbili asubuhi!
 6. Popomtata

  Sayansi tatanishi!

  Viini macho au mazingaombwe ni elimu, utundu au uchawi? Nipeni uzoefu wenu katika hili nina kiu sana ya kujua!
Top