• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. Jidulamabambase

  Siku Zanzibar itakapo piga kura ya maoni kujitenga na muungano

  Kwa sasa hili ni swala la muda tu. yaweza kuwa mwakani au miaka kadhaa baadaye. Kwa hali halisi muungano wetu uko katika mashaka makubwa sana, hasa baada ya Zanzibar kufanya mabadiliko ya kumi yaliyo itambulisha Zanzibar kama Nchi. Kwa kuwa dalili za kubaki na mfumo wa serikali mbili zinazidi...
 2. Jidulamabambase

  Nape: Mlipuko wa bomu la Arusha yawezekana ulipangwa na CHADEMA wenyewe

  Watanzania wasilikilizeni vizuri viongozi wa CCM kuna vingi vya kuelewa wanapo jaribu kulipeleka taifa hili. Sote tufahamu kuwa tayari tumekwisha kinywea kikombe na kutoka humo tulimo ni muujiza!
 3. Jidulamabambase

  Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

  zilikuja zikapendwa, zikapendwa zikaenda! Najaribu kuzikumbuka santuri chache zilizo chezwa humu lakini kwa sasa ukiziweka hata kwenye "Mchina" hazisomi 1. Anaishi na mke wa mtu 2. Ana miriki na kulipia card yake ya ccm 3. Kawekewa pingamizi mahakamani 4. Mchonganishi zipo nyingi...
 4. Jidulamabambase

  Dr Slaa aporomosha matusi kuhusu suala la njama la kumuua Zitto

  Watanzania wa sasa wanauelewa mkubwa wa siasa chafu za kuua vyama. ccm wameishiwa mbinu za kistaarabu, hata hivyo cdm inawapasa kujibu hoja hizi za uzushi kwani wenzenu ccm ndio wanapanda mbegu mbaya hivyo! Msisahau kuwa magugu yakipandwa huota na kuzaa kushinda mazao rasimi!
 5. Jidulamabambase

  Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

  Tayari majaji 6 wako tayari kusomahukumu kwa kifupi, kuna mengi ya kujifunza, Supreme coart inaonekana kuwa iko makini! Bado dakika 7!
 6. Jidulamabambase

  Haya ni mabaya ya SITTA, niwekee mazuri yake

  NILIPO KUWA NIKIMTAZAMA JANA NILIPATA SHIDA KAMA KWELI HUYU NI MTU MAKINI, NILIKUWA NA KAKA YANGU MBELE YA TV, AKANIAMBIA MIMI SITTA HUWA SIMKUBALI, MIMI PIA NIKAMWAMBIA HATA MIMI SIMKUBALI ILA ACHA TUANGALIE ANASEMA NINI ILI TUMFAHAMU VIZURI. TUMEKUWA TUKISOMA HABARI NYINGI SANA JUU YA MTU HUYU...
 7. Jidulamabambase

  Dr. Slaa AMKIMBIA Wilson Mukama katika mjadala?

  Bora amekacha, what will Mukama tell the nation! Hawaendani (Not his type)
 8. Jidulamabambase

  Mapanga sha sha - igunga

  Nilifikiri kwa kuwa uchaguzi umekwisha na mshindi wa ubunge amepatikana nisinge endelea kuzungumzia lolote juu ya Igunga! Nimerudi na thread hii hasa baada ya kuona picha halisi katika CTV chadematv's Channel - YouTube Nilichokiona:- 1. Watu waliozoea kuishi pamoja tangu kuumbwa kwa IGunga...
 9. Jidulamabambase

  Operation vijiji-silaha iliyobaki.

  Mawazo yenye tija kwa ukombozi. CDM wakati ni huu, tunataka mfagie kuanzia Ikungulyabadoshi/Isakamaliwa/Uzogole/salamaA hadi hadi Mwanalomango Kisarawe. Watu wapo, CDM nia mnayo! Sababu mnazo! Uwezo mnao! Kilichobaki ni ...........
 10. Jidulamabambase

  Nimeikodi helikopta bila kushauriwa wala kuelekezwa na Jussa wala Hamad Rashid - Mtatiro

  Mtatiro hauhitaji somo jingine lolote kuamini kuwa CUF imekwisha! uamuzi wa kutumia Helkopta na pesa nyingi na kuambulia 4% unajitosheleza kuwa uko wrong side, ungetumia magari peke yake ingekuwaje? kama unaweza jipange upya ama kwenda CCM au CHADEMA, otherwise karibu watanzania wote watakuchoka...
 11. Jidulamabambase

  Kukubali kushindwa!

  Point no. 5 inanafasi kubwa katika maamuzi, nashawishika kuwa kampeni zisizo za kistaarabu zimetumika na zinaendelea kutumika, CHADEMA nilazima wajibu mapigo kwa kutoa elimu ya ukweli juu ya Udini na uelewa wa Sheria na haki za mpiga kura/haki za binadamu. Japo kimsingi CDM wamepata ushindi...
 12. Jidulamabambase

  Naona aibu kuzaliwa Mnyamwezi

  Chief Domokaya pole, Mimi kwetu ni Shinyanga lakini hatuko hivyo, leo ninaona aibu sana hata mood ya kazi imetoka, ninaingia kila chumba cha offisi kwa rafiki zangu na ninawauliza hivi kwa nini wana Igunga wamechagua CCM? Nijuavyo mimi hawana sababu hata moja ya kuchagua CCM! Inawezekana...
 13. Jidulamabambase

  Kukubali kushindwa!

  Ni lazima mtu akubali kushindwa na au akubali kushinda! Ikiwa CHADEMA wanakubali kushindwa, zifuatazo ndio sababu? 1 Sera za CHADEMA hazieleweki? 2 Watanzania hawana uelewa wa kutosha wa mfumo wa vyama vingi? 3 Ugumu wa maisha kwa wananchi ni propoganda za CHADEMA? 4 Wananchi wa igunga hawana...
 14. Jidulamabambase

  Kwa nini tume inachelewa kutangaza matokeo Igunga? Vurugu zimeanza

  It looks CCM wameshinda! Fine, wameshinda lakini wameshindwa vibaya sana, kutoka uchaguzi wa mwaka jana inaonekana wameporomoka kwa zaidi ya kura 9,000, viashiria vinazidi kuonyesha kuwa CCM haikubariki! Ni ushindi mwembamba sana kwa chama tawala na kwa nafasi hii napenda kuwapongeza sana...
 15. Jidulamabambase

  Elections 2010 Mkutano wa lala salama wa CHADEMA uko Igunga wafunika

  Kuna Mawaziri wa kutosha kule! Viongozi wa kuaminiwa (Wapiganaji wapya), Mapolisi na usalama wa taifa! Bado CHADEMA imekaba! CHADEMA ikishinda Igunga ni wazi CCM haipo 2015!
 16. Jidulamabambase

  Waislam (batamiki) kuisalia dua chadema

  DUA la kuku halimpati mwewe! Hivi tanzania kuna serikali?
 17. Jidulamabambase

  Waislam (batamiki) kuisalia dua chadema

  BATAMIKI kufanya dua ikiwa CHADEMA haitaomba radhi Kauli CHADEMA kuwatuhumu masheikh kuwa wanatumika kuipa ushindi CCM katika uchaguzi mdogo wa ubunge Igunga, zimechukua hatua mpya baada ya Baraza la Taasisi za Mikutano ya Kiislamu (BATAMIKI) kuipa CHADEMA siku tatu kuomba radhi kwa...
 18. Jidulamabambase

  Elections 2010 Uwongo wa January Makamba huko Igunga

  Vuvuzela! like father like Son. Hana mvuto wa Kisiasa analazimisha.
 19. Jidulamabambase

  Shibuda waongeaji wazuri wa kisukuma wapo igunga - wewe wapi?

  Shibuda unatafutwa uende Igunga kushindanisha kisukuma na magufuli bado haujarudi nje? Kumbuka wewe unamchango mkubwa kwetu licha ya tofauti kadha zinazojitokeza lakini bado tuna kuamini.
 20. Jidulamabambase

  CCM ni chama kipya?

  CCM imekwisha haikubariki, ili ishinde Igunga ni lazima itumie nguvu nyingi sana kama chama kipya, Walipeleka Wanasheria wameshindwa! Wakapeleka wana habari, wamechemsha, walipeka wastaafu haijasaidia, wamepeleka mawaziri wanalala huko huko kama wafanyavyo kule bungeni sasa wanapeleka...
Top