• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. birungi

  Ajali ya Meli: Picha ya meli na utata uliojitokeza

  ni kweli kwa picha inaonekana iliyozama sio spice islander,ni trans asia. nachoweza kushawishika hapa labda spice islander ni kampuni ya trans asia shipping,hivyo walikuja kuweka chata hiyo baadae.
 2. birungi

  Ukiwahiwa unafanya kazi!

  kushonwa sawa umeshonwa je unafanya kazi yake ipasavyo
 3. birungi

  Ukimfumania Mke au Mumeo utafanya nini?

  cha kwanza ntajua mimi ndo mwenye mapungufu na huenda nimepelekea yeye kufanya hivyo,kwa hiyo nitahitaji anambie ninakosea wapi ili nirekebishe na anihakikishie hatarudia tena.
 4. birungi

  Gone Too Soon: RIP JF Member.....Chetuntu!!!

  Oooh my LORD!!! kweli kifo hakina huruma. Mungu amlaze mahali pema peponi,na aipe faraja familia katika kipindi hiki cha majonzi.
 5. birungi

  Amerudi

  karibu
 6. birungi

  job interview

  ni kazi gani? jua nusu ya maswali yanarelate na kazi unayoomba na pia vision za kampuni.
 7. birungi

  Je, ni sahihi mpenzi wako kufahamu kipato chako unachokipata?

  kama hujahitaji msaada jamani atachangia, nahisi atafanya lile analoona ni jukumu lake
 8. birungi

  Amerudi

  namba yako ya ushiriki itakua sitini na tano. utakaa meza ya tatu karibu kabisa na eneo la tukio
 9. birungi

  Amerudi

  hahahaha,bora wewe sio mvivu wa kusoma,kumbe umeona kila kitu....big up NN sio ana ugonjwa bali ingekua ni habari imeanza kwa fun angesoma hadi mwisho
 10. birungi

  Amerudi

  wapi babu jamani,,,,,
 11. birungi

  Amerudi

  asante, hutahitaji namba ya ushiriki? au hutaki ushahidi
 12. birungi

  Amerudi

  katika mihangahiko ya maisha, la haula akapata na habari mpya
 13. birungi

  Amerudi

  asante mwaya
 14. birungi

  Amerudi

  baada ya kimya kingi sasa amerudi alikua na kazi nyingi,ukweli mda haukuzidi kama ujuavyo kimya kingi kina mshindo mkuu birungi tena nimerudi, na habari nzito zilizo kuu. katika pitapita zangu,mengi nimeyaona nkafanya tafiti zangu,vidogo na vilivyonona nkaona moja liwe langu,isije baadae...
 15. birungi

  What attracts women to older men?

  Unajua wababa wazima wanajua sana kubembeleza si kama vijana wa kisasa.kwa msichana anaependa kudeka akimpata mtu mzima huyu atafall hata kama hana pesa. na upande wa pili wa shilingi ni kweli wanaangalia pesa kwa m-baba mtu mzima. ukieleza shida yako kabla hujamaliza utaulizwa ni sh ngapi...
 16. birungi

  Vipi Haki na Mwelekeo wa Mwanangu?

  umeona eeeh!!
 17. birungi

  "your product is not meeting my requirements"

  safi sana!!
 18. birungi

  Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

  fanya mazoezi, pia weka mazoea ya kunywa maji ya moto(sio sana) kila asubuhi kabla ya chai. na mlo wa usiku usiwe mgumu,uwe mwepesi na pia ule mapema sana kabla ya kulala.
 19. birungi

  Mshahara ngazi ya stashahada

  INATEGEMEA NI OFISI GANI, serikalini na mashirika binafsi yanatofauti,pia viwanda vya wazungu na vya wahindi wana malipo yao tofauti.
 20. birungi

  The Finest mmmmhhhh

  Happy birthday!!! Mungu azibariki siku za maisha yako,na kazi ya mikono yako ibarikiwe.!!!
Top