• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. Greater thinker

  Ngoma za Marekani zilizofanana mashairi na ngoma za Bongo zilizotangulia

  Kuna msemo mmoja wa kizungu usemao, Great minds think alike, ukiwa na maana ya ‘Akili kubwa hufikiri sawa sawa.’ Hii hutokea mara nyingi sana katika sanaa bila ya wasanii husika kulitambua hilo. Unaweza ukakuta wasanii wako sehemu mbili tofauti kwa nyakati tofauti lakini wakatunga mashairi...
 2. Greater thinker

  Ngoma za Marekani zilizofanana mashairi na ngoma za Bongo zilizotangulia

  Kuna msemo mmoja wa kizungu usemao, Great minds think alike, ukiwa na maana ya ‘Akili kubwa hufikiri sawa sawa.’ Hii hutokea mara nyingi sana katika sanaa bila ya wasanii husika kulitambua hilo. Unaweza ukakuta wasanii wako sehemu mbili tofauti kwa nyakati tofauti lakini wakatunga mashairi...
 3. Greater thinker

  Barbra Hassan unaiharibu Power Breakfast

  Hivi Babra Hassan ana mimba ? Mbona siku hizi amekuwa mkali sana? Kitu kidogo tu akitaniwa anafura redioni na kutoa maneno makali, Anashindwa kwenda sawa na Masoud Kipanya na kufanya kipindi kuonekana kuwa haina Combination nzuri ... Kwa kipindi kama cha wiki nzima ambapo Babra hakuwepo kwenye...
 4. Greater thinker

  Msaada: Dawa ya ulimi baada ya 'kudeki bahari'

  Naombeni mnielekeze dawa. Ulimi wangu umechubuka na umetoka vipele kwa ndani karibu na koo.. Hii imetokana na kuwa nina tabia ya kumpiga deki mpenzi wangu, ni kama miezi 6 mfululizo sasa. Naombeni mnisaidie kunipa dawa, kwenda hospitali naona aibu!
 5. Greater thinker

  Msaada : Je ni lazima mshindi wa kiti cha uraisi afikie 50% ya kura kwa Tanzania???

  Naombeni msaada juu ya swali hilooo...je kwa tanzania ni lazima mdhndi wa kiti cha uraisi afikie kura za 50% ya kura zote au hata kama akiwa na 40% na kuwazidi wagombea wote???
 6. Greater thinker

  wahitimu wa form six na kujiunga na jkt

  nko mbal kdgo na vyombo vya habar,kutokan na shughul kdogo tu za kimaisha..ninaomba kujuzwa juu ya hl swala na shule zipi haswa ndio zitaanza? Kwa kuwa ninaskia kwa juu juu tu naombwa kujuzwa kwa mwenye detailz za kutosha
 7. Greater thinker

  Ashakum si matusi

  Ashakum si matusi Mods Ashakum si matusi wewe unayesoma uzi huu yoo Jamani dada zangu huu mtindo wenu wa kuonesha mstari wa matiti na matiti kwa juu sasa hv hailipi na hamuuzi tena,sasa onesheni mstari wa makalio au makalio kabisa humo njiani,si mnaona kuwa sexy lazima muwe uchi??acheni kuiga...
 8. Greater thinker

  Sorry my sweetheart

  Dah wana Jf honey wangu yeye ni mmoja wa wahanga wa mafuriko na amemaliza tu chuo mwaka huu pale UDSM,analia kuwa vyeti vyake vyote(chuo+A-level+0-level+primary) vmesombwa na maji hvyo anabidi tena arudie darasa la kwanza yoo
 9. Greater thinker

  Ajali mbaya tena mbaya mataa ya ubungo...

  Ni ajali ya kutisha imetokea sasa hivi kati ya fuso na bajaji,fuso lipo meng'e meng'e dereva na watu wawili wamepoteza maisha,ila bajaji imevunjika taa tu yoo
 10. Greater thinker

  Mijitu hii siipendi na inanikeraaa aaarrgghh...

  Unakuta lijitu linaweza kabisa kuongea kiswahili kizuri tu basi ukilikuta linaongea neno moja la pili kiingereza ,huu ni ushamba na ulimbukeni wa lugha za kigeni,hamjui kua mna kinajisi kiswahili?kama unaamua kuongea kingereza ongea kingereza moja kwa moja kana unaongea kiswahili ongea...
 11. Greater thinker

  R.I.P Halima Rajab

  Huyu ni mama wa Mr.Blu..pole kabaisa a.k.a babylon biz mr.blue...M.A.P mama yetu yoo
 12. Greater thinker

  Hongereni...

  Ni jana tu clouds fm wametunukiwa tunzo na makamo wa rais mh.g.bilal tunzo ya kuwa super brand radio station,kwa mara ya pili wanapewa tunzo hyo na ni radio ya kwanza kupata tunzo hyo kwa hapa Tz,hii tunzo inayotolewa kwa makampuni yaliyofanya vizuri kwa mwaka mzima,makampuni mengine...
 13. Greater thinker

  Vinega wawaogopa Clouds Fm!!clouds Inatisha yoo!!

  Mara baada tu ya kumaliza tamasha lao pale k/nyama 26/11 vinega hawa j3 yake wakatangaza kuwa 'Mbeya your next' sasa mara baada tu ya clouds+airtel kutangaza kuwa tour ya Bongo50 itakwenda mbeya wiki hii,vinega hawa baada ya kufunikwa dar,wakaona mmmhhh bora wakimbilie Arusha..chek show zao...
 14. Greater thinker

  Pimbi...

  Dia Amina nimekuja toka nje basi leo nimekukumbuka sana,hasa penzi lako lilivyo Zito kwangu yani mithili ya chuzi zito zito lenye rojo la samaki kitonga,aliyeungwa na nazi3,pilipili, na ngongwe!!! HARAKATI ZA DR.LOVE PIMBI hahaha!!
 15. Greater thinker

  Kwa nini waigizaji wa bongo hawa-do kweli yoo?

  Mi sio mpenzi sana wa filamu za bongo,lakini ikitokea siku nisipoiona dictionary yangu huwa naangalia filamu za bongo,sasa katika kuangalia hzi movie zetu kati ya movie zote nilizoangalia ikifika scene ya kufanya mapenzi huwa hamna chochote kinachoashiria kama wanafanya mapenzi kweli hapa mara...
 16. Greater thinker

  Boxer Mwana Fa

  Rapper mahili na ex-member wa kundi la East Coast Team Hamis mwinjuma a.k.a Mwana Fa sasa amegeukia upande wa pili wa burudani yan Masumbwi(boxing). Star huyo wa 'Yalaiti' amepanga kuzichapa na Khalid Chokoraa siku ya jumapili tar 18 pale Mzalendo pub,pambano hilo limeibuka baada ya mwana fa...
 17. Greater thinker

  Vita ya mamba waWili ilioingiliwa na kenge wasiokuwa na uelekeo..

  Ilikuwa ni kunako asubuhi tulivu kijua cha mawio kinachomoza na mto ukiwa tulivu na upepo tulivu ukipepea ghafla bin vuu mto ukaanza kuchafuka kilichofanya mto kuchafuka ni ugomvi wa mamba wawili uliokuwa mkubwa kupita kiasi huku baadhi ya watu waliokuwa nchi kavu wakishuhudia ugomvi huo pasipo...
 18. Greater thinker

  Anataka nifanye nae mapenzi kutokana na mateso ya mumewe

  Ilikuwa juzi majira ya jioni jioni hivi mara nikapata simu kutoka kwa dada fulani hivi alijitambulisha kwa jina la Fatma(simfahamu) na alikuwa anamuulizia mtu pia ambaye simjui(kutokana na situation alikuwa amekosea namba) akawa amelitambua hilo mapemaa.. Sasa baada kama ya saa moja hivi...
 19. Greater thinker

  I Love U....

  It is true that i love 'U'.. I love u.. I cant even explain how much i love U.. Haipiti siku without seeing U.. That is why making me to love 'U' forever.. I love not only 'U' but also i love V,W,X,Y,and Z yoo...
 20. Greater thinker

  Ilikuwa Kinyaa na nilitamani kutapika...yoo

  Nilikuwa na demu wangu ninìii na ninii.i...bac tulikuwa tunatomasana na nini.. Sasa ikafka wakat nkaanza kumpga romance..wakat naendelea ghafla nikakutana na chembe chembe za wali yoo mdomoni..mhhmh nikamuuliza mahabuba vipi tena haya mambo,akaniambia et ametoka kutapika...yoo
Top