• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. Msanii

  Je tunaweza kutenganisha polisi na siasa?

  Kwa namna ambavyo wanasiasa hasa wa upinzani wanavyojenga taswira kwamba Jeshi Letu la Polisi ambalo limeundwa kwa sheria ya Bunge kwamba ni wanyanyasaji na wavunjaji haki za binadamu ni kama vile kuwa wakishapata madaraka watalivunja jeshi la polisi na kuja na kitu kingine. Sasa ni muda...
 2. Msanii

  Political Intelligence: Lengo la Membe ni lipi hasa?

  Miezi michache baada ya Rais Magufuli kula kiapo, mzee Membe alianza kupiga vijembe ambavyo wengi walitafsiri labda zimetokana na furstrations za kushindwa katika mchakato wa uteuzi. Muda ulivyozidi kusonga, ndugu Membe alijitokeza hadharani akikosoa hapa na pale na hasa alijitahidi kunata na...
 3. Msanii

  Political Intelligence: CCM kuweni macho, lijalo laja

  Miaka zaidi ya 400 kabla ya Kristo kulikuwepo na taifa fulani la Troy ambapo walikuwa imara na wasioingilika. pia lilikuwepo taifa lingine la Trojan ambalo walikuwa mataifa rafiki ingawa yalikuwa mbali from each other. Mwanamfalme wa Troy alifanya safari ya kiserikali kwenda Trojan na aliutumia...
 4. Msanii

  Mnyika anaandaliwa kumrithi Mbowe CHADEMA?

  Kwanza nimpe kongole mdogo wangu John Mnyika kwa kuteuliwa kisha kupitishwa na Baraza Kuu Chadema kishika nafasi ya Ukatibu Mkuu Taifa wa chama hiko. Anapokea kijiti kutoka kwa Vicent Mashinji ambaye alionekana ni mgeni kwenye Chama na siasa akitokea kwenye taaluma ya udaktari. Wadadisi wengi...
 5. Msanii

  Ukiukwaji haki za raia vituo vya polisi umekithiri

  Pamoja na ulinzi wa haki za raia kuainishwa kwenye Katiba yetu lakini jeshi la polisi wamekubuhu kusigina katiba kwa kutenda mambo ya hovyo dhidi ya watuhumiwa 1. Mawasiliano Wananchi wengi wanaokamatwa wanazuiwa kuwasiliana na ndugu zao wawapo kituoni na hili husababisha usumbufu mkubwa kwa...
 6. Msanii

  Upinzani mlisusia uchaguzi wa mitaa halafu kimya

  Wapiga kura waliwasikiliza walio wengi hawakwenda kupiga kura. Kuna mambo mawili matatu hapa: 1. Anguko la upinzani kabla ya 2020 2. Wameufyata 3. Wanajipanga kwa maandamano? Video inajieleza
 7. Msanii

  Leo ni siku yangu.... Naaum

  Nikiangalia nyuma yangu naona nyayo juu ya mchanga mkavuu zikianzia mbaaali ya tokomeo la kutoonekana how i started walking this far. Nyayo hizi zimebeba kajitu fulani ka hovyo hovyo ambako kama hatosimulia undani wa maisha yake basi utabakia unabung'aa na kumuangalia akipita zake taartibu...
 8. Msanii

  CCM kugeuka kuwa Chama Dola ni kujichimbia shimo

  Chama cha siasa ni lazima kitumie ushawishi ili kukubalika. Endapo chama kipo madarakani kitawashawishi wafuasi na wapigakura wake kwa kutekeleza ahadi au ilani yake ya uchaguzi. Pia kitaisimamia serikali kutekeleza wajibu wake kwa ufanisi. Chama kikikengeuka na kujiona kina hakimiliki ya dola...
 9. Msanii

  Angalizo muhimu kwa CCM

  Ninaandika kwa lugha nyepesi pia rahisi kueleweka. Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 ni kipimo muhimu sana kwa kukubalika kwa chama/ viongozi wa Chama kwa wananchi. Kuna mambo muhimu CCM inapaswa kuangalia kama tathmini ya kukubalika kwake hivi sasa 1. Mwitikio wa wapiga kura Pamoja na...
 10. Msanii

  Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

  Wananchi leo wanapiga kura kuchagua viongozi wao wa Serikali za Mitaa ambapo zoezi hilo linaanza saa mbili kamili asubuhi hadi saa kumi kamili jioni na wale wote watakao kuwa kwenye foleni muda huo wataruhusiwa kupiga kura Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amesema Uchaguzi huo utafanyika katika...
 11. Msanii

  Walioathirika Uchaguzi wa Novemba 24, 2019

  Kesho tarehe 24 Novemba 2019 utafanyika Uchaguzi wa kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji nchi nzima kasoro mikoa kadhaa ambapo wagombea wote kutoka Chama Tawala wamepita bila kupingwa. Pamoja na wapinzani kujitoa kutokana na kasoro zilizojitokeza, bado serikali...
 12. Msanii

  CCM ushindi wa kimbunga 24 Novemba 2019

  Wapinzani mmeweka mpira kwapani huku mkijua huu uchaguzi ni wa kikatiba, kisheria na kikanuni. Mngefanya yafuatayo ili wapigakura wawaelewe... 1. Kwenda mahakamani kufungua kesi ya kikatiba dhidi ya sheria na kanuni za uchaguzi 2. Kufungua kesi dhidi ya TAMISEMI kuvuruga uchaguzi kupitia...
 13. Msanii

  Tukubali au Tukatae tarehe 24 Novemba 2019 tunapiga kura...

  Maandalizi ya Uchaguzi wa serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji yanaendelea despite kujitoa kwa vyama vikubwa vya upinzani. Sambamba na hayo, vyama ambavyo havina wagombea vimesema vitashiriki uchaguzi huu. Kwa mantiki hiyo, hakutakuwa na mabadiliko yoyote kuhusu tamko la Waziri wa TAMISEMI...
 14. Msanii

  Serikali isisubiri shinikizo. Wakati ni sasa

  Mkwamo wa kisiasa uneanza kushika mizizi ambapo pamoja na vyama vingi kujitoa kwenye uchaguzi wa serikali za Mitaa 2019. Wapenda demokrasia wengi wameonelea kuwa uchaguzi huu uandaliwe upya kwani makando kando yaliyojitokeza hayaruhusu kuwepo kwa uchaguzi wa haki. Chama changu cha CCM badala...
 15. Msanii

  Uchaguzi TAMISEMI 2019 unaweza kufutwa ili kurekebisha kasoro zake?

  Nimejiuliza hili swali nikakosa majibu. Sasa tuelimishane hapa kuhusu huu mchakato unaoendelea nchini. Je nani mwenye mamlaka ya kuusitisha ama kuufuta huu uchaguzi ili kuweza kurekebisha makandokando yake kabla ya kutangaza tarehe mpya? 1. Rais? 2. Bunge? 3. Mahakama? 4. Waziri mwenye...
 16. Msanii

  Wapinzani wamejitoa sawa. Nini kifuate sasa?

  Vyama vikubwa vya upinzani baada ya kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji, je wamekuja na hoja nini kifanyike? Neno la mwisho la CHADEMA wamesema hawawezi kushiriki dhuluma.... na vyama vingine vyote wamesema wamejitoa. Ingawa chama cha wananchi CUF hawajasema kama...
 17. Msanii

  Picha: Nani amemuelewa Zitto hapa?

  Kama waziri mwenye dhamana ameshatoa maelekezo kunahitajika mahakama tena? Je wapinzani wameshaenda mahakamani? Nadhani tamko la Waziri Jafo lina nguvu za kisheria lakini inahitajika kwanza maridhiano ya kisiasa kabla ya lolote kutamkwa ama kufanyika
 18. Msanii

  Kuenguliwa wapinzani kumewapaisha kisiasa

  Mimi ni mwana CCM hai. Kitendo cha watendaji/ wasimamizi wasaidizi kuwaengua wagombea zaidi ya asilimia 90 wa serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji ni wazi kimeibua publicy sympathy dhidi ya wapinzani nchini. Minong'ono iliyopo mitaani ambapo hata wanaCCM wengi wanaguswa na hili hivyo...
 19. Msanii

  Tujadili: Uhuru wa marekani

  Waheshimiwa. Marekani ilijitangazia uhuru wake hapo Philadelphia, Pennsylvania, mwezi July 4, 1776. Uhuru huu ulitokana na vita vya makoloni kumi na tatu ambavyo vilikuwa dhidi ya Ufalme wa Uingereza. Draft ya uhuru ilipitishwa bila kupingwa mnamo Julai 2 (siku mbili kabla) ambapo nyaraka ya...
 20. Msanii

  Injinia soma hiyooo....

  No ill will intended
Top