Search results

 1. Riwa

  Toyota RAV 4 'Kili Time' 3doors inauzwa

  Toyota RAV 4 maarufu kama Kili Time, model 2002, 3 doors, 17" sports rims, Silver metalic inauzwa Tshs 13.5m. Serious buyer kindly PM.
 2. Riwa

  Ushauri: TTCL 4G vs Airtel 'Wingo', ipi bora?

  Wakuu, Noamba ushauri. Nataka kununua modem kwa ajili ya WiFi kwa matumizi ya nyumbani, hivyo users watakuwa kama 5 au 6. Sasa hivi kuna hii ya TTCL Huawei 4G, na pia kuna Airtel 'Wingo'. Najua pia Vodacom, Smile na mitandao mingine wanazo. Naomba ushauri ipi itanifaa katika matumizi ya...
 3. Riwa

  Kutolala vya kutosha kunaweza kukusababishia 'Shinikizo la Damu' au hata kifo!

  'Ranjan Das, CEO and MD of SAP-Indian subcontinent died after a massive cardiac arrest in Mumbai recently. One of the youngest CEOs, he was only 42.' What killed Ranjan Das? He was very active in sports, was a fitness freak and a marathon runner. After his workout, he collapsed with a massive...
 4. Riwa

  Utafiti: Women With Big Butts Are Smarter And Healthier

  Sio mimi, ni Professor Konstantinos Manolopoulos - University of Oxford Scientists from the University of Oxford have discovered that women with larger than average butts are not only increasingly intelligent but also very resistant to chronic illnesses. According to ABC News, the results found...
 5. Riwa

  Rotary Dar Marathon 2013: Nani atakuwepo?

  Riwa nitashiriki kuzikata 21.1km...mwaka jana zilinitoa jasho japo nilimaliza, am better this year! Mwana JF gani mwingine atakuwepo?! KAOMBWE
 6. Riwa

  Riwa: NImekwazika kupita kiasi..

  Kuna uzi ulianzishwa kuhusu 'athari za tiGO'...nami nikachangia kutokana na taaluma na experience yangu nikihudumia waginjwa mbali mbali. Nikiwa na nia ya kutoa ukweli na kuelimisha jamii, naamini nina deni hilo kwa waTanzania kwani nilipata bahati/fursa ya kutumia kodi zao ili kupata taaluma...
 7. Riwa

  Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

  flirtingpresent participle of flirt (Verb)Behave as though attracted to or trying to attract someone, but without serious intentions. Flirting usually involves speaking and behaving in a way that suggests a mildly greater intimacy than the actual relationship between the parties would justify...
 8. Riwa

  Ushauri - Mtaji wa Mradi wa Kufuga Kuku wa Kienyeji

  Nina shamba la ukubwa wa hekari 4 katika kijiji cha Vikawe karibu na Mapinga Bagamoyo ambalo nimelisajili kwa hekari mbili mbili (yaani lina hati mbili), ambalo nataka kuanzisha mradi wa ufugaji kuku wa kienyeji (lakini kwa njia za kisasa). Nahitaji mtaji wa si chini ya Tshs 15m ikijumuisha...
 9. Riwa

  Tanzania Daima: Mhariri Haupo?

  Tanzania Daima la leo ukurasa wa 17 na 20 limetumia picha ya mtu mmoja kama waziri wa fedha Ugiriki na rais wa Misri...
 10. Riwa

  Dedication to CCM..by Maurice Kirya

  Hii verse Maurice Kirya aliwatungia CCM kwa siku kama ya leo (song - I don't wanna fight): Now look at them fighting...Like two roosters in a cage Now Hear them preaching...With the words full of rage See They've lost the way...And they forgot where it began They are ruled by so much...
 11. Riwa

  Ladies: 12 reasons why you should date/love a 'Doctor'!

  1. They are smart 2. They can give you a free medical consultation/advice 3. They give you a gift of 'missing' them because they are always at work 4. They are heavy party people on the weekends 5. They know anatomy well (know what works...when and where) 6. They are well trained to listen 7...
 12. Riwa

  Oral Sex May Be Leading Cause of Mouth, and Throat Cancers

  Mouth and throat cancer, called oropharynx cancer, used to be a disease seen most commonly in elderly persons. Tobacco smoking and alcohol use were known to be the leading causes of oropharyngeal cancer. Today, oral sex is listed as the leading cause of cancer of the mouth and throat. New...
 13. Riwa

  Hivi...wanaume tu ndio wapweke?!

  Kila nikipita hapa 'love connect' nakuta posti za wanaume tu nyingi zikisema wako wapweke wanatafuta wenza/wapenzi/wake/wachumba/marafiki wa kike...hadimu sana kukuta mwanamke kaposti kutaka mwenza (labda bebii tu naye alituzeveza maana hatukupata majibu ya applications zetu!). Sa najiuliza...
 14. Riwa

  Fatherhood Leads to Drop in 'male hormone' Testosterone!

  The first large study measuring testosterone in men when they were single and childless and several years after they had children says that, most male hormones takes a dive after a man becomes a parent. And the more he gets involved in caring for his children — changing diapers, jiggling the boy...
 15. Riwa

  How to unlock a blackberry?

  Hello wanajamii, Nimetumiwa blackberry bold 9870 T-Mobile toka US, aliyenitumia ameniambia imeshakuwa unlocked, lakini sipati services zozote nikiweka line yangu ya Vodacom. Nimeenda Vodacom wakasema iko locked kwa T-Mobile services. Nimeenda Sapna wanisaidie ku-unlock wanaleta longo longo...
Top