Search results

 1. Mpaka Kieleweke

  Zitto: Niliondoka CHADEMA kwa sababu ya kunyanyaswa na kuonewa

  Chanzo: Mwananchi My take; Huyu Kiongozi Mkuu kwa kulia lia ili apatiwe huruma hajambo, kumbe hakuondoka kwa sababu za ufisadi kama alivyokuwa akiongea huko mikoa mingine huyu mtu .....Usaliti ni kitu kibaya sana , hakifutiki hata mtu akijitetea kwa kiwango gani . Ndio maana naye aliamua...
 2. Mpaka Kieleweke

  UKAWA Kufanya Press Conference Kesho (Aprili 30, 2015) Makao Makuu ya CUF

  Kesho tarehe 30.04.2015 kutakuwa na Press Conference ya UKAWA Makao Makuu ya CUF , Buguruni saa sita kamili mchana . Ni press muhimu maana inaenda kutoa taarifa za vikao vyake vya siku nne mfululizo kwani kamati yake ya ufundi ilikaa kwa siku mbili na viongozi wakuu wakakaa kwa siku mbili...
 3. Mpaka Kieleweke

  Mbowe afanya mazungumzo na Chancellor wa Ujerumani

  Ziara ya CHADEMA, mbinyo mkubwa zaidi unakuja dhidi ya mafisadi wa ESCROW.
 4. Mpaka Kieleweke

  Picha: Msafara wa Prof. Safari watinga Petersburg

  Hii ni hoteli maarufu kwa mikutano ya kimataifa ......walikutana na ujumbe maalum kwa masaa kadhaa.
 5. Mpaka Kieleweke

  Picha: Ziara ya CHADEMA bunge la Ulaya

  Prof.Safari na Ujumbe wa CHADEMA wakiwa ndani ya Ofisi ya Makamu wa Rais wa Bunge la Ulaya Rainer Wieland Jijijni Brussels leo katika kikao cha pamoja baina ya CHADEMA na EU kuhusu masuala mbalimbali. Picha chini walipowasili Jijini Brussels mapema leo ..
 6. Mpaka Kieleweke

  Dick Cheney : Obama is a very very weak President

  Former Vice President Cheney: Obama is a 'very, very weak president' Published May 29, 2014FoxNews.comFacebook150 Twitter136 Gplus6 Former Vice President Dick Cheney told Fox News’ Sean Hannity Wednesday that he believes President Obama is a “very, very weak president” who does not understand...
 7. Mpaka Kieleweke

  Pinda asinzia Bungeni asubuhi hii

  Waziri Mkuu Pinda Mwenyekiti wa caucus ya CCM Bungeni na mwenyekiti wa Tanzania kwanza (Wasaka Tonge ) kwa mujibi wa Seif Khatibu leo asubuhi ameonekana kwenye runinga akisinzia, tabia hii ni hatari kuwa na wabunge wakusinzia bungeni. Amka mwenyekiti.
 8. Mpaka Kieleweke

  Maoni ya wajumbe 'walio wachache' katika Kamati namba Nne iliyowasilishwa na Mhe. Tundu Lissu!

  MAONI YA WAJUMBE WALIO WA WACHACHE KATIKA KAMATI NAMBA NNE KUHUSU SURA YA KWANZA NA SURA YA SITA YA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA [Kanuni ya 32(4) ya Kanuni za Bunge Maalum, 2014] Inaendelea hapa -...
 9. Mpaka Kieleweke

  Ridhiwani mgombea asiyejua kilichomo kwenye kipeperushi chake, picha

  Kwa wale mnaojadili kwa kufanya uchambuzi wa kina ni kuwa picha hizi mbili zinatufanya kumwona Ridhiwani kuwa ni mgombea asiyejua kile anachowaahidi wananchi kwani hicho kipeperushi chenye ahadi za Matrekta kila kijiji kaandikiwa tu naye jukumu lake ni kuropoka , ukitazama yeye na huyu mama...
 10. Mpaka Kieleweke

  Mgombea wa Chadema Chalinze akiwa kwenye mkutano Kijiji cha Matipwili, kata Mkange

  Ni katika mkutano uliofanyika leo katika kata ya Mkange kijiji cha Matipwili, mkutano huo ulikuwa ni wa pili kati ya mikutano minne ya siku ya leo.........
 11. Mpaka Kieleweke

  Dr. Slaa kuzindua kampeni za ubunge Chalinze leo Jumapili tarehe 16.03.2014

  Leo ni leo katika kata ya Miono ambako ni nyumbani kwa Marehemu Said Bwanamdogo ,uzinduzi wa kampeni za Chadema utaanza kuanzia saa nane mchana leo , hamasa ni kubwa sana Miono na hasa baada ya jana CCM kuzindua kampeni zao kwenye eneo hilo na kudoda. Hapa , ni nyumbani kwa Wazigua ambao wana...
 12. Mpaka Kieleweke

  CHADEMA walivyoigaragaza CUF na CCM Chalinze

  Majibu ya msimamizi wa uchaguzi wa Chalinze kwa CUF kuwa hawakuwa na hoja za kuweka pingamizi , ikumbukwe kuwa pingamizi hilo lililengwa hapa JUKWAANI na Taswira kwa mara ya kwanza na ambaye anafaa mika kuwa yeye ni mmoja wa makada wa UVCCM makao makuu......
 13. Mpaka Kieleweke

  CCM kitanzi ni kimapato, Akaunti za chama Hoi, wadau waanza kuhoji

  Kutokana na taarifa za kuaminiana za mhasibu mkuu wa CCM ni kuwa hali ya chama kimapato sasa ni mbaya sana , na hii inatokana na ukweli kuwa tangu Mwigulu awe naibu waziri wa fedha ameshindwa kusimamia kikamilifu jukumu lake la kuwa mkuu wa utawala makao makuu na kusababisha wakina Nnape na...
 14. Mpaka Kieleweke

  CHADEMA haijawekewa pingamizi Chalinze, Soma sababu hapa

  Kutokana na sababu zilizotolewa na Ali Makwilo ambaye ndio msimamizi wa kampeni za CUF Chalinze kuwa ndio atazitumia kama msingi wa pingamizi lake kwa mgombea wa Chadema , Someni majukumu ya msimamizi wa uchaguzi hapa juu. so hii ni mbinu ya publicity kwa CUF , ili walau na wao waandikwe kwenye...
 15. Mpaka Kieleweke

  Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mbunge Kasulumbay wafikishwa kortini

  Utangulizi. kuna uchaguzi mdogo unafanyika katika kata ya Ubangwe, Jimbo la Kahama , ni uchaguzi ambao tangu awali mgombea wa Chadema aliwekewa pingamizi kuwa yeye alikuwa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Ubangwe CCM Hakuwahi kuirejesha kadi ya CCM , ila wanasheria wa Chadema walishindwa hilo...
 16. Mpaka Kieleweke

  Tamko la kihuni kutolewa Tabora Punde ..wanajita wenyeviti wa Matawi ya Mkoa .

  Vijana walioanzia Mwanza , wako Tabora muda huu baada ya kusafiri usiku kucha kutoka Shinyanga na kuweka stop Kahama , walipoona nyenzo zao wanachama halisi wa Chadema hawawaungi mkono kwa sasa wapo Tabora na wameshaallika waandishi wa habari ....... Wanaenda kutoa tamko eti viongozi wa Chadema...
 17. Mpaka Kieleweke

  Mbunge wa CHADEMA (Machemli) afutiwa dhamana na Mahakama!

  Mbunge wa Ukerewe kwa tiketi ya CHADEMA, Salvatory Machemli, leo mchana amefutiwa dhamana na Mahakama ya Wilaya ya Ukerewe na kuamriwa aende ndani hadi tarehe ya kesi yake itakapotajwa tena! Kesi inayokabili ni ya uchochezi ya mwaka 2010 wakati wa Kampeni, akidaiwa kutoa maneno ya uchochezi...
 18. Mpaka Kieleweke

  Picha: Viongozi wa vyama vya siasa wakutana na Rais Kikwete Ikulu leo; CCM ndani ya Nyumba

  Waliokuwa na picha za kubumba aibu yenu....
 19. Mpaka Kieleweke

  Mbowe na Haki za kisiasa Tanzania .....

  Hii nimetoa kwenye website ya DIPD ....Danish Institute for Parties and Democracy hii kweli ni twanga kotekote , no need for more mosquito nets ..... -------------------------------
 20. Mpaka Kieleweke

  Wito: Wassira Jiuzulu kwa hiari

  Waziri wa mahusiano na uratibu katika ofisi ya Rais aliwahi kulitangazia taifa kuwa milango ya Ikulu imefungwa na kamwe Wapinzani hawatakuwa tena na nafasi ya kukutana na Rais , na hii ilikuwa mara tu baada ya mabadiliko ya sheria ya mabadiliko ya katiba yaliyokuwa yamepitishwa kibabe na...
Top