Search results

 1. Kana-Ka-Nsungu

  Khan atamsumbua sana Mayweather

  Baada ya kuona fight yake ya usiku wa kuamkia leo dhidi ya Devon Alexander na ile iliyopita dhidi ya Luis Colazo, naamini kama Amir Khan atapewa chance anaweza kuishangaza dunia kwa kuwa mtu wa kwanza kumchapa Floyd Mayweather. Maywether inaonekana sasa anaitaka fight ya Pacquiao lakini sidhani...
 2. Kana-Ka-Nsungu

  Bernard Hopkins V Sergey Kovalev vipi?

  Wakuu links zote za mtandaoni zimenigomea na hii fight nilikua naisburi kwa hamu sana. Naomba updates kwa anayeangalia humu.
 3. Kana-Ka-Nsungu

  Hili nalo linanikera sana...

  Jana nilikua nabrowse instagram nikaona picha ya madawati ambayo yametolewa kama msaada na mmoja wa ma supermodo wetu kitu ambacho sipingi kuwa ni jambo zuri sana lakini kilichonikera madawati yale yalikua na miandishi mikubwa sana kwa mbele 'DONATED BY.....(JINA LAKE). Sasa nikajiuliza kuna...
 4. Kana-Ka-Nsungu

  MOI- Twende na wakati

  Kama miaka miwili iliyopita nilimpeleka mama yangu mzazi pale MOI, alikua na tatizo la goti lakini hali niliyoikuta pale ilikua inasikitisha sana. Umati wa watu ulikua ni mkubwa sana na wengi niliojaribu kuongea nao waliniambia walifika saa 11 asubuhi na kuna wagonjwa wengine ambao hutuma ndugu...
 5. Kana-Ka-Nsungu

  Renault Megane

  Ndugu zangu wa Bongo naomba mnisaidie, Renault Megane kama hii inaweza kuuzika kirahisi huko? Spares na services zake zinapatikana kirahisi? Ikiwa manual itakuwa ni tatizo kupata mnunuzi?
 6. Kana-Ka-Nsungu

  Benard Hopkins- how does he do what he does?

  Huyu jamaa angekua kule kwetu wengi wangesema anatumia juju!! Hopkins Creates More Boxing History The Old Master Beats Cloud, Bernard Hopkins proved yet again that age is just a number. At the Barclay Center in New York on Saturday night the wrinkly warrior out-pointed fellow...
 7. Kana-Ka-Nsungu

  How to spot a player on facebook!!!

  HOW TO KNOW A PLAYER ON FACEBOOK!!! 1. He will be calling you sweet names in your inbox....but on your wall he or she call you "dear" or your name.......... 2. If you comment on his photo...he or she will only say "thanks dear" to avoid his othe lovers from suspecting him......... 3...
 8. Kana-Ka-Nsungu

  Hivi hali mbaya kiasi hiki??

  Baada ya kuipitia hii ripoti nimekubali kuwa something is seriously wrong kwenye sekta ya elimu nchini na tusipochukua hatua za kuweka mambo sawa haraka tutaishia kuwa taifa la ma mbumbumbu! KKN
 9. Kana-Ka-Nsungu

  Nimeyasikia haya... Je inawezekanaje?

  Niko kwenye kijimgahawa napata supu, meza ya pembeni kuna mama wa makamo yupo na mbaba mwingine nao wamekaa wanakunywa soda. Yule mama machozi yanamtiririka ikabidi nitege sikio japo niambulie mawili matatu ya kunijuza chanzo cha kilio chake. Kwa niliyoyaskia niliweza kugundua kuwa mama ana...
 10. Kana-Ka-Nsungu

  Patriotic Victor Moses..

  This is the story of a young boy whose parents were murdered during 2002 riots in Kaduna. ... He was aged 11 yrs at the time this sad incident took place. His parents, Mr Austine and Mrs Josephine Moses, were missionaries until they met their untimely death, what a sad end. The boy left his...
 11. Kana-Ka-Nsungu

  Oscar Pistorius is in deep sh.t!

  Paralympic gold medalist Oscar Pistorius is charged with murder on Thursday after his girlfriend was shot dead at his home in Pretoria. Brigadier Denise Beukes distances the police from earlier reports that the 30-year-old model Reeva Steenkamp was shot because Pistorius believed he was being...
 12. Kana-Ka-Nsungu

  Valentines day dedication special..

  Hapa tupia any love song kuwatakia 'happy valentine day' wale uwapendao... Happy valentino wote. KNN Naanza mimi mwenyewe, this is for you Kay (I know unanisomaga hapa sometimes..) http://youtu.be/53iuGynO4Vc
 13. Kana-Ka-Nsungu

  Are you into 60s? Twende kazi....

  When music was music... http://youtu.be/mHPgco6GQk8 http://youtu.be/xEkB-VQviLI http://youtu.be/06rGW0AQGiY http://youtu.be/DjydOI4MEIw http://youtu.be/kqXSBe-qMGo http://youtu.be/BERd61bDY7k http://youtu.be/RhrazLdZgSs http://youtu.be/E2VCwBzGdPM http://youtu.be/Qgcq8klGQsQ...
 14. Kana-Ka-Nsungu

  Waswahili tuna vijimisemo..!!

  1.Gari la kuvutwa hali overtake. 2.Hata uwe na bahati vipi hauwezi kuokota nyumba. 3.Mganga wa jadi haagizi tembele. 4.Wimbo wa taifa haupigwi disco. 5.Kandambili haipigwi kiwi 6.Usiteme Big G kwa karanga za kuonjeshwa. 7.Hata bibi alikuwa binti. 8.Mke wa mtu sumu, mume wa mtu maziwa. 9.Kipara...
 15. Kana-Ka-Nsungu

  Nyooooohhhh!!

  Mume: Hello baby! Mke: Hello swt! Mume: Nitachelewa kurud leo Mke: Nishajua uko kwa vijanamke vyako, ww ni mzinzi sana cjui ilikuaje ukanioa nakuchukia kama nn? ckupend! ckupend! Mume: Niko BENKI hapa Mke: Haa! Ulijuaje kama cna hela, nitolee laki 1 baby, nakupenda sana kuliko roho yangu...
 16. Kana-Ka-Nsungu

  Swagga za masista duu pori!

  SWAGA ZA WADADA ZETU ILI WAONEKANE NAO WAMO HASA WAKITOKA USWAZI WAKAWA WAMENDA OUT MITAA YA USHUANI;;; 1. Halima………muhudumu naomba unilete salad ya moto, na chupa ya Amarula. 2. Chausiku…..nipe PIN yako niwe nakupigia 3. Siwema….nimechokaje, nimeshinda Shoprite natengeneza nywele 4...
 17. Kana-Ka-Nsungu

  Sekretarieti ya CCM, Naomba majibu waungwana...

  Wote mtakubaliana na mimi kuwa treni hili halimilikiwi nna CCM, swali langu la kwanza ni je wana CCM wote walikuwa wakisafiri kwenda Kigoma walilipa nauli? Na kama walilipa wana tiketi kuprove kwamba hawakusafiri bure? Swali langu la pili ni muda ambao treni hii ilichukua kusimama katika vituo...
 18. Kana-Ka-Nsungu

  Wanaume ndo tulivyo??

  For the last few weeks nimekua nikiangalia documentary programs za wanyama kwenye channel ya Animal Planet na pia nimekua ni mpenzi mkubwa sana wa program ya 'Africa' inayoonyeshwa sasa hivi BBC kuhusu wanyama pia. Nimeona kuna similarities nyingi kati yetu na wanyama wengi jinsi ambavyo wanaume...
 19. Kana-Ka-Nsungu

  IVF Clinics Dar- wtf is happening??

  Nilishangaa kuona clinic moja ya IVF mitaa ya mikocheni wakati napita nikiwa kwenye gari la mshkaji, nikaropokwa 'atakua amefungua kwa ajili ya wazungu!' nikidhani Dar niliyoiacha enzi za mwalimu ndo ileile. Enzi hizo hii haikuwa issue na matatizo ya uzazi ni suala ambalo wanandoa walikua...
Top