Search results

 1. Nukta5

  Diamond & Tanasha wamekopi kuanzia audio mpaka video

  Sanaa ni pamoja na kukopy na kupaste tunaweza kuwaweka kwenye kundi la msanii maarufu dunian kwa kukopy nyimbo na nyimbo ikahit hana tofauti na lile kundi la Pentatonix wao wanafanya cover na kuzunguka dunian kufanya show na wanamashabiki wakutosha wakitoa wimbo ukichek view ni fasta 1m
 2. Nukta5

  Mtangazaji Didah Shaibu amejiunga na Wasafi FM

  Me nadhan wangeajiri vijana fresh from school au kutokana na vipaji vyao waonyeshe uwezo wa creativity lasivyo tunaendelea kutengeneza aina ile ile ya vipindi kwenye radio zingine Salama amerudi na kipindi chake cha kuhoji watu maarufu nani anamfikia salama kwa ule uwezo utataka mfananisha...
 3. Nukta5

  Nini faida na hasara za gari aina ya Toyota Premio kwa engine za D4?

  Vp zile G 1980 za valvematic engine consuption yake ikoje town
 4. Nukta5

  Watanzania wazuiliwa kucheza bahati nasibu ya kupata ukazi wa kudumu (Green Card) Marekani

  Ina maana ndoto yangu ya kuenda Marekan imefia hapo sasa, am looking forward to Canada
 5. Nukta5

  Muimbaji Queen haizel atishia kukata sehemu zake za siri

  Anaikata sehemu gani, asisahai kuweka picha na sisi tuone ni kwa wapi
 6. Nukta5

  Unakumbuka tukio gani ulilonusurika na ukaamini ni mkono wa Mungu umekunusuru?

  Nikiwa mdogo miaka ya 90 kuna jirani alikua na volkswagen bettle siku moja amefika anaingia apaki nikakidandia kwa uku kwenye mlango huwa kuna ile sehem ya kanyaga ghala nikateleza nikaanguka miguu ikaingia chin ya gari likanipanda nikasikia makelele watu huko nashukuru Mungu hata haikuvunjika...
 7. Nukta5

  Msaada: Nataka kujua utumikaji wa mafuta kwenye Valve Matic Engine

  Huu ni mfumo mpya mbadala wa VVTi upo kwenye gari aina ya Allion 2009 na premio 2009. Mwenye gari aina hizo naomba ufafanuzi wa matumizi ya mafuta
 8. Nukta5

  BASATA yamfutia Usajili Msanii Dudubaya kwa kukataa wito wake

  Kuna watu hapo wanaomsupport Dudubaya wameumia sana hao huwa wanamsupport kwa likes kule instagram kwa kutukana lakini kwa kazi zake huwa hawamsupport hakuna siku wamekuja kumsifia au kumuonya kwa kazi zake anazofanya ila kutokana anaweza kutukana basi media nyingine ambao ni wapinzan basi...
 9. Nukta5

  Dudubaya wewe ni mshindi daima

  Hawataweza kumfanya kitu Dudubaya anabackup kubwa ya mkuu wa mkoa
 10. Nukta5

  Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia petroli

  Mkuu nina toyota duet 1999 huwa gauge yake ya mafuta unakuta ipo karibia bar moja sometime gari inazima licha ya kuonyesha bar moja ya mafuta tatizo ni nin?
 11. Nukta5

  WW3: Diamond Platnumz Vs Diva

  Kwa mfano Dudubaya kila akiamka huwa anawasema clouds au B12 lakin hakuna siku utasikia wamemjibu maana wanajua ukibishana na mtu ambae unajua mko level tofauti utadhalilika so Diamond atulie tu kama vile haoni hadi atakapochoka mwenyewe
 12. Nukta5

  Diamond sasa ni kubadili mafanikio kuwa hela

  Kweli management yake inatakiwa iangalie hilo swala kwa mfano ukipiga mahesabu ya show ya wasafi labda wameingia watu 20k wakalipa 10k inakua ni 20m amewaalika wasanii tuseme minimum 20 labda pamoja na wadhamin wakichangia ifike 60m gharama ya usafiri jukwaa dancers na mengineyo unaweza shangaa...
 13. Nukta5

  Roma aachia bonge la ngoma la kusifu na kuabudu linaitwa Mkombozi

  Siku zote Roma hajawahi kuniangusha kwenye chorus huwa anajua aweke vionjo gani chorus iwe na ladha sio zile chorus za kurudia rudia kama Hainistui, chuchumaa, tetema, Yumba, Sugua na zinginezo zote huwa chorus zinafanana. Big up Roma
 14. Nukta5

  Kati ya Gari ya Diesel na Petrol, ni ipi inatumia Mafuta sana?

  Mkuu hiyo majesta ni ya mwaka gani?, naomba full specs kama hutojali
 15. Nukta5

  Basi laacha njia na kugonga magari saba Moshi, watu 15 wajeruhiwa

  Nilipita eneo la tukio na kuikuta hiyo ajali bahati nzuri hawakuwepo watembea kwa miguu wangepata madhara makubwa sana, mwaka huu pia kulikua kuna video ya ajali nyingine ya bajaji ilikosa break ikaingia hadi keepleft ndani. Hivi Chato na Bukoba bado hawajaweka hizo camera(kidding)
 16. Nukta5

  Mwaka unaisha, umefanikiwa kufanya nini?

  Nilikuwa na malengo ya kufungua kibiashara nilifanikiwa but kwa bahati mbaya kimeshindwa kuendelea hapa mwishon mwa mwaka ila mwakani nitatia nguvu kwenye biashara, Mwaka huu nimeandamwa na kuumwa sana tumbo kila nikipima wanasema ni dalili ya vidonda au acid tumboni ila mwakani Mungu...
 17. Nukta5

  Saudi Arabia ruksa kwa wanawake na wanaume kutumia mlango mmoja mgahawani

  Sheria kila siku Saudi Arabia zinazidi kubadilika ninazozikumbuka ni ile ya wanawake kuendesha magari, wanawake kwenda kutazama mpira uwanjani, juzi pambano la Joshua na Ruiz limefanyikia kule leo wanabadili sheria iliyokataza wanawake na wanaume kutumia milango tofauti kwenye mgahawa. Yule...
Top