Search results

 1. C

  Hivi CCM nani ni msafi kama hata Jangwani ilisha uzwa ?

  Jangwani nayo imebinafsishwa Mikwara yote ya kusafisha eneo la Jangwani kuwaokoa walio mabondeni na mafuriko ya mara kwa mara kumbe ni danganya toto. Eneo hilo linadaiwa kuwa tayari lina magabacholi wanne waliolinasa tangu mwaka 2004 tangu enzi za Mzee wa Jiji Yusufu Makamba. Serikali...
 2. C

  Siyo sahihi utangaze hali ya hatari Mh.Rais ?

  Umeme wazidi kuleta kilio Serikali huenda ikakopa fedha BoT Noti mpya kuchapishwa Mfumuko wa bei kuongezeka Maumivu mtindo mmoja na Mwandishi Wetu SERIKALI huenda ikalazimika kuchukua fedha kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa ajili ya kuiwezesha kufanya mambo mbalimbali...
 3. C

  Ndugu JK tunangoja uchukue hatua kama hizi sisi Wapiga kura

  Chad oil company deadline expires Chadian President Idriss Deby set a Sunday deadline A 24-hour deadline by Chad's government for two major foreign oil companies to leave the country has expired. President Idriss Deby ordered US firm ChevronTexaco and Malaysia's Petronas, together...
 4. C

  Gharama za Baraza la Kikwete -Tutafika ??

  Jamani tutafika au wachambuzi mnasemaje ? Gharama za Baraza la Kikwete Fungu la mishahara yao lazidi la Mkapa Magari ya mawaziri yagharimu bil. 6.4 Na Tamali Vullu, Dodoma BARAZA la Mawaziri la sasa linalipwa mishahara ya sh 1,012,764,000 kwa mwaka ikilinganishwa na baraza...
Top