Search results

 1. M

  Nashauri Peter Kibatala achaguliwe kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

  Habari wana jamvi,Poleni na misukosuko ya Jumamosi Kutokana na kadhia inayotukuta sisi watanzania kushindwa katika kesi mbalimbali za kitaifa na kimataifa hususani Serikali yetu na kulipa fedha nyingi mfano kukamatwa kwa ndege yetu ya Air bus huko Afrika Kusini naomba nimshauri Rais wangu kama...
 2. M

  Bollen Ngetti: Nini hasa kilichonitokea...

  WHAT REALLY HAPPENED TO ME Na Bollen Ngetti ILIKUWA ni majira ya saa 4:27 usiku wa 8/8 nikiwa ndani ya FQ Hotel na marafiki zangu pamoja na mmiliki wa hoteli tajwa tukibadilishana mawazo. Hoteli ilivyo ina geti moja ya kutokea. Niliwaaga wenzangu kwamba ninaondoka. Kimsingi si kwenda nyumbani...
 3. M

  Waziri Jaffo tunaomba uangalie mfumo wa maombi ya ualimu kwa jicho la tatu.

  Mhe: pole na majukumu na changamoto za hapa na pale katika ujenzi wa taifa letu.Changamoto kubwa inayotukabili kwa sasa sisi waalimu tuliohitimu mafunzo ya Ualimu katika Vyuo mbalimbali Nchini ni changamoto ya mfumo wa Uombaji mafunzo kwa njia ya mtandao yaaani OTES. Mfumo huu umekuwa haumili...
 4. M

  Salary Scale OSHA-Scale 6.1 ni mshahara kiasi gani?

  Wanajamvi samahani naomba kuulizia kiwango cha msharahara (pesa) ambayo mfanyakazi anaweza kulipwa kwa kwango hiki hapa. Salary Scale OSHA-Scale 6.1
 5. M

  Mdogo wangu anahitaji msaada wa ushauri kuhusiana kozi zifuatazo

  Wanajamvi mdogo wangu anahitaji msaada wa ushahuri kuhusiana kozi zifuatazo: 1.Bsc in telecomunication engineering 2.Bsc in soft ware engineering. 3.Bsc in Computer science. 4.Bachelor in public administration. Ipi ni marketable na anaweza kujiajiri na kupata kazi kwa urahis
 6. M

  Nisaidieni jamani

  Nina mke ambae tumebahatika kuzaaa mtoto mmoja tangu 2014 lakini kwa bahati mbaya aliweka vijiti kama njia ya uzazi wa mpango lakini nimekuwa nikimshaghuli kuhusiana na kupata mtoto mwingine hataki kunisikia na ugomvi hutokea. sasa nahitaji msaada wa kuyaondoa hayo madawa mwilini bila ya yeye...
 7. M

  Kumbe wapiga madili bado wapo!Hebu angalia upigaji wa Chuo cha Ualimu Korogwe

  Nimejaribu CC #ndalichako Cc #john pombe magufuli
 8. M

  Kadinali Pengo ni mnazi wa CCM

  Dar es Salaam. Mwadhama Kadinali, Polycarp Pengo amesema kwamba kauli iliyotolewa hivi karibuni na Askofu wa Jimbo la Rulenge mkoani Kagera, Severine Niwemugizi kwamba Katiba mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi ni maoni binafsi siyo msimamo wa Kanisa Katoliki nchini. Pengo alisisitiza hilo...
 9. M

  Nigeria ya Sani Abacha inanikumbusha mbali jinsi alivyotaka kummaliza Abiola akatangulia yeye

  Nigeria ni miongoni mwa Nchi zilizokumbwa ghiriba nyingi kisiasa.Ikiwa ni mapinduzi ya mara kwa mara yaliyosababisha kimwagika kwa damu na mangine kwa njia ya Amani. Katika mapinduzi hayo yalifanikiwa kumuweka madarakani General Sani abacha baaada ya kumpindua general baba ngida (niko...
 10. M

  Tunduma: RC Songwe aagiza bendera za CHADEMA zishushwe kupisha ziara ya Waziri Mkuu

  Habari iliotufikia hivi punde ni kwamba bendera za CHADEMA wilayani Tunduma zimeshushwa na jeshi la polisi ili kupisha ziara ya Waziri Mkuu. Amri hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe bendera zote zishushwe mpaka Waziri Mkuu amalize ziara yake. Chanzo: Katibu wa wilaya CHADEMA. My take...
 11. M

  Tukumbushane ripoti ya makinikia, je imeshachapishwa kwenye Magazeti?

  Wadau kwa nia njema ya Taifa letu hebu tukumbushane ripoti ya makinikia kwani Wakati inasomwa kiongozi wetu alikuwa na Uchungu mkubwa sana wakizalendo. Sasa tukumbushane tuuu je ile ripoti walishaichapa kwenye magazeti? Walishakakabidhiwa wabunge waijadili? Mikataba ya madini wameshapewa...
 12. M

  Mafanikio na madhara ya serikali yetu jamhuri ya watu wa korea kaskazini

  Serikali ya Jamhuri ya watu wa korea iliundwa kama miaka kadhaaa iliyopita. Ni serikali iliojaa mafanikio na vitimbi kwa watu wake wa korea.Miongoni mwa mafanikio yake 1.Kukataza kabsa safari za nje ya nchi huku watoto pendwa kim john uni wakisafiri bila kupata kibali na kufanya...
 13. M

  Uhuni unaofanywa na Paul Makonda akishirikiana na watu tuliowaamini kulinda nchi

  Wakati wa vita pili ya dunia 1939-45. Wakati kuna kikosi maaa lum kiliundwa kwa madhumuni ya kuwashughulikia wale wote waliokuwa na mawazo mbadala.Kipindi German ndio iliokuwa super power ikiongozwa na Dictator Adolph Hittler. Huyu bana aliunda kikosi maalum ambacho kiliongozwa na Bwana Mmoja...
 14. M

  Hebu Wizara ya elimu jaribuni kuipitia joining instruction ya kreluu teachers college

  Mhe: waziri wa elimu professor joyce ndalichako hebu sisi wanafunzi wa kreluu teachers college tunaomba utupunguzie michango ya kusoma stashahada ya ualim wa sayansi ukizingatia ulisema kwamba mafunzo ya ualim yamerudishwa NECTA. Kwahiyo wanafunzi tunatarajia kwamba na ada itapungua...
 15. M

  Mhe:Ndalichako hebu litazame hili kwa jicho la pekee

  Habarini wanajamvi Nasikitishwa na kitendo cha NACTE kuendelea kudahili mafunzo ya ualimu 2016/17. wakati kuna walaka umeshatolewa kwamba NACTE hawaruhusiwi kudahili tena kwani utaratibu umebadilishwa na wizara itahusika katika kudahili waalimu wa shahada na stashahada. Pili ada za vyuo vya...
 16. M

  Hebu tuujadili huu wizi ambao HESLB wanataka kutufanyia

  Jamani wanajamvi kwanza naomba maadimin wasiuunganishe huu uzi na uzi mwingine lengo nikuelezea bayana wizi ambao bodi ya mikopo inataka kuwafanyia wananchi maskini. Kwanza ikimbukwe waliiomba mikopo jumla yao ni wanafunzi 88650 na waliopata ni wanafunzi 20000 kwahiyo ambao hawajapa ni zaidi...
 17. M

  Mwenye CV ya mkurugenzi mtendaji ya bodi ya mikopo

  Nasikitika na nitaendelea kusikitika kutoka na utendaji wa huyu mkurugenzi wa bodi ya mikopo kutokana na kauli yake aliyoitoa kwenye gazeti la Nipashe kusema kila serikali ina kipaumbele chake na kama serikali hii kipaumbele chake ni viwanda kwahiyo elimu sio kipaumbele. Naomba ajibu kama...
 18. M

  Hivi ni kwanini bodi ya mikopo mnamchonganisha mtukufu Rais na wapigakura wake ?

  Wanajamvi napenda kuliezea hili kwa masikitiko makubwa kuhusiana na BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU (HESLB) jinsi gani inavyopingana na sera ya Rais wetu kipenzi ya Hapa kazi tuuuu. Haya ni maneno ambaya Rais wakati anahutubia bunge alisisitiza mambo ma2 ambayo hatayavumilia kuyasikia katika awamu...
 19. M

  Bodi ya mikopo na tuition fees

  Daaaah wadau imekaaje hii naona bodi ya mikopo ipo kimya wakati UDSM (Home of Vipanga) na SUA wazee wa Screen test (Hard science) wanafungua wiki hii na wiki ijayo respectively. Au gvt bado inahakiki? Hatuwaelewi ukimya wao?
Top