Search results

 1. 42774277

  The novo coronavirus: Could it have been genetically engineered for the Chinese race as a bio-weapon?

  Jiulize kwanini inaenea kwa kasi china kuliko maeneo mengine? Sent using Jamii Forums mobile app
 2. 42774277

  Utabiri: Bernie Sanders Ndiye Rais Ajaye WA Marekani

  US siyo Tz... Hayo unayoyasema yanaweza kufanyika katika nchi ambayo rushwa imejaa. Sent using Jamii Forums mobile app
 3. 42774277

  Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa pale tu CHADEMA na wapinzani kwa ujumla watakaposusia Uchaguzi Mkuu 2020

  Kwa hiyo hapa unataka kuaminisha watu eti raisi hana chama.? Sent using Jamii Forums mobile app
 4. 42774277

  Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  Bet your life saving. Sent using Jamii Forums mobile app
 5. 42774277

  Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  Kugonga mwamba siyo kutokujua. Kwani Giroud alivokosa mara ya kwanza ina maana hajui...? Sent using Jamii Forums mobile app
 6. 42774277

  Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  Nishakuambia hii siyo arsenal. Sent using Jamii Forums mobile app
 7. 42774277

  Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  Hahahah hivi barkley angefunga ule mpira uliogonga mwamba usingeshangilia? Jamaa yangu unamchukia sana barkley. Sent using Jamii Forums mobile app
 8. 42774277

  Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  Chelsea siyo arsenal. Hivi huwa mnajisikiaje mkizikumbuka zile goal 10? Sent using Jamii Forums mobile app
 9. 42774277

  Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umeanza kushabikia lini mpira? Sent using Jamii Forums mobile app
 10. 42774277

  Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  Kesho huyo bayern akilambwa urudi hapa. ... Sent using Jamii Forums mobile app
 11. 42774277

  Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  Valencia amepigwa 4 na atalanta. Ajax amepigwa naye huko sijui na kitimu gani. Nyinyi ndo mlikuwa mnasema eti Mou hafungwi mara mbili. Ila baada ya match ya juzi mkashona midomo. Sent using Jamii Forums mobile app
 12. 42774277

  Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  We unashabikia timu gani? Tuanzie hapo. Maana bayern tutamtoa na hutoamini Sent using Jamii Forums mobile app
 13. 42774277

  Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  Willian anacheza kama hataki sababu anajua msimu ujao atasepa. Ni bora tu akae benchi hiyo nafasi acheze hata mason mount. Game ya totte mount aliperform vizuri sana. Sent using Jamii Forums mobile app
 14. 42774277

  Inasikitisha, Nimelia sana: Hii picha ya Dr Bashiru ni usaliti mkubwa, sikutarajia

  Sikufikii wewe. Sent using Jamii Forums mobile app
 15. 42774277

  Ni deki gani ya TV au kifaa gani kinaweza kusoma folder za video aina zote hasa MKV

  Me nna Samsung flat screen ambayo ni full HD. Inasoma hizo mkv bila shida. Sent using Jamii Forums mobile app
 16. 42774277

  Mdahalo huru: Team android na Team iphone tukutane hapa

  Labda useme ulaya. North amerika iPhone ndio anaongoza kuuza sokoni hao wengine wanafuata. Sent using Jamii Forums mobile app
 17. 42774277

  Mdahalo huru: Team android na Team iphone tukutane hapa

  Katika vitu ambavyo ni rahisi basi ni kuhamisha picha kutoka kwenye pc kwenda kwenye iPhone. Sijaelewa hata kwann unacomplain. Sent using Jamii Forums mobile app
 18. 42774277

  Mdahalo huru: Team android na Team iphone tukutane hapa

  Za chini ya hapo hazikai ndio. Kwa sasa hakuna flagship inayokaa na charge kama Iphone 11 pro max.... Sent using Jamii Forums mobile app
Top