Search results

 1. ubongokid

  Jinsi ya Kwenda jana na Kesho-Moving accross time boundaries

  Leo nataka kuleta mjadala mdogo; Huu ni mjadala unahusiana na uwezo wa mwanadamu kuvuka time borders.Tunajua kwamba in reality sote tumeungwa katika wakati uliopo. We have no control of the past or the future except through imagination.Katika kufikiria kwa kina unaweza ukaona kwamba pamoja na...
 2. ubongokid

  Je Mbuga ya Burigi Chato ina umuhimu wowote au ni Mbwembwe tu?

  Nianze kwa kusema kwamba andiko hili halilengi kuunga au kupinga uwepo wa mbuga ila linataka kuibua mjadala wa kimkakati kuhusu ulazima au umuhimu wa kuwepo kwa mbuga hii. Binafsi nafikiri serikali ingepaswa kuwekeza rasilimali muda na rasilimali pesa katika kuboresha mbuga zilizopo,kuzitangaza...
 3. ubongokid

  Hii nchi imekuwa kama familia ya kambale, kila mmoja ana ndevu

  Hii nchi yetu sasa imekuwa ya ajabu sana. Viongozi wetu nao wamekuwa vituko na watu wa ajabu kabisa. Imekuwa kama familia ya kambale ambapo ukoo mzima una ndevu.Yaani kanchi kamekuwa na mambo ya kipuuzi puuzi tu yasiyokuwa na adabu. Kanchi sasa hakana mipango, hakana sera wala hakana uelekeo...
 4. ubongokid

  Election 2020 Je, watanzania watamchagua nani kuwaongoza mwaka huu

  Habri za wakati huu; Nimekuwa nikifuatilia kwa kina mitazamo ya wananchi hasa vijana wa umri kati ya miaka 18 hadi 45 ambao wengi wao ndio wapiga kura watakaoshiriki katika kuamua nani awe rais mwaka huu wa 2020.Kwa fikra na mtazamo wao kwa hakika wanatafuta sana alternative candidate/Mbadala...
 5. ubongokid

  Watanzania wanajua sura na harufu ya Upigaji

  Tatizo la viongozi wetu akiwemo Rais Magufuli ni kufikiri kwamba watanzania ni wajinga wasioelewa lolote.Wanasahu kwamba hiki kilichop mtaani sasa ni KIZAZI CHA KUHOJI (KCK) na kwamba uwezo wetu wa kuhoji hauna mipaka. Ndugu yetu tuliyempa dhamana ya kuendesha nchi anatambua kwamba ikifika...
 6. ubongokid

  Sasa ni hatari kama Taifa kuwa na mfumo wa elimu usiojali. Tutafakari,tujipange

  Naandika haya kama Mtanzania Mzalendo ambaye ninaamini kabisa kwamba Tanzania itajengwa na Watanzania wenyewe na kwa faida za Watanzania wenyewe. Ninatambua kwamba katika hili la elimu kunaweza kuwa na mambo mengi sana ila tukubali tukatae "ELIMU YETU INA MATATIZO MAKUBWA SANA" Baadhi ya...
 7. ubongokid

  Nani atakuwa wa mwisho kufa? Nani atakuwa wa mwisho kwenda Gerezani? Nani atakuwa wa mwisho kuisoma namba?

  Kwa hakika hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho. Nimekaa na kutafakari yanayotokea sasa nchini, watu wanakufa bila kuwa na hatia. Mfano, mama mzazi wa Kabendera. Watu wanakufa wakiwa na uchungu moyoni, watu wanakufa bila kutarajia, watu wanapotezwa, watu wanawekwa jela bila haki, watu...
 8. ubongokid

  Kazi na Bata ndio Habari ya mjini, Mengine Mbwembwe tu

  Maisha ni tight kwa hio hapa ni mwendo wa KAZI na BATA tu mengine Mbwembe tu 2020 Twende na KAZI na BATA tuachane na mbwembwe
 9. ubongokid

  Magufulistic economic policies in context: What is wrong?

  Looking at the Tanzanian economy at present, nobody can tell for sure if the economy s booming or shrinking. Nobody can tell if we are in depression or recession or at the peak of our economic cycle. There is divided opinion about this and today I will not attempt to give my opinion on this or...
 10. ubongokid

  Huwezi kumpiga mtu na Kumnyima haki ya kulia

  Naandika haya nikitambua kwamba kila mtu anaweza kuwa na tafsiri yake kwa mujibu wa mtazamo na uelewa wake."Kuwa na uwezo au haki ya kumpiga mtu hakukupi haki au uwezo wa kumzuia kulia"Huu ni msemo wa wenye hekima wengi. Ni wajibu wa serikali na viongozi wote wa serikali kuhakikisha kwamba raia...
 11. ubongokid

  Je unaelewa nini kuhusu state sanctioned terror (Ugaidi unaofanya na mamlaka za Serikali)?

  Habari za sikukuu? Natambua kwamba kwa watanzania wengi hii ni siku kama siku nyingine na kwamba maisha yanaendelea kama kawaida. Natambua pia kwamba kuna ambao wako katika huzuni na pia wapo ambao wako katika furaha. Hayo ndio maisha na inabidi tukubaliane na hali halisi kabla ya kuanza...
 12. ubongokid

  Cecil Mwambe-Mwiba Mchungu Kwa Wana CCM

  Wakati tukiendelea na Shamra Shamra za uongozi wa Chama Kikuu cha Demokrasia Tanzania tuangalie kwa kina jinsi ambavyo Cecil Mwambe atavyokuwa Mwiba Mchungu kwa Chama Cha Mapinduzi. Ni ukweli usiopingika kwamba Cecil alikuwa Mwana CCM kabla ya Kuhamia Upinzani.Pia ni ukweli usiopingika kwamba...
 13. ubongokid

  Je, Kuna Ufisadi Mkubwa Ndani ya Chadema?

  Habari za wakti huu; Wakati tukielekea katika uchaguzi mkuu wa Chama Kikuu cha Demokrasia na Maendeleo nchini Tanzania Chadema mmoja wa wagombea wa nafasi ya mwenyekiti,Ndugu Kamanda Cecil Mwambe ameibuka na kudai kwamba Chadema inapata Pesa Nyingi za Ruzuku na haijaweza kufanya maendeleo kwa...
 14. ubongokid

  Why President Magufuli should be a One term President-Untainted Legacy

  We are now coming to the end of the fourth year of the Rule of JPM which has been marred with controversies scandals and pending issues.For the past 4 years we have witnessed probably the largest spending by the government on major infrastructures in various regions.All these projects have the...
 15. ubongokid

  Heri ya siku ya kuzaliwa askofu Ludovick Minde Askofu mteule wa Jimbo la Moshi

  Habari Za Wakati huu wana JF Wakati Tunasherehekea siku ya Uhuru wa Taifa Letu vile vile ni siku ya Kipekee kwa Askofu Ludovick Minde ambaye mpaka alipoteuliwa tarehe 2 Dec 2019 (Kusimamia Jimbo la Moshi) alikuwa ni Askofu wa Jimbo la Kahama. Askofu Minde alizaliwa Mwaka 1952 huko Kibosho...
 16. ubongokid

  A Tribute to Ali Mufuruki-A Life of Ambition, Patience, Intellect and Patriotism

  First of All I should make it clear that my knowledge of Mufuriki is no different from my knowledge of any popular Tanzania neither is it different from what most people know about him and possibly I may have little knowledge of Ali than any one reading this tribute. The Ali I knew and admire...
 17. ubongokid

  Jinsi Ukiritimba wa Magufuli unavoiua CCM na Kuijenga Chadema na Popular Movement

  Ni ukweli usiopingika kwamba Magufuli amethibitisha kwamba yeye ni chuma. Pamoja na jitihada zake nyingi za kujaribu kujenga Tanzania Mpya na mafanikio ambayo tunayaona kuna maeneo ambayo kwa hakika kabisa anaenda kukiua chama cha Mapinduzi CCM na kuimarisha chama cha Upinzani hasa Chadema...
 18. ubongokid

  Je unaamini katika uchawi na ulozi? utajiri wa kichawi?

  Kuna uwezekano wa mtu kuchukua bahati ya mtu au kumloga mtu ili apate utajiri?
 19. ubongokid

  Je, umewahi kufikiria kujiua?

  Habari za wakati huu Uzi huu ni kwa wale ambao wamewahi kufikia hatua ya kutaka kujiua ama kwa kamba, sumu, kujiingiza kwenye ajali au kwa namna yoyote ile. Je, unakumbuka tukio lenyewe?Je, kwa sasa unajisikiaje ukikukumbuka? Je, nini kilikuwezesha ukaacha kuchukua hatua hio? Karibu tujadili...
 20. ubongokid

  Je, CHADEMA wanao mbadala mwingine pembeni ya kususa?

  Huku duniani kuna mifumo mingi sana ya kuondoa tawala yoyote ile madarakani,Baadhi ya njia hizo ni halalai na nyingine ni haramu. Katika kutafuta haki unaweza kuamua kutumia njia halali au kuamua kutumia njia haramu yote inategemea tu na malengo yako kisiasa. Je, ni kweli Chadema wamesihiwa...
Top