Search results

 1. salaniatz

  App ya kupakua movie na season zilizotafsiriwa kwa Kiswahili

  Habari wakuu.Hii ni kuwajulisha wale wapenda movie zilizoshereheshwa na MaDJ wa Kibongo sasa waweza kuzipakua popote ulipo. Pia, singo movie HD zisizotafsiriwa zinapatikana pia.cMovie na season zote kwenye app hii ni bure gharama ni MB zako tu. Pia kwa wale wenye uharaka wa kupata movie kwa...
 2. salaniatz

  Tumheshimu mjinga., ana nidhamu ya hela na kipaji cha biashara... kupata hela sio kazi bali kuitunza na kuiheshimu

  ! MJINGA ! Mjinga akimaliza la saba anaanza biashara ya kuchoma mahindi halafu atauza miwa, atalima viazi huku akikatisha mkaa. Baada ya miaka miwili mitatu ivi atafungua duka la nguo atasafiri kwenda Dar kufunga mzigo.... Kila hela atakayopata ataitunza kwa nidhamu kuu. Wafanyabiashara...
 3. salaniatz

  Airtel Virtual MasterCard naikubali

  Nimekuwa nikitumia kununua bidhaa na huduma online kwa card za CRDB, Vodacom na sasa nimetumie ya Airtel. Kwa nionavyo mimi hakika Airtel wameifanya vyema huduma yao na namna unavyoona makato at a time. CRDB imekuwa ikikaa mara kwa mara kwa baadhi ya miamala japo unakuta ilishakubali hapo...
 4. salaniatz

  Naitafuta movie hii ya zamani ya Kinigeria

  Habarini wakuu....Mtu ukikikumbuka kitu basi nakuwa kama nnaarosto nacho hivi.Iyo movie Nimeisahau jina ila nakumbuka storyline kwa uchache...Nahisi star ni Ramsey Noah, Ramsey (kama ndiye) anauwawa kwa fitna za mapenzi,anarudi duniani kama mzuka ila hakuna anayeweza kumuona zaidi ya kichaa...
 5. salaniatz

  Nimerudi tena baada ya kuwa suspended

  Ni kama miezi 3/4 nilikuwa naruhusiwa kusoma tu baada ya kupigwa BAN takatifu.Anyway nimewamisi sana Members.Saivi nimekuwa mpoleeeeeee...
 6. salaniatz

  Barua ya wazi kwako mke mtarajiwa

  IKIWA UTAKUBALI KUOLEWA NAMI BASI USINIPIKIE HIVI Tembele katika upishi wake wote.....Hii kwangu nikiliona tu nashiba ghafla...Nawachukia hadi wauzaji wake sujui kwa nini....Sina aleji nayo ila likiwa tu mdomoni nasisimka mwili na roho.Yani kama wewe unalipenda basi lipike nisiwepo.Ndugu yangu...
 7. salaniatz

  EID MUBARAK

 8. salaniatz

  ILANI YA CHAMA CHA MILELE

  Siku Hizi Hawafanyi Kazi Wamebaki Kucheza Kamari Tu (Kubet)!! Kumbe Sikujua Wanatekeleza Ilani Ya Chama!!
 9. salaniatz

  Made your day

 10. salaniatz

  MIKOBA MIPYA YAKIKE GUMZO MJINI

 11. salaniatz

  HUDUMIWA NA WATAALAMU WALIOBOBEA TOKA NJE YA NCHI

  HAPA NAZUNGUMZIA WALE AMBAO WANAHITAJI HUDUMA KWA AJILI YA BIASHARA ZAO MFANO BLOG,WEBSITE,LOGO NK Graphics & Design Digital Marketing Writing & Translation Video & Animation Music & Audio Programming & Tech Business Fun & Lifestyle Sitemap NK INGIA HAPA KUCHAGUA HUDUMA UITAKAYO KWA BEI...
 12. salaniatz

  NI ZIPI subsidiary pass NA principal passes?

  Completed ‘A’ Level Studies from 2016 onwards. Two principal passes with a total of 4.0 points in Two Subjects defining the admission into the respective programme (where A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1; S = 0.5)
 13. salaniatz

  Mwenzi wako akikuonesha haya, jua hakutaki!

  July 12, 2018 by Global Publishers KWA kawaida mtu anapompenda mtu huwa ni vigumu sana kumuacha aende. Hatamani hata siku moja kumpoteza mtu ampendaye. Atafanya kila linalowezekana kuhakikisha kwamba mhusika anakuwa mpenzi wake. Mapenzi humfanya mtu awe kipofu. Anashindwa kufikiri sawasawa na...
 14. salaniatz

  NIJUZENI JINSI YA KUTENGENEZA TUI LA NAZI BILA KUTUMIA KIBAO CHA NAZI(MBUZI)

  NIMECHOKA KULISHWA NAZI NA BAKHRESA ZA KIWANDANI....NATAKA NAZI ORIGINAL TOKA SHAMBA MNAZINI....TATIZO LIPO KTK UKUNAJI WA IYO NAZI ILI KUPATA TUI....VP NAWEZA KUTUMIA UTAALAM NA KIFAA GANI ILIKUPATA TUI LA NAZI...NIJUZE KIFAA TOFAUT NA ITO MBUZI NIPO KIDIGITAL ZAIDI NATAKA UMEME NDIO UFANYE IYO...
 15. salaniatz

  Unapodaiwa au kumdai mtu uchukue hatua gani!!?

  POLISI HAWARUHUSIWI KUCHUKUA KESI ZA KUDAIANA HELA. Na Bashir Yakub. +255784482959. Yapo mambo tunatakiwa kuyazungumza mara kwa mara ili watu wayaelewe. Moja ya mambo hayo ni hili la watu kudaiana hela hadi kufikishana polisi. Mtu binafsi, Saccos au taasisi imekukopesha fedha, na hatimaye...
 16. salaniatz

  Msaada kwa aliyeko Afrika Kusini Braamfontein Johannesburg

  Sio mimi bali ni mdogo wangu yuko huko...now 01/04/2018 ana wiki ya pili huko....hali iliyoko anayumba baada ya kuibiwa kila kitu ikiwemo passport.... Amejishikiza kwa mbongo nae maseke vilevile...alienda kufanya kazi kupiga stika kama alivyopewa mchongo na mwenyeji ambae now kamkimbia...
 17. salaniatz

  Benki ya CRDB yafanya kufuru, yatoa mikopo hadi mil 50 bila riba

  Akizungumza na Nipashe iliyotaka kupata ufafanuzi juu ya huduma hiyo jana, Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa CRDB, Tuli Mwambapa, alisema kiwango cha chini cha mikopo hiyo ni Sh. 500,000 na cha juu ni Sh. milioni 50."Kiwango cha juu ni Sh. milioni 20 kwa Mastercard Gold...
 18. salaniatz

  Cocaine, unajua imetokana na nini!?

  Dunia imekuwa ikihaha kila siku kutafuta suluhu na kukomesha biashara haramu ya dawa za kulevya, ambazo zimekuwa zikiangamiza vijana kwa asilimia kubwa sana duniani kote. Madawa haya ambayo yapo mbali mbali duniani lakini yakiongozwa na cocaine kwa umaarufu, yamekuwa na madhara makubwa huku...
 19. salaniatz

  Heri ya kuzaliwa mgunduzi wa periodic table

  Unaifahamu Periodic Table ile inayotumika kutaja elements kwenye somo la Kemia!!? Kama unaifahamu, sasa aliyeibuni anaitwa Dmitri Mendeleev, ambaye ni raia wa Urusi. Alizaliwa tarehe kama ya leo, Februari 8, 1834 huko Urusi. Neno moja kwake kwa uvumbuzi wake.
Top