Search results

 1. K

  Mbowe muige Raila Odinga shirikiana na Rais Magufuli kuijenga Tanzania yetu!

  Ujajibu swali Je Mbowe aliongea nini kwenye sherere za uhuru Mwanza je kasikilizwa? Magufuli kafanya nini mpaka sasa?
 2. K

  Kwa Diaspora CHADEMA damu

  Kwanza Chadema hawajaomba pesa. Pili diaspora wengi sio wanasiasa ni watu wanaotaka kusadia nchi. Karibu diaspora wote hata wale wa CCM watakuambia wanachoogopa zaidi ni mfumo wa Tanzania kwenda kwenye udikteta. Hii ni ngumu kama upo Tanzania kuiona lakini ukiangalia kwa nje picture ni clear...
 3. K

  Mbowe muige Raila Odinga shirikiana na Rais Magufuli kuijenga Tanzania yetu!

  Je Mbowe aliongea nini kwenye sherere za uhuru Mwanza je kasikilizwa? Magufuli kafanya nini mpaka sasa?
 4. K

  Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

  Mimi ni Ilboru bro mwenzako. Ushauri wangu ni kwamba brand yako imekuwa damaged sana. Sababu kubwa ni kubwa hata wenzako wa CCM hawakuamini. Ungeweka msimamo wakati wa Lissu na kuwa muwazi zaidi na kutokuonekana au kutetea vitu ambavyo kila mwenye akili anaona watu wangekuheshimu hata kama...
 5. K

  Unachukua upinzani wote, halafu!!

  Mbona watu wameshajua hili. Siri ni huko mbele awe na bunge la kuongezewa muda na miaka
 6. K

  Mbowe muige Raila Odinga shirikiana na Rais Magufuli kuijenga Tanzania yetu!

  Unaongelea kitu ambacho hakipo mbona mawazo ya kisera yanatolewa kila siku? je wanasikilizwa basi!
 7. K

  Mbowe muige Raila Odinga shirikiana na Rais Magufuli kuijenga Tanzania yetu!

  Hivi tumewahi kusikia Odinga na wapinzani Kenya wana kesi mahakamani kwa kumuongea vibaya Kenyatta? wenzetu wanaheshimiana zaidi yetu na wanaongea mambo makubwa kuliko hata sisi. Tanzania ya sasa ukisema serikali ya kibepari au ubepari mcharwa unaweza kabisa kufuliwa kesi? Mikutano ya wakati wa...
 8. K

  Mbowe muige Raila Odinga shirikiana na Rais Magufuli kuijenga Tanzania yetu!

  Labda utueleze kushirikiana una maana gani? na unavyosema kafeli kwenye mtihani upi? Kama nilivyosema ushirikiano ni pande mbili. Mbona wakati wa Kikwete matatizo ya sasa hivi hayakuwepo hivi
 9. K

  Je, tunaweza kujenga Tanzania ya viwanda bila kutegemea mabeberu?, Ukaribu beberu na 'next door' ni fimbo au biashara tu?

  Kwanza ni kutuelezea Beberu ni nani? hili ni jina ambalo limekuwa likitumika lakini tupe maana yako ili tujue unawaongelea watu gani au nchi gani?. Beberu ni mfumo, nchi au nini?
 10. K

  Mbowe muige Raila Odinga shirikiana na Rais Magufuli kuijenga Tanzania yetu!

  johnthebaptist, uongozi unaanzia kwa Raisi ni lini Magu amejaribu kuwa kama Kenyatta na kutaka makubaliano! Tumekuwa na utamaduni wa kulalamikia upande mmoja wakati ukweli ni kwamba Mbowe ameongea siku ya uhuru wazi je Magu kafanya nini. Watu ambao wataumia ni Watanzania wote
 11. K

  Mkapa awapa neno wanaotaka Magufuli aongoze mihula mitatu

  Wajinga hawajui hata ni kwanini anataka 100% anawapa kamba wana CCM kujinyong wenyewe
 12. K

  Election 2020 Bunda: Haijawahi kutokea Esther Bulaya avunja rekodi akusanya watu kwa maelfu,Wazee wa mji wasema niyeye tu Bunda Mjini Oct 25

  Kwani ni uongo Mwanakijiji haina maana hawazuiwi au wanatendewa haki sawa. Hili ni pamoja na matatizo yote hayo. Vilevile viongozi hawafanani sehemu na sehemu. Ni ujinga kuamini kwa sasa kuna demokrasia kwa sababu ya mkutano. Hapo kuna post za huyu akigombana na polisi yaani hata mkutano ni...
 13. K

  Election 2020 Bunda: Haijawahi kutokea Esther Bulaya avunja rekodi akusanya watu kwa maelfu,Wazee wa mji wasema niyeye tu Bunda Mjini Oct 25

  Kwa wakati mgumu hivi hata kama tumepishana siasa ni vizuri kuwa support wanawake hasa vijana ambao hawafati mkumbo tu. Tanzania bado tunataka wanawake zaidi. Ukiangalia vizuri hata Chadema yenyewe wanawake ndiyo wanajua vitu zaidi, wasomi zaidi na wana impact kuliko hata wanaume. Chadema...
 14. K

  Washabiki jiulizeni, ni kwanini wanataka 100%?

  https://www.mwananchi.co.tz/habari/kitaifa/Mkapa-aeleza-alivyowagomea-waliotaka-abadili-ukomo-wa-urais/1597296-5466298-7p1lwq/index.html Tujiulize kwanini anasema hivi? Angalieni vizuri wengine wamekuwa wazito kuelewa
 15. K

  Washabiki jiulizeni, ni kwanini wanataka 100%?

  P, Juzi tu nimesikia makamu mwenyekiti wa CCM akiongea na wafanyakazi wa serikali na kuagiza wahakikishe wanashinda kwa 100% maana nia ni kufuta upinzani Tanzania. Pili uchaguzi wa serikali za mitaa haukuwa halali nasikitishwa wakati mwingine kwa ushushwaji wa kufikiri Watanzania wengi hawana...
 16. K

  Washabiki jiulizeni, ni kwanini wanataka 100%?

  Kama kawaida yetu Watanzania tuna utamaduni wa kushabikia tu kila kitu na kwenda na upepo. Lakini kuna wakati mwingine ni lazima tujiulize ili kunusuru taifa. Sio kila lifanyikalo ni kwa manufaa ya taifa kuna mengi sana ambayo viongozi wanafanya kwa manufaa yao kuonesha wenyewe ni miungu...
 17. K

  Msikubali Tume Huru

  Huyaeleza bado sababu ya kutokutaka kama mnasema mtashinda sasa kwanini mnaogopa tume huru!. Na je umeshajiuliza yatakayotokea kwa kisingizio cha tume huru. Mnataka nchi nzima tuingie kwenye matatizo ya kitaifa kwasababu ya kutaka 100% ambayo haitaleta lipya lolote
 18. K

  Msimamo Rasmi: Wakati Umefika kwa Freeman Mbowe (MB) Kujiuzulu; na Sekretariati Yake...

  Tatizo la a Tanzania ni demokrasia sio vyama vya upinzani. Watanzania wenyewe wamelala na hili ndilo tatizo
 19. K

  Nakubaliana na hoja ya Freeman Mbowe kujiuzulu kwa sababu hizi

  Naona watu wengi mnapenda kujisahaulisha vitu 1. CCM imetawala miaka yote ya uhuru. Upinzani haujawahi kuwa sababu ya kuwa na umasikini 2. Wabunge wengi wa sasa ni CCM na watendaji wote Tanzania nzima. 3. Wanaojama kwa kulosa inawezekana vipi mtu mwezi wa kumi na mbili anagombea au kutak...
 20. K

  Kumbe Mwigulu bado anahitajika na Magufuli, imeonekana leo

  Huyu njaa tupo anapenda madaraka sana hawezi kwenda kupigania haki upinzani huyu ni wale wafanyabiashara wa siasa
Top