Search results

 1. Donatila

  Shilingi imegeuka, sasa wadada wananunua penzi

  [emoji23][emoji23][emoji23] najutraa kukufahamu nanjilinji...
 2. Donatila

  Ushauri:Nahitaji house girl ila nipo njia panda

  Ha ha haaa...ngoja nicheke kwanza... Tafuta house boy...maana house girl atakuganda...mwishowe utampa mimba...
 3. Donatila

  Nimeanza kuvutiwa sana kimapenzi na wanawake "wachafuchafu"...

  Bado kidogo utahamia dampo kabisa...
 4. Donatila

  Mahakama ya haki. Tuwakutanishe hawa wawili

  Ni ujinga kuwa wapenzi ki PM PM na kuachana hadharani... Walipaswa kumaliza kimyakimya
 5. Donatila

  Shilingi imegeuka, sasa wadada wananunua penzi

  Mkuu wewe uko Nanjilinji...mambo ya Mujini haya
 6. Donatila

  Shilingi imegeuka, sasa wadada wananunua penzi

  Mmepotea nyinyi viumbe...
 7. Donatila

  Shilingi imegeuka, sasa wadada wananunua penzi

  Mkuu, we mgeni humu? Daby njoo mwambie huyu jinsia yangu...
 8. Donatila

  Shilingi imegeuka, sasa wadada wananunua penzi

  Wakuu wazima... Sasa shilingi imegeuka upande wa pili, ikiw na maana sasa wadada wananunua penzi. Hapo awali shilingi kabla haijageuka, vidume walipata tabu sana. Yani kama huna senti basi kwisha habari yako, ila sasa ngoma droo. Saivi hata kama huna senti kidume wewe shoo yako iwe karee tu...
 9. Donatila

  Aris TPSC Dar kwanini mnabadili matokeo ya wanafunzi?

  Limefika hapa JF...litatatuliwa
 10. Donatila

  Aris TPSC Dar kwanini mnabadili matokeo ya wanafunzi?

  Wazazi kibao wameenda...wanapigwa kalenda
 11. Donatila

  Aris TPSC Dar kwanini mnabadili matokeo ya wanafunzi?

  Pia taaluma ya mitandao bado hawaijui...warudi shule...
 12. Donatila

  Ndani pachungu

  Kaa kimya mama..bila hivyo utagombana na mumeo na familia yake...hilo jaribu...omba mama...
 13. Donatila

  Aris TPSC Dar kwanini mnabadili matokeo ya wanafunzi?

  Umeona mkuu...saivi dogo atakuwa asomi mikarai tu atapata..
 14. Donatila

  Aris TPSC Dar kwanini mnabadili matokeo ya wanafunzi?

  Hawataki kubadilisha...mtoto alifwata...jibu alilopewa...amekata tamaa
 15. Donatila

  Aris TPSC Dar kwanini mnabadili matokeo ya wanafunzi?

  Nashindwa kuweka matokeo Moderator msaada tafadhali
 16. Donatila

  Aris TPSC Dar kwanini mnabadili matokeo ya wanafunzi?

  Habari wakuu, Nina mtoto wa ndugu yangu namsomesha Chuo Cha Utumishi wa Umma Dar (TPSC) kimezoeleka kwa jina la Magogoni.. Ni mara ya pili matokeo ya mtoto wa ndugu yangu yamebadilishwa.. Nimeona nilete huku maana wahusika hawataki kufanyia kazi. Pia sio huyu mtoto wa ndugu yangu tu anasema...
Top