Search results

  1. rip faza_nelly

    Msaada wa kusafirisha mzigo kutoka Kenya kuja Tanzania

    Nimetumiwa mzigo kutoka US ambao umeenda kushushiwa kenya badala ya tz. Nimetumiwa sms kuwa mzigo umeshafika kenya. Msaada wa taratibu za jinsi ya kuupata na gharama za kuusafirisha hadi hapa bongo kwa njia ya airport. Natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
Top