Search results

 1. kamituga

  Je, ni kweli kuwa walioathirika na virusi vya Corona kuchomwa sindano ya sumu?

  Salaaam wakuu Kuna tetes kwamba china imepeleka ombi mahakaman kuomba wapewe ruhusu ya kuwachoma sindano ya sumu wote walio athirika na virus vya corona coz wameshindwa kuvizuia kusambaa na iyo ndio njia wamepata. Source;ndugu na jamaa wanaoishi china. Sent using Jamii Forums mobile app
 2. kamituga

  Wezi wamekuja na hii style tena

  Hawa wapuuzi awachoki wanakamatwa lakin bado awasikii leo nimemkomesha. Sent using Jamii Forums mobile app
 3. kamituga

  Nauza magazeti yaliotumika

  Wakuu nina mzigo wa gazeti km tani 15 ivi wakati napakia contena ilibaki wazi nikajazilizia na gazeti natafta masoko mzigo upo Zanzibar Nauza jumla tu kuanzia 50 kg Na kg 1 nauza kwa 2300. 0765544397. Sent using Jamii Forums mobile app
 4. kamituga

  Tunaokesha usiku wa leo kujihami na mafuriko tukutane hape.

  Wakuu km hali ya hewa namuna ilivyo na mvua inavyoendelea kumwagika usiku huu tumelazimika kukesha tusije ondoka na maji km mvua inanyesha huko uliko tukutane hapa tujadili changamoto na nin? Cha kufanya km mvua itazidi na mafuriko yakitukumba nawasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
 5. kamituga

  Askari Polisi leo wamejaa barabarani wanakagua magari na kukamata pikipiki

  Wakuu huko maeneo yenu hali ikoje maana kuanzia Mandela Road, Pugu Road na mitaa mingine niliyopita leo kuna oparation ya hatari, pesa ya Christmas inatafutwa kwa mabavu. Sent using Jamii Forums mobile app
 6. kamituga

  Unaweza kuheshimika mpaka siku utakayoamua kuoa au kuolewa

  Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale. Nijikite kwenye mada bila kupoteza wakati nimekuwa nikiona watu wengi wadhifa wao kudharaurika kwenye ngazi ya familia mpaka jamii nzima kwa ujumla kutokana na maamuzi aliyoyafanya ya kuchagua mwenza wa maisha. Mpaka inafikia hatua watu wanauliza...
 7. kamituga

  Barua ya mwaliko Korea Kusini

  Wakuu nahitaji kuvisti korea kusini naomba msaada wa barua ya mwaliko tu inatosha nikamate visa yangu mapema .
 8. kamituga

  Raha na furaha ya kupata mtoto wa kiume imepotea kwenye familia kabisa

  Wakuu habar za jion!!!!! poleni na pilika pilika za hapa na pale ktk kutafuta chochote ili siku zijisukume. Pasipo kuchelewa nielekee kwenye mada maisha yamebadilika kabisa zile furaha shangwe na vifijo vilivyo kuwepo awali pale inapotokea mwanamke akajifungua mtoto wa kiume imegeuka simanzi...
 9. kamituga

  Nchi inaendeshwa kifalume wananchi wameridhia awataki shida.

  Dunia ina paswa kujua kuwa tanzania pia ni kati ya nchi zinazoendeshwa kifalume maana akuna siasa wala upinzani tumerudi zama za picha ya mgombea na jembe au nyundo sasa si ieleweke tu. Izi biashara za kulazimishana kupiga kula kufatana majumbani usiku usiku sio mpango kwakua mumeamua...
 10. kamituga

  Chuo cha ufundi wa simu short course

  Wakuu mwenye kujua chuo cha ufundi wa simu kizuri east Africa au Tanzania anijuze.
 11. kamituga

  Wazungu wameshusha kilio cha ajabu JK Nyerere Airport

  Wakuu kama mada inavyojieleza hapo juu nisiwachoshe na mambo mengi iko hivi; Kuna jamaa wako kwa Trump tuna project nao sasa majuzi walikuja kuangalia miradi inaendeleaje Tanzania na Congo. Ratiba yao ilikuwa waanzie hapa kisha waende DRC basi wakajipanga tukawasiliana kwenda kuwapokea cha...
 12. kamituga

  Msaada wa chuo cha utengenezaji bidhaa za ngozi africa au nje ya africa

  Wakuu km mada inavyo jieleza hapo kutokana na changamoto za ajira nataka kumpa dogo coz itakayo mfanya ajiajiri mwenyew na kwenye bidhaa za ngozi nimeona ni fursa kubwa yeyote anae jua chuo kizur kinachotoa mafunzo ayo kwa muda mufupi anisaidie nimpeleke bwana mdogo.
 13. kamituga

  Kama tulivyo kubaliana kwenye kikao cha mabaharia

  Itifiki naomba izingatiwe km tulivyo kubaliana kwenye kikao cha mwisho mabaharia wenzangu huu ndio msimamo wetu.
 14. kamituga

  Baharia na gheto lake khali

  Baharia lazima uwe na gheto km hilo vinginevyo wew sio baharia
 15. kamituga

  Kuna kishoka amekubuu ofsi ya mkoa wa Mara

  Wakuu km mada inavyo jieleza hapo juu kuna kishoka mmoja anaboa sana kwanza anajidai yeye ndio afsa ugavi wa mkoa kumbe sie amekua akifanya usumbufu na kuomba rushwa wazi wazi pale mkoani anaitwa (Kasera) naomba vyombo husika vianze kumfatilia uyu bwana maana nilizani ni mimi tu na jamaa zangu...
 16. kamituga

  Msaada booking ya airtanzania

  Wakuu naomba mwenye kujua namuna ya kupata tickets ya air tanzania kwa mazingira km aya anisaidie Nipo congo Drc ila eneo nilipo mpka kigali ni masaa 5 ivyo nahitaji ticket kutoka kigali to dar round trip website ya airtanzania naona inanivuruga tu msaada kwa mwenye uzoefu au akili ya ziada...
 17. kamituga

  Iyu alifaa kua mkuu wa majeshi yote

  Tuache utani yule askar magereza no1 asingekua na walinzi wa kutosha angempga kwa maoni yang anafaa kua mkuu wa majeshi CDF maana nidhamu ya uoga kwake mwiko AMENIINUA.
 18. kamituga

  Bibi harusi amkataa Bwana siku ya ndoa!!!

  Wakuu hii habar imetokea huku kwa tshekedi felix jamaa yang alikua afunge ndoa ijumaa serikalini na jumamosi kanisani ili jumapili iwe party km taratibu za huku zilivyo. Cha ajabu siku iyo bibi harusi alijiandaa kuja kufunga ndoa na mambo yalikua moto moto na wa congo wanapenda sana harusi na...
 19. kamituga

  Maagi Mulaga ajatumwa na mtu ni desturi ya kabila lake msimshangae ndivyo walivyo

  Kumekua na sinto fahamu kuhusu uyu bwana maagi mlaga binafsi hilo kabila (wajita)nalifahamu kutokana na kukaa karibu na hata kuhusiana biological . Simshangai sana maagi mlaga na kabila lake maana awachelewagi kufanya mapinduzi yasiyo kua na manufaa unaweza kumtaftia kazi km ni sehemu moja na...
 20. kamituga

  Atuhitaji passport wala visa kwenda chato fursa ilipo tutaifuata

  Wakuu kwema nijikite moja kwa moja kwenye mada.Malalamiko yamekua mengi kwenye mitandao ya kijamii mtu asie jua anaweza kufikiri pengine chato ni burundi au Rwanda pengine kuna watu special au vitambulisho special ili uweze kuishi pale mi sioni kosa la no1 kwan? Atahuko ni aridhi ya Tanzania na...
Top