Search results

 1. Kingsharon92

  Wataalam wa Bima mnahitajika hapa mtoe elimu

  Wataalam wa mambo ya bima naomba mje hapa mtupe elimu kuhusu bima Nataka niende vijijini nikasaidie watu kama 20 iwe kama sadaka yangu Naomba mtiririke hapa mnipe mchanganuo wote
 2. Kingsharon92

  Tazama akili za hawa watu na ufanye utafiti

  Awali ya yote nipende kuwasalimu Nyote kwa jina la yule aliye juu awajalie afya njema Lengo la kuanzisha uzi huu Ni kutafakari akili za hawa watu Mtu mrefu sana kupita kiasi Mfupi kupita kiasi Mnene kupita kiasi Mwembamba kupita kiasi Msomi sana Asiyesoma hata kidogo Mweusi sana Mweupe sana...
 3. Kingsharon92

  Polisi na baa yenu wenye madaraka na nyadhifa hebu tumieni dhamana zenu kihalali

  Niko hapa kwa suala moja tu kuelezana mambo ambayo si ya kiungwana Miongoni mwetu Naanza na hawa wenye vyeo serikalini Mmekuwa mkilalamikiwa sana na hili kundi la wafanya biashara wauza mkaa wenye maduka wauza nyama wenye bar grocery nyie watu mmekuwa kero sana kwa kukopa tena mnakopa huku...
 4. Kingsharon92

  Ukweli ndiyo huu wa marehemu kufa na mali zake

  Poleni na majukumu wapendwa Tukiendelea kulisukuma gurudumua la Taifa mbele hebu tega macho yako uambatane nami tuangalie dhana nzima ya marehemu kusepa na mali zake Natumai mtakuwa ni mashahidi wa kweli tumeona kwa miaka mingi mtu ana pesa za kutosha assets za kutosha ila akifa ndiyo basi...
 5. Kingsharon92

  Serikali kupitia wizara yako mheshimiwa January makamba kama muliweza kudhibiti viroba hebu liangazieni na hili la mifuko ya plastic

  Niseme tu kwa sasa hali ya mazingira ni mbaya sana kila kona pametapakaa mifuko ya plastic si mjini si vijijini kila kona mifuko serikali kupitia wizara ya mazingira hebu liangalieni na hili bila kudhibiti hii mifuko kama wenzetu kenya wameweza hata sisi tutaweza mlithibiti viroba ingawa maumivu...
 6. Kingsharon92

  Jinsi unavyopata mikosi na laana bila kujijua

  Kheri wapendwa wakubwa kwa wadogo Leo ni siku nyingine tena tuutazame mzunguko wa maisha yetu ya kila siku Nianze kwa kusema tu baadhi yetu tumekuwa na tabia au mazoea ya kufanya mambo kwa kujiona Wajanja kumbe ni kujitafutia mikosi na laana bure unakuta mtu miaka na miaka anafanya biashara...
 7. Kingsharon92

  Madereva tuliowahi kukutana na vichapo toka kwa raia na abiria

  Natumai wote mu buheri wa afya pole kwa wale wanaosumbuliwa na mara Mungu awafanyie wepesi. Tukutane madereva tuliowahi kucheza kichapo toka kwa raia na abiria. Mimi nakumbuka ilikuwa mwaka 1993 nimebeba abiria toka Geita kuja Mwanza gari ikazingua clutch ikabidi tukatafute fundi Sengerema...
 8. Kingsharon92

  Kwa taratibu za mazishi za Waislam nawapa kongole

  Nianze tu kwanza kwa kusema wafiadini huu uzi mpige kimya Ndugu zangu Waislam huwa napenda sana mfumo wenu wa kushughulikia misiba yaani inapotokea mwenzenu katika imani ametangulia mbele za haki suala la msiba linakuwa la Waislam wote na si familia tena mtakuwa Bega kwa Bega mpaka mwenzenu...
 9. Kingsharon92

  Muache na pesa za kuwasafirishia huko makwenu

  :DHii tabia wanayo watu wengi sana hasa kwa walio mikoa mingine au nchi nyingine kikazi ki utafutaji unakuta mtu amezaliwa mwanza akazamia moro kajenga huko na watoto ila utamsikia mimi nikifa mkanizike kwa mababu zangu mwanza mnipeleke kabisa sasa tuwaambie wenye tabia kama hizo muandae kabisa...
 10. Kingsharon92

  Enzi za Mwinyi mambo yalikuwa mazuri sana

  Hii imekuwa kama wimbo wa taifa Tangu awamu ya 5 ishike hatamu hakuna ambaye hajaguswa kwa namna moja au nyingine Kwa wenye umri kama wangu ambao tumeziishi awamu zote mtakubaliana nami kila awamu ilikuwa na mazuri yake na magumu yake na maisha yalisonga wenye kujenga walijenga kila mtu kwa...
 11. Kingsharon92

  Hii tabia imeshakuwa kero sana

  Hakuna kitu kinachoitwa hasira una mizuka yako ya kukata gogo maeneo haswa ya vyoo vya sehemu ya starehe au stand unaingia unapishana na mtu anatoka msalani kavaa vizuri kabisa unaingia tu hamadi unakutana na gogo hata halijasafirishwa lipo limejaa kwenye tundu yaani mpka mzuka wa kukata gogo...
 12. Kingsharon92

  Je, unajua chanzo cha matatizo yako yanayokusumbua?

  Kila jambo huwa na chanzo chake Nianze kwa kusema katika ulimwengu Huu tunaoishi ni dhahiri masaibu ni mengi sana na hatujui ni wapi tutapata Msaada wa kuyatatua Leo hii watu wanahangaika kwa waganga manabii fake na kutapeliwa pasipokupata suluhu ya matatizo yao leo hii tunamlaumu jamaa fulani...
 13. Kingsharon92

  Dhahabu safi kabisa

  Ukisoma historia ya mataifa yaliyondelea kiviwanda elimu nk yalipitia wakati mgumu sana tena sana vita ukatili wa hali ya juu mpaka biashara ya utumwa ni tu kuendeleza nchi zao iliwachukua miaka dahari kuja kusitaarabika kama tunavyowaona leo halafu sisi kiwepesi tu Tunatamani tuwe kama wao hiyo...
 14. Kingsharon92

  Usitamani mali ya mtu mwingine au kitu chochote

  Nawasalimu kwa jina la aliye juu Natumai mu wazima buheri wa afya Nianze kwa kusema binadamu tumekuwa na matamanio ya mafanikio Au ya wengine bila kujua hapo walipo Wamefikaje 1. Marekani ni taifa kubwa sana duniani likiwa na ukwasi wa kutosha kila nyanja sasa imekuwa ni kama. Kasumba kwa...
 15. Kingsharon92

  Natafuta mfuniko wa Samsung S5

  Simu yangu imepasuka mfuniko wake kwa anayejua inapatikana wapi aje PM tuyajenge
 16. Kingsharon92

  Siku ambayo wajanja tulionekana washamba wa kutupwa

  Awali ya yote nianze kumshukuru Mungu kwa kuniweka salama salimini Kwa umri huu lengo la uzi huu Ni kukumbushana wale tulionekana Wajanja kumbe ni washamba wa wa kutukuka Nianze kwa kusema tu katika maisha haya tunayoishi epuka sana kufanya Mambo yako kijanja kijanja ipo siku Isiyokuwa na jina...
 17. Kingsharon92

  Bodaboda kasomeni sheria za usalama barabarani

  Nawasalimu wote humu jamvini tangu jana nahangaika polisi Ilikuwa ni mchana mida ya saa 2 mchana nikiwa natokea mjini kuelekea Nyakato na kama mnavyojua nyerere road kuanzia esso na sinai wamefunga Traffic right kwa ajili ya watembea kwa miguu akitaka kuvuka kwenye Zebra cross anabonyeza button...
 18. Kingsharon92

  wajuzi wa katiba msaada tafadhali

  wapendwa wana jukwaa poleni na majukumu hebu wajuzi wa katiba nchi yetu nipeni msaada kumekuwepo na ubishani kuhusu mamlaka ya rais kwa hawa watu 1 jaji mkuu 2 gavana benki kuu 3 CAG Swali ni kwamba je akishawaapisha a ana mamlaka ya kuwatumbua au kutengua uteuzi wao nawasilisha
 19. Kingsharon92

  Tuliowahi kuanzisha ugomvi tukitegemea support ya wenzetu tukutane

  Hii ilikuwa ni 1977 mwanza nikiwa prim school nikiwa kama mtemi na group langu Ali maarufu kama watemi wa kambi siku moja tukiwa wote na kundi letu la watu 8 si nikachokoza jamaa lilikokuwa nalo ni litemi si haba nikijua wsshikaji lazima wasaidie kumbe jamaa nalo lina watu wake nikalivaa jamaa...
 20. Kingsharon92

  Bandarini leo

  Wakuu mlioko huko madarisalaamu vipi mnada wa makasha ya Dogo Paul Dogo tundu mpaka baba anajua mnada tuliambiwa ni leo yanapigwa mnada nataka nami niambulie sofa la kisasa ninunue ni saa ngapi Wakuu
Top