Search results

 1. M

  Maendeleo nje ya demokrasia ni aina fulani ya utumwa

  Ndiyo ni kweli ulio wazi kuwa kila binadamu anahitaji kuendelea, iwe ni katika familia maendeleo yanahitaji ila maendeleo yasiyo zingatia vipaumbele na ushirikishwaji wa fikra ni aina fulani ya utumwa wa kifikra. Ni sawa na mfugo unaendeshwa na bwana wake kufanya kile akipendacho bila ya kijali...
 2. M

  Viongozi wa awamu ya tano wengi wajiandae kufungwa maisha

  Viongozi wa serikali ya awamu ya tano wameshindwa kumshauri Rais wetu njinsi ya kuweka usawa katika demokrasia nchini, hili liko wazi na ushahidi wake umeandikwa kwa kalamu ya chuma ndani ya mioyo ya nyama ya watanzania. Wamejisiahau kuwa kuna watu wenye kinga ya kushtakiwa kwa makosa waliyo...
 3. M

  Matokeo ya kulinajisi sanduku la kura ndiyo hii.

  Umezuia haki ya wananchi kupitia chaguzi mbali mbali, uka lidharau sanduku la kura kwa kuwapokonya ushindi wachaguliwa, ukaona bado uka amua kuwafunga viongozi walio chaguliwa na wananchi. Sasa leo unataka wananchi hao hao washiriki uchaguzi ambao tayari una watu wako ambao uta watanagaza hata...
 4. M

  Kete ya ushindi kwa upinzani 2020 ni wasio julikana.

  Kama serikali ya CCM inaendekeza kuwaficha wasio julikana, basi ni wazi kuwa hata sisi wananchi hatutaijua CCM kwenye uchaguzi mkuu ujao. Hii damu ya ndugu zetu walio potezwa na wasio julikana inatulilia sana watanzania , ili tuitendee haki ni kuindoa CCM kupitia uchaguzi ujao. Kama ni...
 5. M

  Jicho la kengeza, uzinduzi wa mbuga ya wanyama Burigi na ufisadi kwenye ujenzi wa uwanja wa ndege Chato.

  Watanzania tumezoea kufanyiwa viini macho nasi kubaki tunashangilia, Eeee sasa kutakuwa na ongezeko la watalii Burigi , kwani hapo hawali utalii ulikuwa haufanyiki burigi hadi ulipo jengwa uwanja wa ndaege chato?. Watu wamehoji fedha za kuujenga uwanja Chato zili pangiwa bajeti lini na...
 6. M

  Kwa jicho la kengeza, naona umoja wa kitaifa haupo tena

  Kwa yule anayefatilia umoja ulio kuwepo enzi za uongozi wa awamu ya kwanza na akilinganisha na uongozi wa awamu zilizofuata hadi kufikia awamu tuliyo nayo sasa ataona mporomoko mkubwa sana wa umoja wa kitaifa. Enzi za serikali ya awamu ya kwanza umoja ulikuwa ni nguzo kubwa ya taifa letu...
 7. M

  Ofisi za NSSF Mwanza na nyanyaso kwa wafanyakazi

  Haya sasa ni mateso, na sijui kama ni kwa nchi nzima au ni katika hili tawi la hapa mwanza. Hivi inawezekana kuwa mtumishi katika sekta binafsi inapokuwa mkataba wake na mwajiri wake umekwisha na akiwa hajatiza umri wa miaka 50 au 60 ambao ndio umri wa kustaafu kwa mujibu, hatalipwa hadi afikie...
 8. M

  Mvua inyeshe, jua liwake, Singida Mashariki hatuitaki CCM

  CCM kupitia vibaraka wake( mabeberu na wavurugaji wa siasa ya kidemokrasia nchini) wamesha panga njama za kufanya uchaguzi wa marudio jimboni mwetu , Mimi kama mkaaji wa jimbo hili napenda kuwa tahadhirisha CCM waache kabisa ushamba wa siasa, Singida Mashariki hatuja lalamika popote kuwa...
 9. M

  Dunia itatucheka kama CCM 2020 itarudi madarakani

  CCM ni chama ambacho kimejaa kiburi na dharau kwa wananchi, ccm inafanya mambo yake kwa ujeuri hata bila ya ridhaa ya wananchi. Na sasa wamebariki jina la watanzania masikini, mara utasikia wanyonge wa nchi hii. Hivi ni chama gani kilicho wafanya watanzania kuwa masikini kama siyo CCM...
 10. M

  Polepole tuachie maamuzi yetu sisi kama wana Kigoma

  Huyu katibu mwenezi wa ccm amekuwa na kauli nyingi zenye ukakasi, lakini mbaya na inayo tufikirisha kama wananchi hasa wa mkoa wa Kigoma ni hii ya kusema kuwa 2020 Zitto atafute Kazi ya kufanya na kwamba eti sisi wana kigoma tumesema kuwa kuwa hatumuelewi Zitto ( katika utendaji ). Hivi nilini...
 11. M

  Hivi sisi watu wa mikoa ya Kusini tuliwakosea nini nchi hii?

  Ukiondoa mkoa wa kigoma, mikoa ya kusini ndiyo mikoa iliyo baki nyuma kimaendeleo kwa muda mrefu, miaka ya huko nyuma ilikuwa mfanyakazi ukihamishiwa kusini , njia sahihi ya kujinusuru na adha za huko ilikuwa ni kuachana na hiyo kazi. Barabara nzuri tumepata kwenye miaka ya tisini. Mungu...
 12. M

  Kwa hili alilolifanya Makonda kwanini asitumbuliwe?

  Inafahamika na niwazi kuwa ardhi ya nchi hii iko chini ya mamlaka ya Rais wa JMT. Hivyo basi kitendo alichofanya Makonda kimethibitisha ule msemo wa kambale wote wana sharubu, afahamiki yupi ni baba, mama, na hata mtoto. Alichokifanya Makonda kule Kigamboni, kwa kutoa ardhi kwa klabu za Yanga...
 13. M

  CCM, iheshimuni KATIBA ambayo ndiyo sheria mama.

  Majuzi mahakama ilitoa maamuzi kwenye kesi ya msingi iliyo funguliwa na Bob Wangwe iliyo kuwa ikipinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Mahakama ilitoa maamuzi kwa kuzingatia katiba ambayo ndiyo sheria mama , inayo jieleza wazi kabisa kuwa wakurugenzi hawaruhusiwi kusimamia chaguzi zinazo endana...
 14. M

  Bajeti ya ofisi ya CAG kupunguzwa kwa asilimia 50, nini maana yake?

  Katika magazeti ya leo nimeona ofisi ya CAG imepunguziwa bajeti kwa asilimia 50℅, hii maana yake nini has a ukizngati kuwa ofisi hii ndio jicho la taifa na msema kweli pale kodi za wanyonge zinapo tumiwa vibaya na hao waliopewa dhamana. Tangu ofisi hiyo iibue ufisadi mkubwa unaofanyika kwenye...
 15. M

  Hivi ni kweli hawa wazimbabwe ndio wanaofanya hivi.?

  Siamini wala haija nikaa vizuri akilini, kweli mgeni amewatembelea na anapewa nafasi ya kuwasalimia na kuongea nanyi kidogo tena anawaambia vizuri kabisa kuwa Rais wenu ana wapeleka kwenye right truck, badala ya kufurahi na kushangilia wao wanakuja na kejeli na kashfa. Kama ni kweli , sisi...
 16. M

  Naona siasa zimehamia misikitini na makanisani

  Kumekuwa na jitihada kubwa sana kwa viongozi wa kisiasa kuingia makanisani na misikitini kuhubiri siasa, huku wakitoa rushwa ya mamilioni ya hela kwa mgongo wa sadaka na misaada, hili jambo linahitaji kukemewa sana , makanisani na misikiti ni maeneo ambayo ni muhimu kwa kuwajenga watu kiroho ili...
 17. M

  Operesheni okoa nchi ina kuja 2020

  Kwa mujibu wa ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali iliyo ibua wizi na madudu mengi katika uongozi huu wa awamu ya tano , niwazi kabisa kuwa mwana siasa atakaye kuja na slogan ya operesheni okoa nchi 2020 atatikisa na huwenda hata akabadili mtizamo wa wapiga kura wengi. Ukweli ni kwamba ufisadi...
 18. M

  Prof Assad ameonesha mfano kwa wasomi wetu

  Prof Musa Assad Juma , ametoa fundisho la kutosha kwa tasnia inayo jiita ya wasomi hapa nchini. Mbali ya kuonyesha jicho na fikra za msomi zinavyo stahili kuwa, lakini pia ameonyesha jinsi wacha Mungu wanavyo stahili kuusimamia ukweli. Kuna kipindi fulani waliitwa hao wanajiita wasomi kwenda...
 19. M

  Serikali ya awamu ya tano imegeuka kuwa msaliti kwa uchumi wa nchi yetu

  Wakati wanaingia marakani walikuja na kauli mbiu ya hapa kazi tu, na tukaji aminsha kuwa wachapa kazi wameingia, kumbe badala yake wamekuwa wachapa uchumi wa nchi yetu, aibu kubwa. Akina polepole wamejaribu sana kutetea wizi huu ili usijulikane, matokeo yake wakajikuta wanakonda tu mwili wote...
 20. M

  Kumdharau mteule wa Rais ni sawa na kumdharau Rais aliyemteua

  Ndiyo lazima Ndugai ajiuzulu. Kwa kitendo cha kumdharau mteule wa Rais ni sawa pia kuwa umemdharau Rais aliye mteua. Hii tabia ya kujipendekeza ni mbaya sana, Job amejipendekeza kwa Mh hadi akapitiliza na kumfanyia dharau Mh. Na laiti huyu jamaa angekuwa anafanya kazi na watu kama Musaba yule...
Top