Search results

 1. Mlalahoi

  Je, ni kweli Dola leo hii inanunuliwa kwa zaidi ya shilingi 2300?

  Msamehe tu huyo bendera kufata upepo, anahitaji maombezi. Ukibonyeza profile yake na kucheki posts zake tangu mwanzo utabaini undumilakuwili wake. Njaa mbaya sana, hasa ikipanda kichwani
 2. Mlalahoi

  Mkataba wa UN kuhusiana na masuala ya ushoga, usagaji na kubadili jinsia

  Sasa kwanini unakimbilia kuhoji mikataba ya UN ilhali serikali yetu tukufu inasema wapo salama?
 3. Mlalahoi

  Mkataba wa UN kuhusiana na masuala ya ushoga, usagaji na kubadili jinsia

  Na Waziri wa Mambo ya Ndani anaposema "mashoga Tanzania mpo salama" hafahamu kuhusu hiyo Sodomy Law?
 4. Mlalahoi

  Mkataba wa UN kuhusiana na masuala ya ushoga, usagaji na kubadili jinsia

  Kinachokuchosha ni ushoga wako ambao unajaribu kuuficha kwa kupambana dhidi ya haki za mashoga wenzako. Mtaani tunasema "tabia za kishoga." [emoji16]
 5. Mlalahoi

  Mkataba wa UN kuhusiana na masuala ya ushoga, usagaji na kubadili jinsia

  Hawa wanasiasa majambazi hawakupewa malezi bora? Chuki yako dhidi ya watu walioamua kwa utashi wao kuhusu sexuality yao ni matokeo ya malezi kutoka kwa wazazi wako? Stop this nonsense. Yes malezi bora ni muhimu lakini sio 100% foolproof dhidi ya mabadiliko ya tabia. Oh malezi, what about...
 6. Mlalahoi

  Mkataba wa UN kuhusiana na masuala ya ushoga, usagaji na kubadili jinsia

  I suspect huyu Interest ni shoga ila anayenufaika kwa "uzuwiwaji wa haki za mashoga." Kwa sababu sioni sababu za mtu asiye shoga kukerwa na haki za mashoga just like sioni sababu ya mtu asiye mlemavu kukerwa na haki za walemavu, au mtu asiye mpagani kukerwa na haki za wapagani. Upinzani wa huyu...
 7. Mlalahoi

  Mkataba wa UN kuhusiana na masuala ya ushoga, usagaji na kubadili jinsia

  What if akija kuwa jambazi? What if akija kuwa fisadi? What if akija kuwa paedophile? What if tayari ni shoga?
 8. Mlalahoi

  Mkataba wa UN kuhusiana na masuala ya ushoga, usagaji na kubadili jinsia

  Ili kuthibitisha hoja shurti kuwe na hoja. Na so far huna hoja ya msingi. I suspect wewe ni mnufaika wa "kuzuwiwa kwa haki za mashoga" na unahofia kuwa uwepo wa haki hizo utakuathiri. Unahofia kuwa pindi haki za mashoga zikitambulika watakuripoti [emoji16][emoji16][emoji16] Waziri Kangi Lugola...
 9. Mlalahoi

  Mkataba wa UN kuhusiana na masuala ya ushoga, usagaji na kubadili jinsia

  Let's assume wewe si shoga. How come haki za mashoga zikunyime raha kama huna maslahi nazo binafsi?
 10. Mlalahoi

  Mkataba wa UN kuhusiana na masuala ya ushoga, usagaji na kubadili jinsia

  Nikuulize wewe. How do we know kuwa nawe si shoga?
 11. Mlalahoi

  Mkataba wa UN kuhusiana na masuala ya ushoga, usagaji na kubadili jinsia

  Unajua maana ya resolution? Sio wewe uliyehoji kuhusu mkataba? So educate us Mr-Know-it-all resolution ni kitu gani?
 12. Mlalahoi

  Mkataba wa UN kuhusiana na masuala ya ushoga, usagaji na kubadili jinsia

  Ni la kipumbavu au linakusuta? How do we know for certainly kuwa nawe sio shoga? How do you persecute/prosecute someone ambaye huwezi kuthibitisha sexuality yake?
 13. Mlalahoi

  Mkataba wa UN kuhusiana na masuala ya ushoga, usagaji na kubadili jinsia

  Na hii resolution ya UN nayo ni ripoti pia?
 14. Mlalahoi

  Mkataba wa UN kuhusiana na masuala ya ushoga, usagaji na kubadili jinsia

  No research, no right to speak http://bit.ly/HakiZaMashoga
 15. Mlalahoi

  Mzee Malecela, Lowassa na Mbowe wamzika mama Mercy Anna Mengi

  Because only idiots like you don't realise you wouldn't be here arguing if it were not for TRUE LOVE between your parents. I took a side because I could, I have to, and would always do.
 16. Mlalahoi

  Mzee Malecela, Lowassa na Mbowe wamzika mama Mercy Anna Mengi

  Imagine mama yako angetendewa hayo... Stop being an idiot, wanawake wa Kiafrika = mama yako + other women
 17. Mlalahoi

  Kama gharama hii ya kununua korosho kutoka kwa wakulima itakuwa ni sahihi kama anavyosema Zitto, basi tujiandae kufunga mikanda

  Hapana. Wamezowea kuwanyonya wakulima. Hawana lolote zaidi ya unyonyaji
 18. Mlalahoi

  CHADEMA, wakati mwingine muwe mnakubali ushauri

  Kwani umekatazwa nawe kutoa ushauri wako, au vema kabisa kupuuza huu unaoukandia? Andiko hili ni bora kabisa KWA WENYE AKILI na si vilaza waliokwepa umande
Top