Search results

 1. DMussa

  Nauza brand new iphone 6s plus

  Habari zanu wana jamvi, Nauza simu hiyo iPhone 6s plus colour black, 128Gb. Bei 1.6m, if interested PM. Thanks
 2. DMussa

  HTC A9 32GB for sale

  Nauza simu htc A9, imetumika miezi 4 tu. Bei 800,000/- (negotiable) Serious buyer pls PM me!
 3. DMussa

  MacBook Air 13 for sale

  Nauza laptop yangu Macbook Air 13. Slightly used but in very good condition. Bei 1.5m. Serious buyers please PM. thanks
 4. DMussa

  Sony Xperia Z3 and HTC One M8 going for cheap

  Nauza simu hizo hapo slightly used but in very good condition! Hazina scratch wala cracks... Sony xperia Z3 for 700,000/= Htc one M8 for 650,000/= Negotiable.... Serious buyers pls PM
 5. DMussa

  Toyota Premio for Sale

  Bei 8million tshs. Serious buyers pls PM...
 6. DMussa

  Natafuta Mbwa

  Habari wana JF, Natafuta mbwa wawili kwa ajili ya ulinzi, wawe na umri kati ya miezi 3 - 5. Breed: Pure German shepherd au cross breed ya German Shepherd na Labrador Retiever. Pia wasiwe product ya in-breeding (one family). Kama unao please niPM, napatikana Dar es salaam. Ahsanteni!
 7. DMussa

  PS Vita games needed...

  Natafuta game za PS Vita zinazofaa kwa kijana wa miaka 8. Mwenye nazo please PM me. Ahsante
 8. DMussa

  iPad Air case inahitajika

  Habari wana JF, Nahitaji case kwa ajili ya iPad Air. Preferably black colour. Niko Dar. Aliyenayo atoe bei tufanye biashara fasta. thanks
 9. DMussa

  Moto GP 2014

  Any fan? Marc Marquez has been overwhelming in this season. Got his 8th win in a row on Saturday at Iveco Daily TT Assen circuit. He's doing what VR46 used to do in late 90's and early 2000s! Great performance Marc
 10. DMussa

  Natafuta DSTV PVR Decoder

  Kama kuna mtu anayo hii please PM me with your best offer. Thanks
 11. DMussa

  Looking for a dog trainer

  Habari wana JF!? Nimepata mbwa wa ulinzi ni cross breed na GS. Kidume cha miezi 3, nafikiri ni wakati muafaka nikapata trainer ili huyu mbwa akue ktk njia na namna ambayo mimi na familia tutaweza kummanage vizuri. Kama kuna recommendations please send me PM.
 12. DMussa

  Toyota Progres going for cheap!

  Nauza Toyote Progres NC250 Colour: Silver mileage: 112000km YOM: 2001 Condition: Very good and running. Maintenance: Done as per OEM Nimelinunua 2011 na sasa naona ni wakati mzuri nikabadili gari Bei: Tshs 7.5m Serious buyer please PM!
 13. DMussa

  Macbook air 13inch for sale

  Hello, Nauza laptop yangu nimeitumia kwa wiki mbili sasa. Ni Apple Macbook Air 13". Bei USD 1200. Serious buyer PM. Thanks
 14. DMussa

  NOKIA LUMIA820 for sale

  Nauza simu yangu Nokia Lumia 820. Nimeitumia kwa mwezi mmoja ina box na accessories zake zote. Bei ni Ths 420,000/= Kama unaihitaji niPM. Thanks!
 15. DMussa

  IPad 4 3G + WIFI FOR SALE

  Hello Wana J F . Nauza IPad 4 3G + WIFI 16GB Black Tsh 950, 000/ = a little negotiable. Serious buyers please PM .
 16. DMussa

  Ipad 3 for sale

  Nauza ipad 3 3G + WiFi 16GB, iko bomba na ina charger yake. Nimeinunua Jan 2013. Serious buyer please inbox... Bei Tshs 950,000/= Negotiable
 17. DMussa

  BlackBerry Z10 for sale...

  Nauza BB Z10 Tsh 800,000/=. Serious buyer please PM. Sababu ya kuuza ni kwamba nimeamua kubadilisha handset. Nimeitumia kwa miezi 3 tu.... ina box na kila ki2 chake.
 18. DMussa

  Natafuta mbongo anipe kampani Denver, CO

  Wanajamii mambo vp? Niko Denver ningependa siku ya kesho Ijumaa nipate nafasi ya kuujua mji huu, kama kuna mtu yeyote kutoka bongo na anaweza kuwa na time ya kunisaidia kwenda sehem mbalimbali naomba aniPM ili nimpe mawasiliano yangu. Thx wadau!
 19. DMussa

  Dell Streak7 WiFI tablet for sale!!

  Nauza Dell Streak 7 WIFI tablet, bei laki tatu na nusu! Ni mpya imetumika wiki moja tu na ina kila kitu chake! serious buyer please PM!
 20. DMussa

  GX110 for Sale

  Habari wana JF, Nauza gari Toyota Mark II GX110, 2003 Model. Bei Tshs 17,000,000= (17million) negotiable kidogo. Serious buyers only please PM! Pictures attached....
Top