Search results

 1. faru john junior

  Mchakato wa kununua nyumba

  Wanajanzi habari za asubuhi. Ni matumain yangu kuwa wote mko salama kwa wale wagonjwa nawapa pole sana na mwenyezi Mungu atawaponya,sambamba na kauli tata za waziri jafo tuwe wavumilivu Naomba niende kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kuna nyumba inauzwa mkoa wa mwanza sasa bei...
 2. faru john junior

  TANAPA miezi miwili imepita tangu tufanye Usahili wa Mahojiano

  Ni zaidi ya miezi 2 na nusu tangu ufanyike usaili wa mahojiano kwenye nafasi mbali mbali zilizotangazwa na tanapa. Je watu wameshaitwa kazin? Wenye update zozote atujuze
 3. faru john junior

  Mwanaume kubeba mimba

  Habari za asubuhi mabibi na mabwana. Kichwa cha hbr cha husika. Naombeni msaada, usiku wa kuamkia Leo kuna jambo limenitokea ambalo nashindwa kbsa kulielewa japo sio Mara ya kwanza ni Mara ya pili sasa. Jambo lenyewe liko hivi Usiku nimeota kuwa nimebeba mimba yaani ni mjamzito tena cha...
 4. faru john junior

  Tuliokuwa tunapeleka mwiko wa kupkia mini wa jembe kama sanaa kwa ahadi ya kuongezewa marks tukutane hapa

  Moja kwa moja kwenye mada Nakumbuka nikiwa shule ya msingi miaka hyo ya 1999,ilikuwa baada ya mitihani ya kumaliza muhula tulikuwa tunaambiwa tulete sanaa zetu tulizo buni kwa lengo la kuongezewa marks kwenye kutafuta wastan wa jumla. Kimsingi tulikuwa tunapeleka vitu kama mwiko wa kupikia ambao...
 5. faru john junior

  Mwenye taarifa kuhusu yafuatayo anijuze

  Taasisi zifuatazo zilitangaza nafasi za kazi ni zaidi ya miezi mitatu sasa binafsi sijapta taarifa zozote kuhusu usaili. Mwenye taarifa zozote atujuze isiwe tunasubiria usafiri kumbe chombo cha usafiri kilisha pita. 1. Ofisi ya waziri mkuu walitoa internship post mbali mbali 2. Shirika la...
 6. faru john junior

  Nafasi ya lugha katika ufaulu wa mitihani

  Habari za jioni wanajf ni matumain yngu kuwa wazima wa afya. Kama mada inavyojieleza hapo juu niko hapa naangalia ITV kipindi cha malumbano ya hoja mada ikihusu shule za serikali kufanya vibaya,nini kifanyike. Kumekuwa na michango tofauti ya nini kifanyike. Binafsi nimekuwa na mtazamo wangu...
 7. faru john junior

  Watanzania 90% Leo wanakula viporo vya jana

  Kama mada inavyojieleza hapo juu ninauhakika 90% ya watanzania hasa wakristo Leo wanakula viporo yaani vyakula vilivyobaki Jana. Mapovu ruksa karibuni
 8. faru john junior

  Wafuatao wako wapi?

  Ningependa kujua wafuatao walikuwa watumishi wa umma wako wapi 1.Alikuwa kamishna TRA makontena ya bandari yakamtoa kwenye system 2. Edward Hosea takukuru 3.Felix wa Ewura 4.Engineer wa tanesco alikuwa mkurugenzi jina limenitoka 5.Aliyekuwa anatangaza watu kutumbuliwa pale ikulu naye...
 9. faru john junior

  Iddi Ligongo uko wapi?

  Mtajwa hapo juu alikuwa msanii wa kaole sanaa group mbona simsikii yupo kweli?
 10. faru john junior

  Watangazaji ninaowazimia(penda)

  Katika tasnia ya habri hasa watangazaji ambao sauti zao zinanipa shauku ya kuendelea kuwasikilza wakiwa wanatangaza ni hawa 1.Mabere Makubi ITV 2.Chase Hillary Azam TV Tupia na wa kwako ambao sauti zao zinakuburudisha Sent using Jamii Forums mobile app
 11. faru john junior

  Mtihani darasa la saba

  Tangu nimehitimu darasa la saba miaka kadhaa iliyopta mpka leo hii sijawahi kusikia hii mitihani ikifanyika siku tofauti na JUMATANO japo tarehe ni tofauti lakini ni cku ya j5 tu ingawa miaka ya hivi karibu hii mitihani inafanyika kwa mda wa cku 2 tofauti na miaka ya nyuma. Mwenye kuelewa...
 12. faru john junior

  Nafasi za kazi Ewura

  Habari za humu wana jf samahani kwa mwenye taarifa zozote kuhusu kazi zilizo tangazwa na EWURA mwaka jana mwezi wa kumi na deadline ilikuwa ni 15th November 2017 kazi zilitangazwa kwenye zones mbalimbali kama udereva uhasibu watunza kumbukumbu nk. Mwenye update zozote atujulishe...
 13. faru john junior

  Angela Kairuki nakusubiri tena uje na habari mpya

  Kama kawaida nadhani ile tarehe ambayo Mh Angel Kairuki alitangaza kuwa ndo siku ya mwisho kuwafukuza kazi watumishi wasio na vyeti halisi ni leo. Sasa nasubiri kauli nyingine tena kama kuongezewa muda, uhakiki wa mara ya mwisho, kutuma wataalam wakusanye vyeti n.k. Haya yote ndo tutajua changa...
 14. faru john junior

  Kupima Umri kwa njia ya kitabibu

  Nimemsikia afisa habari wa tff kuwa Serengeti Boys wataenda muhimbili kupimwa umri ndo mara yngu ya kwnza kuliskia hili binafsi labda ndo sabbu ya kushangaa wale wataalam wa afya ya binadam tupeni ufafanuzi linafanyka vp
 15. faru john junior

  Nini hasa tatizo katika kuoa na kuolewa?

  Nimekaa na kufakari kidogo na kujiuliza, Tatizo liko wapi hasa linapofika swala la kuoa au kuolewa. Je ni kwamba wanaume hawataki kuoa au wanawake hawataki kuolewa. Wataalam karibuni.
 16. faru john junior

  Jenerali Mwamunyange alijiunga JWTZ akiwa na umri gani?

  Nilikuwa nafuatilia mubashara historia ya Jenerali Mwamunyange kuwa ametumikia jeshi kwa miaka 45 hadi kustaafu. Kwa mujibu wa sheria mwisho wa utumishi wa umma ni miaka 60, sasa najiuliza mkuu alijiunga jeshi akiwa ana miaka mingapi?
 17. faru john junior

  Wimbo wa taifa kuwa ringtone kwenye simu yako

  Nikiwa ndani ya daladala ilisikika sim ya jamaa mmoja ikiita huku akitumia wimbo wa taifa kama ringtone ikiwa sim inaita basi jamaa akapokea sim. Kabla hata hajamaliza kuongea mjadala ukaanza ,yakazuka makundi mawili moja linadai ni matumizi mabaya ya wimbo wa taifa na nikutokuheshmu alama za...
 18. faru john junior

  Je aliyetenguliwa wadhifa anaendelea kupokea mshahara wa wadhifa ule?

  Naombeni kuuliza mtu akitenguliwa wadhifa wake ataendelea kupokea mshahara wa nafasi ile au na hata mshahara unapungua? Mfano kama hawa waliotenguliwa nadhifa zao kama Mkurugenzi wa TANESCO, Kamishna mamlaka ya mapato na Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU.
 19. faru john junior

  Tabia hizi za vinyozi wa nywele zinakera

  Nianze kwa kusema tu kuwa sio vinyozi wote Utakuta emeenda kunyoa huu kinyozi amesha kufunga kitambaa kwa ajili kuzuia kuchafuliwa na nywele amesha Washa mashine mara sim yake inaita badala amwbie aliyempgia sim asubiri yuko na mteja matokeo yake unaye nyolewa ndo unaambiwa subiri kuna mtu...
 20. faru john junior

  Kuitwa kwenye usaili

  Hivi nmb Bank walisha ita watu kwenye usaili kuna kazi walitangaza mwzi oct mwaka huu bnk teller Southern zone mwnye hbr atusaidie
Top