Search results

 1. Zee la shamba

  Waziri Mkuu Pinda atakiwa kufuta kauli yake kuhusu mafisadi

  KITUO cha Seria na Haki za Binadamu (LHRC) kimemtaka Waziri Mkuu Mizengo Pinda kufuta kauli yake ya kuwa Serikali inashindwa kuwachukulia hatua za kisheria watuhumiwa wa ufisadi waliojichotea mabilioni ya shiling katika Ankauti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA), kutokana na utajiri mkubwa walio...
 2. Zee la shamba

  Mafisadi wajibu

  VITA dhidi ya ufisadi iliyoanza kupamba moto katika miezi ya hivi karibuni sasa inaonekana kubadili mwelekeo na kuanza kuwarudi baadhi ya wanasiasa na wananaharakati waliojitokeza kwa nyakati tofauti kupambana dhidi ya vitendo vya ubadhirifu, wizi na uporaji wa rasilimali za taifa. Dodoso...
 3. Zee la shamba

  Mengine ya EPA yaibuka

  UPELELEZI kuhusu mahali zilipo Sh133 bilioni zilizochotwa katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia Akaunti ya Malipo ya Nje (EPA) umeibua mambo zaidi mapya yanayokihusisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwananchi Jumapili limebaini. Habari za uhakika kutoka ndani ya Timu ya Rais inayochunguza...
 4. Zee la shamba

  Karamagi aanza kujitetea kwa wapigakura wake

  na Antidius Kalunde (Bukoba) na Salehe Mohamed JINAMIZI la kashfa ya mkataba tata wa uzalishaji umeme wa Kampuni ya Richmond, bado linaendelea kuwasumbua baadhi ya viongozi, tangu lilipoibuka zaidi ya mwezi mmoja uliopita. Hali hiyo inajidhihirisha kuwepo kwa tukio la aliyekuwa Waziri...
 5. Zee la shamba

  Makamba Atoa Msaada Wa Mchele Mbovu Kwa Waliobomolewa Nyumba Tabata

  Waliovunjiwa Tabata wapelekewa mchele mbovu *Makamba akiri kuupeleka, asema ni bahati mbaya *Aahidi kuubadilisha, aonya isichukuliwe kisiasa Eben-Ezery Mende na Zamzam Abdul WAATHIRIKA waliobomolea nyumba Tabata Dampo, Dar es Salaam, wamepelekewa msaada wa mchele mbovu na...
 6. Zee la shamba

  Waziri aliyeachwa atoboa siri nzito EPA

  *Adai mtandao uliwazidi ujanja Mkapa, Kikwete mapema *Uliunda Baraza hewa la Mawaziri miezi 6 kabla ya uchaguzi *Ulitisha vigogo BoT, wizara na wengine kuahidiwa vyeo Na Mwandishi Wetu WIKI chache baada ya kuvunjwa Baraza la Mawaziri na kuundwa jipya kutokana na kujiuzulu kwa...
 7. Zee la shamba

  Bilioni 50 zinazodaiwa kurudishwa BOT kumbe changa la macho

  Yule mwanasiasa aliyeibua hadharani sakata la ufisadi ndani ya Benki Kuu ya Tanzania, BoT, Dokta Wilbroad Slaa leo ameibuka na mapya kwa kudai kuwa, eti zile Bilioni 50 kati ya 133 zilizoibwa, ambazo Serikali ilidai kuwa zimerejeshwa, ni changa la macho. Akizungumza na Alasiri leo asubuhi, Dk...
 8. Zee la shamba

  Lini Wa Tanzania Wataachana Na Dhana Ya Kuadhibu Vibaka Wadogo?

  Kila kukicha utasikia wananchi wenyehasira wamempiga/wapiga au hata kuwachoma Moto vibaka waliokuwa katika jaribio la kuiba/ au walioiba vitu kama simu, kuku n.k. vitu ambavyo hata katika sheria za Nchi yetu kifungo chake hakizidi miaka 2.Lakini hawa wanaoiba mali ambazo kifungo chake kinaweza...
 9. Zee la shamba

  JK atabiriwa magumu 2008

  na Mwandishi Wetu Source: Tanzania Daima
 10. Zee la shamba

  Kikwete afagia tena ndani ya saa 24, Zamu hii amemng'oa Profesa Yadon Kohi

  ::>Amporomosha mkurugenzi mzito ::>Amrejesha jeshini, hofu yatawala na mwandishi wetu FAGIO la Rais Jakaya Kikwete, limefanya kazi tena katika muda usiozidi saa 24. Zamu hii ameamua kumng’oa Mkurugenzi wa Tume ya Sayansi na Technolojia (COSTECH), Profesa Yadon Kohi. Profesa...
 11. Zee la shamba

  Makamba kafungwa mdomo?

  Toka uchaguzi wa Halmashauri kuu ya ccm(NEC)uishe huko Dodoma Makamba amekuwa kimya sana kitu ambacho si kawaida yake. Ni kitu gani kimemsibu? Mwenye taarifa zake namuomba atuwekee hapa JF.
 12. Zee la shamba

  JK Kimbembe na BoT. Ukaguzi wabaini kasoro

  Rais Jakaya Kikwete, ameamuru vyombo vya dola vifanye uchunguzi kuhusu gharama halisi za ujenzi wa majengo ya Benki Kuu ya Bongo. Uamuzi huo umetokana na kuwapo kwa tuhuma kibao, kwamba hadi sasa mbovu zipatazo Sh bilioni 522 zimeshatumika kwa ujenzi wa majengo hayo jijini Dar es Salaam na...
 13. Zee la shamba

  Muhimbili: Aliyepasuliwa kichwa MOI apooza upande

  Na Jackson Odoyo MGONJWA Emmanuel Didas aliyefanyiwa upasuaji wa kichwa badala ya mguu Novemba Mosi, mwaka huu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) amepooza upande mmoja wa mwili wake. Akizungumza na mwandishi wa Mwananchi ndugu wa mgonjwa huyo ambaye hakutaka jina lake...
 14. Zee la shamba

  Is V.G. Chavda back in town?

  Fresh controversy erupts over current immigration status of notorious businessman deported in 1996 THISDAY REPORTER Dar es Salaam CONFUSION surrounds the current immigration status of controversial businessman Vidyadhar Girdharlal Chavda, who was kicked out of the country in the 1990s...
 15. Zee la shamba

  Masha adai wawekezaji wa madini waligoma

  Na Frederick Katulanda, Mwanza NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha amesema wawekezaji katika sekta ya madini nchini waligoma kubadilisha mikataba yao kwa madia ni makubaliano hali yaliyokuwa yamekwa kwa mujibu wa Sheria ya Madini. Masha alisema hayo, wakati akijibu hoja...
 16. Zee la shamba

  Wanafunzi 400 uhasibu wakwama kwa Msolla

  WANAFUNZI wapatao 400 wa Chuo cha Uhasibu Arusha wako hatarini kufukuzwa masomo baada ya Wizara ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, kuwathibitishia kuwa hawawezi kupata mkopo wa Bodi ya Mikopo, kwa vile hawana sifa. Juzi wanafunzi hao walikwenda Dodoma kuonana na Waziri Peter Msolla...
 17. Zee la shamba

  Chokoraa wengi Baba zao ni Wabunge?.

  Mbunge wa Tarime (CHADEMA) Chacha Wangwe, kama kawa ametoa kimbwanga Bungeni kuwa watoto wengi wa mitaani baba zao ni wabunge. Wangwe ambaye kila kukicha huwa anaibuka vimbweka vya aina yake alitoa kali ambayo inaweza ikawa ya kweli hiyo alipokuwa akichangia katika kamati ya Wizara ya...
 18. Zee la shamba

  Mwakawago ataka wanaotuhumiwa kwa ufisadi wajiondoe

  MWASISI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na aliyekuwa Katibu Mtendaji wa pili wa chama hicho, Balozi Daudi Mwakawago amewashauri viongozi wa serikali wanaotuhumiwa kwa ufisadi wajiondoe katika nafasi wanazoshikilia kwa sasa ili kupisha uchunguzi huru kuhusu madai hayo. Akizungumza na Mwananchi...
 19. Zee la shamba

  Karugendo

  na padri privatus karugendo Baada ya kuona kwamba si wote wanaoimba yale yanayompendeza kama alivyotarajia, sasa mkubwa ameamua kutoa amri na maelezo ambayo kwayo yatawakatisha tamaa wanaomkaba au yatawafanya wafikirie mara mbilimbili kwanza kabla ya kuandika. Zifuatazo ni amri kuu na...
 20. Zee la shamba

  Mafisadi 38 Kutajwa

  Rais asema watafikishwa mahakamani kujibu tuhuma Asema wananchi wakiwaona, wataamini vita inapiganwa Viongozi sasa kueleza jinsi walivyopata ukwasi walionao na waandishi wetu, Dar, Dodoma Source: Gazeti la Mtanzania
Top