Search results

 1. utakuja

  Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

  Naona bwana High Life anapost mzigo wa kwanza kutoka kwao pamoja na hiyo 1 year warranty. Sent using Jamii Forums mobile app
 2. utakuja

  Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

  https://instagram.com/xiaomitz?igshid=17xje5rq8rtbo Xiaomi/Distributor wao wameanza Officially Tanzania au? Maana hii itakuwa nzuri sana. Sent using Jamii Forums mobile app
 3. utakuja

  Hivi TCRA wanaweza kutupa sababu za msingi kwa nini bei ya internet Tanzania ni zaidi ya mara kumi ya bei ya internet Rwanda?

  Kwa hiyo wakuu, huyu jamaa kafungua sijui Excel yake na kaandika namba zisizo na kichwa wala miguu, then mmekaa serious kabisa mnakubaliana naye. Hamna link ya hii tafiti wala nini mtu kajiandikia tu vitu vyake. Comparison ya kawaida Ya vifurushi vya Airtel Rwanda na Airtel Tanzania...
 4. utakuja

  Je, ungependa kupata taarifa za miamala yote iliyofanyika kwenye kadi yako ya manunuzi mtandaoni?

  Mwanzo nilidhani anachosema mtoa mada ni uongo/wizi, lakini kumbe kweli; ukitaka kusoma statement ya kadi yako ya M Pesa Mastercard unaenda kwenye site hiyo tajwa.
 5. utakuja

  Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

  Inategemea ni mzigo gani unaongelea kama simu ni customs duty 0.6%+Railway Development 1.5%+ Vat 18% kama ni electronics ni Import duty 25%+ customs duty 0.6%+Railway Development 1.5%+ Vat 18% . - / Kama ni bidhaa za nguo au furniture chukua ya juu hapo ongeza Excise duty 10% au sometimes...
 6. utakuja

  Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

  Kwa watu mnaonunua bidhaa za bei kubwa kutoka AliExpress: ningependa kuwa sisitizia muwe mnajilinda kwa kurekodi unboxing zenu. Kama mimi kwa mfano, nikipokea mzigo wangu toka posta siufungui, nafika home, nachukua simu yangu naiweka kwenye kaangle flani then naanza kufungua box na kutoa kitu...
 7. utakuja

  Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

  Itakuwa labda sababu ya ujenzi unaendelea maana mimi pia nina mzigo tokea tarehe 28 upo customs tu
 8. utakuja

  China yazindua 5G technology nchi nzima. Mitandao yote ya simu kutoa 5G kuanzia Ijumaa

  5G ni bado sana kama Technology, na haipo ready kusambazwa kila mahala kwa kuwa inahitaji kuwepo na 5G node kila baada ya metre kadhaa na bado hawawezi pitisha frequency kiurahisi ndani ya nyumba. Angalia tests mfano: Usipo kuwepo katika clear line of site na node huwezi pata...
 9. utakuja

  Unatumia bando la internet kiasi gani kwa mwezi?

  Kwenye simu pekee ninatumia GB 80 hivi kwa mwezi, lakini ukiongeza vifaa vyangu vingine, matumizi yangu ni GB 200+.
 10. utakuja

  Napata wapi Xiaomi Android TV Box

  Kama walivyo sema wengine hapo juu, Agiza mi box aliexpress tu ujifunze ulimwengu wa online, tena nakumbuka yangu ilifika baada ya wiki. Muhindi anaziuza 255k, wachina pamoja na usafiri hadi Tanzania haivuki 165k (hii ni store yenye reviews nzuri kuliko zote) . Chaguo ni lako.
 11. utakuja

  Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

  Unaweza kupakua app kama 17track kwenye playstore na ukaingiza tracking number ya huo mzigo kwenye hiyo application na ikakuonyesha umefika wapi. Lakini kwa mizigo mingi ukishakua shipped mfano na China Post, Singapore post n.k hutoana update yoyote mpaka pale utakapokuwa scanned Tanzania.
 12. utakuja

  iPhone 6 plain VS Samsung S6 plain

  Ohh kweli mwisho ni iOS 12, 6S ndio iOS 13 (mtoa mada bora uchukue hii AliExpress zinauzwa 360k). Hayo maswala ya custom roms nitawaachia nyie nilistaafu hayo mambo miaka 4 iliyopita.
 13. utakuja

  Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

  Bora umjaribu huyo MI Store, maana huyu MI FRANCE kwangu ni mwanzo na mwisho kwa alivyonisubirisha.
 14. utakuja

  Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

  Katuma kwa Singapore post na tracking inasoma "Despatched to overseas (Country code: TZ)" so kila kitu kikienda vizuri na TRA wakinisahau by tarehe 28 itakuwa hapa. Nilichagua rangi Black sababu ilikuwa cheapest muda huo.
 15. utakuja

  iPhone 6 plain VS Samsung S6 plain

  Nimetumia Samsung galaxy s6 kwa miaka mingi, na kiukweli nakushauri uchukue iPhone 6, na sababu kubwa ni iOS 13. Galaxy s6 ni nzuri (especially screen yake) lakini haina update yoyote ipo kwenye Android 7, pia battery life yake ni mbaya; sasa kama hiyo ni used unaweza kiutupa because utakuwa...
 16. utakuja

  Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

  Bahati nzuri tu nilikuwa sina uharaka na hii simu, kwa kuwa niliagiza vifaa vya kutengeneza simu yangu ya zamani na vilifika faster so nikaiacha tu. Pia nilikuwa nimejiandaa kisaikolojia maana comments nyingi za wanunuzi zilikuwa zina sema wamesubiri hadi mwezi mzima kutumiwa mzigo.
 17. utakuja

  Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

  Mi France kanikera sana, niliagiza Mi9t kwake tarehe 18 mwezi uliyopita, katuma mzigo leo hii tena ni baada ya message kibao sana. Ngojea nicheki kama katuma kweli au wameweka tracking number kama kuninyamazisha, maana nimewasumbua kweli.
 18. utakuja

  Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

  Mzigo kuwa FGN au DP inategemea na tracking number utakayopewa, nikimaanisha kama seller atakutumia mzigo kawaida au kama Regista. Kwa uzoefu wangu mimi FGN inakuwa mizigo ile niliyolipia shipping na tracking number yake inakuwa inaanza na R (RP au RB kutegemea kama mzigo umetumwa na China...
 19. utakuja

  Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

  Mkuu tulia kidogo hadi tarehe 8 wakimaliza hii sikukuu yao fantacy tech atakuwa ameshakupa jibu, au pitia kwenye comments zile za wengine wenye order kama yako na unaweza kukuta mmoja wao kaandika declared value.
Top