Search results

 1. B

  Je huu ndio ukweli kuhusu BOT?

  Nimepata mail iliyo na tuhuma kuhusiana na BOT.Je kuna ukweli wowote kwenye mail hii? Hii ni habari halisi na ya uhakika kutoka ndani ya BOT. Je unawajua walioajiriwa kusimamia uchumi wa nchi yetu na kutuletea mafanikio? Pokea taarifa ya wateule hawa. Nakutajia kwanza wachache ili wewe...
 2. B

  Wapinzani watoa wosia kwa wake zao,wawasihi wananchi kuendeleza uasi mtakatifu.

  JK awaamsha wapinzani na Mobini Sarya SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kutoa kauli akijibu tuhuma zilizotolewa na viongozi wa upinzani dhidi ya viongozi kadhaa wa serikali, wapinzani hao nao wamejibu na kusema kauli ya Kikwete inalenga kupotosha kile ambacho wao...
 3. B

  Huyu Mbunge ni tapeli au tumuiteje?

  Mbunge maarufu CCM matatizoni na Martin Malera MBUNGE wa Iramba Mashariki, Mgana Msindai (CCM), anasakwa na polisi kwa tuhuma za kujipatia zaidi ya sh milioni 191 kwa njia ya udanganyifu, kutoka kwa mfanyabiashara Joseph Mushi. Mfanyabiashara huyo ambaye ni Mtanzania anayeishi...
 4. B

  Je huu ni ubaguzi au ubinafsi?

  Safari ya Kapuya India yazua jambo na Mwandishi Wetu UAMUZI wa kumpeleka Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Profesa Juma Kapuya, nchini India kwa ajili ya matibabu kufuatia ajali aliyoipata jimboni kwake hivi karibuni, umelalamikiwa na baadhi ya watu. Watu kadhaa...
 5. B

  Hadi sasa nani kaenda mahakamani kumshtaki Dr. Slaa?

  Waliopania kumshitaki Dk. Slaa waendelea kujiandaa? na Happiness Katabazi HADI jana hakuna hata mmoja miongoni mwa watu waliotajwa wakituhumiwa kuwa ni mafisadi, aliyekuwa ametekeleza azima ya kumfungulia mashitaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod...
 6. B

  Arusha na Musoma nao wazomea Mawaziri,mwendomdundo.

  Ziara za mawaziri mikoani balaa 2007-10-08 09:27:14 Na Waandishi Wetu Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Bw. Henry Daffa Shekifu, amelazimika kuingilia kati na kuwasihi wananchi wa wilaya ya Hanang wasimzomee Waziri wa Mipango Uchumi na Uwezeshaji, Dk. Juma Ngasongwa, anaripoti Zillipa Joseph wa...
 7. B

  Tabora wamwambia Ditto kalale, yeye ajibu waambieni wake zenu!

  Sheikh Ponda awaponda mawaziri wa Kikwete na Moses Mabula, Tabora ALIYEWAHI kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Ukiwaona Ditopile Mzuzuri, jana aliingia matatani baada ya kukwaruzana na wananchi katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Batilda Burian...
Top