Search results

 1. GJHariohay

  Uchaguzi 2019 Mfumo wa upigaji kura uchaguzi Serikali za Mitaa

  Wanabodi Bila shaka mko poa. Moja kwa moja kwenye mada........ Naomba msaada wenu, hili swali nimeshindwa kupata jibu lake. Je, tarehe 24.11.2019 mfumo wa uchaguzi/ Upigaji kura na utangazaji wa matokeo utakuaje? Naomba kujibiwa hili swali, je kutakua na upigaji kura au ni kutangaza mshindi...
 2. GJHariohay

  Ujumbe wa wazi kwa Rais Magufuli na Serikali

  Ndugu Mtanzania mwenzangu naomba tuungane ujumbe huu umfikie Mh Rais wa JMT. Habari wana JF. Mimi huwa sio mwandishi mzuri sana, huwa napenda kusoma nyuzi za humu na kupitia comments za wadau. Naomba leo nitumie forum hii kumpa ujumbe MH.Rais JPM na Viongozi wengine wote. Najua fika wengi...
 3. GJHariohay

  Wapinzani ondokeni Bungeni rudini majimboni kwenu

  Wanajamvi habarini. Haya ni maoni yangu binfsi. Awali ya yote naomba kuwa muwazi kwamba mimi ni miongoni mwa wasiopendezwa na jinsi nchi inavyoongozwa kwa sasa. Sikubali utawala huu kwa mambo mengi sana. Kubwa zaidi ni mtawala kukataa katiba mpya ya wananchi ambayo yeye alikuwa mmojawapo...
 4. GJHariohay

  Hili Neno kutoka kwenye Biblia Takatifu lilinijia muda nikiwa usingizini.

  Mithali:28.16 Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana; .... Mwana JF anaeweza kutafsiri Biblia vema atusaidie. Nimepost kwenye jukwaa hili la Siasa nikiwa na maana kubwa sana, moods msiondoe huu uzi hapa.
 5. GJHariohay

  Kwenu dada zangu:HUU NI MWAKA WA MABADILIKO.

  DADA ZANGU HUU NI MWAKA WA MABADILIKO. TAKE IT OR LEAVE IT. Umempata bwana... Umempenda kweli... Umemlalamikia kwa nini hakupeleki kwa wazazi.. Bwana akakupeleka kwa wazazi wake kukutambulisha. Siku ya kwanza umeshinda unachat... Siku ya pili umeshinda unachat... wanakutazama tu, Siku...
 6. GJHariohay

  Natafuta kazi ya UHASIBU.

  Wanabodi habari..... Kama kichwa cha somo ilivyoeleza hapo juu. Nimeona niliweke hapa labda mmoja wa wanajukwaa anaweza kunisaidia. Nina qualifications zote, atakaeguswa naomba asisite kuja dm. Hata kwa ushauri na kubadilishana mawazo, Maisha ni kusaidiana, Ahsanteni sana, Mbarikiwe
 7. GJHariohay

  Shunie: The thread is special for you.

  Kama kichwa cha habari ilivyoeleza, naomba nitunuku hili jamvi leo kwa mrembo ninaempenda sana humu Shunie. Namkubali sana, kila siku lazima nipitie comment yake humu, siawahi kuwasiliana nae PM wala sikumbuki kama nimewahi kuquote comment yake but hayo yote hayana maana kuwa hana thamani...
 8. GJHariohay

  Agenda kuu: Tunataka Tume Huru Ya Uchaguzi

  Tume ya uchaguzi ya sasa haina sifa hata ya kusimamia uchaguzi wa mtaa au kitongoji. Tunataka tume huru ya uchaguzi itakayoweza kusimamia,kuheshimu na kulinda sheria za uchaguzi. Sio muda wa vyama vya upinzani kuibembeleza tume ambayo imeshaonyesha jeuri na kiburi wala haiwezi kuheshimu na...
 9. GJHariohay

  Upinzani unatoka kwenye Agenda bila kujielewa

  Habari zenu mabibi na mabwana. Nimefuatilia kwa utulivu mjadala wa ununuaji wa wabunge na viongozi wetu unaoendelea majukwaani. Mjadala huu umeonesha wazi kuwa wapenda mabadiliko wamefikia hata kukata tamaa. *Hapana msikate tamaa!* Naomba niahirishe maumivu yenu kwa muda wakati dawa kamili...
 10. GJHariohay

  Wito wa dharura kwa CHADEMA

  Najitokeza kwenu wanajamii. Naomba kutumia jukwaa hili kufikisha ujumbe huu kwa viongozi, wapenzi na wanachama wote wa CHADEMA. _STRATEGICALLY Kifanyike kongamano la dharura cha wasomi wote nchi nzima ambao ni wanachama wa CHADEMA. Hiki ni chama chenye wasomi wengi kuliko CCM,ni chama cha...
 11. GJHariohay

  Wanasiasa, Damu iliyomwagika ipo juu yenu

  KWANINI UMWAGE DAMU YA NDUGU YAKO ?? Naandika kwa masikitiko makubwa sana. Either ndie ulieshika Rungu ama panga na kumnyooshea binadamu mwenzako kuiumiza nafsa yake ama ulishiriki kwa namna yeyote ile ya mikakati michafu kama hiyo. Huwezi kukwepa................ Ndugu wanajamii labda nianze...
 12. GJHariohay

  Moyo wangu una majonzi, yako wapi mapenzi ya dhati?

  Ndu zangu wana jamvi.... Naomba nieleweke hivi, nimechoka, sijui tatizo langu ni kwamba napenda sana bila kiasi, nimepitia kwenye mahusiano kama matatu sasa toka nijue mapenzi ni nini, mwanamke wa kwanza aliniumiza sanaa, nililia mwanaume machozi ya kila aina, sikuwa tayari aniache, nilikuwa...
 13. GJHariohay

  Ni nini lengo la Sheria ya kuzuia siasa nje ya Jimbo?

  SHERIA YA KUZUIA SIASA NJE YA JIMBO NI KUJENGA UKANDA, UKABILA NA UBAGUZI KWA TAIFA. Naona kuna sheria inatungwa, bahati mbaya au nzuri,au mbaya zaidi,inatungwa kipindi ambacho wizara ya sheria inaongozwa na maprofesa wawili,mmoja waziri,mwingine katibu mkuu,wote matunda ya University of Dar es...
 14. GJHariohay

  Nahitaji mchumba

  Nina miaka 29, nahitaji msichana alie serious na yuko tayari kuolewa ndani ya mwaka mmoja. Atleast awe na kazi inayompa rizki yake (not neccessary). Umri kuanzia miaka 21_25. Dini sio kikwazo. Mengine tutamalizana DM. Just be serious Karibuni wadada.
 15. GJHariohay

  Kwako Rais Magufuli

  Magufuli Tumekukosea Nini?? Nayaandika haya kwa machungu makubwa sana. Ulituomba kura, uliongea kwa uchungu sana ukidai unahitaji kuwasaidia Watanzani, ulilia hadi machozi majukwaani, uliishiwa mpaka sauti kwa kueleza machungu yako uliyokuwa ukiyapata kwa sababu ya umaskini, uduni wa maisha...
 16. GJHariohay

  Tetesi: Prof. Lipumba kuwaandikia barua ya onyo wabunge wa CUF waliotoka nje Bungeni

  Habari wana jamvi. Mnyetishaji wa karibu sana na huyu jamaa amenieleza kuwa huyu Bwana anakusudia kuwaandikia barua za onyo kali wabunge wote wa CUF waliotoka nje ya Bunge leo wakiungana na wenzao wa UKAWA kwa kile walichodai kutowatambua wabunge wa Profesa wanaoapishwa leo hii. Hii habari ni...
 17. GJHariohay

  Uchochezi.

  "HAKO KANAKOTOKANA NA CHADEMA" Kama nukuu hii hapa chini ni sahihi, basi umuhimu wa upinzani na mawazo mbadala kwa Rais wa nchi hii hauonekani au hautakiwi kabisa. Kwa namna hii tutoe ushauri tena kwamba SERIKALI HII IPELEKE MUSWADA WA SHERIA BUNGENI KUFUTA MFUMO WA VYAMA VINGI HAPA NCHINI NA...
 18. GJHariohay

  Sitarudia kuitetea tena CCM. Nimechoka

  Wanabodi habari za jioni,Poleni sana na Majukumu Awali ya yote naomba kudeclear interest, mimi ni CCM , Damu yangu ya kijani kibichi kabisa, mzalendo wa hali ya juu. Najitokeza rasmi mbele yenu leo hii kuonesha hisia zangu kuhusu uteuzi wa Mh. Anna ambae ni Mwenyekiti na Chama cha upinzani...
 19. GJHariohay

  Tundu Lissu: Kushtakiwa kwa uchochezi katika Tanzania ya Magufuli ni "Beji ya heshima"

  Watu wetu wengi sana wamekamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya uchochezi. Wengi wanaendelea na wataendelea kukamatwa na kushtakiwa kwa makosa hayo. Kushtakiwa kwa uchochezi katika Tanzania ya Magufuli ni 'beji ya heshima' (a badge of honour.) Ni kufuata nyayo za Mwalimu Nyerere, maana Mwalimu...
 20. GJHariohay

  CHASO Dar es Salaam: Taarifa kwa umma

  Uongozi wa CHASO mkoa wa Dar es salaam Leo jumatatu ya tarehe 22/8/2016,unapenda kutoa kauli na msimamo wetu juu ya mambo yafuatayo. 1.Tamko la UVCCM kuhusu kufanya mikutano na maandamano nchi nzima kumpongeza rais kwa utendaji wake,CHASO tunaona tamko la UVCCM kama kichekesho na ndoto...
Top