Search results

 1. K

  Membe Ubalozi karibia utafungwa kule Brussels

  Ndugu Membe nimetokea ubalozini muda huu kutafuta huduma basi sijakuta mkubwa yeyote wako wadogo tu pale ndani ambao hata majibu ya maswali yangu hawakuwa nayo na nimeondoka bila ya kuhudumiwa .Wote wana tetemeka hawana heating system katika jengo wiki nzima hii .Inasemekana wanaweza kufunga...
 2. K

  Serikali itathmini safari za viongozi - Kigoda

  na Salehe Mohamed SERIKALI imetakiwa kufanya tathmini ya faida za safari zinazofanywa na viongozi mbalimbali nje ya nchi kutafuta wawekezaji. Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali, Dk. Abdallah Kigoda, alisema hayo alipochangia mada kwenye semina ya wabunge kuhusu mwongozo wa...
 3. K

  Spika aandamwa kwa visasi - Bunge

  na Mwandishi Wetu OFISI ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imesema Spika wa Bunge, Samuel Sitta, ana maadui wanaoathirika na maamuzi ya Bunge pamoja na wafanyakazi wachache wa ofisi hiyo wenye nongwa na ambao wameshindwa kwenda na dhana ya viwango na kasi katika utendaji wao...
 4. K

  Lowassa anyimwa Visa ya kuingia UK?

  Ninapewa habari muda huu kwamba ndugu aliyekuwa Waziri Mkuu asiye mstaafu kwa mujibu wa Sheria baada ya kuondoka toka Dodoma na kutulia Dar kabla ya kwenda Monduli aliomba Visa ya kwenda UK akapigwa chini.Habari za kupigwa chini kwenye maombi yake hazijajulikana lakini nadhani vyanzo vya Ubalozi...
 5. K

  Serikali sasa yalea mafisadi wa BoT

  Serikali sasa yalea mafisadi wa BoT Waandishi Wetu Machi 5, 2008 Ukusanyaji wa fedha za EPA BoT UAMUZI wa kupokea fedha zilizoibwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) bila kuwachukulia hatua wahusika, unaashiria uchafu na Serikali kukumbatia ufisadi waziwazi, imeelezwa...
 6. K

  Richmond yaibukia Uganda

  Richmond yaibukia Uganda Waandishi Wetu Machi 5, 2008 SAKATA ya kampuni hewa ya kufua umeme wa dharura, Richmond Development LLC, ya Marekani, limevuka mipaka na kujadiliwa nchini Uganda katika mkutano wa wataalamu wa hali ya hewa, ambao wanasema kwamba Serikali ya Tanzania...
 7. K

  Zitto Mungu akubariki tuko nawe kwa sala-TEC

  Ndiyo nimeibuka kutoka hapa Kurasini kwa Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania na maneno ya kichwa cha habari hicho ndiyo maneno nimeambiwa nimweleze Mh. Zitto kupitia njia yeyote ile. Kwa kuwa mimi sina ukaribu naye ila nimegundua kwamba ni mwanachama hai wa JF mimi naufikisha ujumbe huu...
 8. K

  Nia si kuelezea bajeti ila kumkabili Dr.Slaa na Zitto: Maben

  Jana katika pita pita yangu nimejikuta nikiwa Mbagala. Kuangalia pembeni nikamuona Mabene Mbunge wa Geita -CCM. Nikatambulishwa na kumsalimu kwa jina Buzwagi . Akacheka akasema kijana haya ni mambo makubwa. Nikamuuliza kuna nini Buzwagi akasema ni shwari kabisa .Nikamkazia macho na maswali...
 9. K

  Ziara za Arusha na Michango:Lowassa unatafuta nini ?

  Kwa muda sana kumekuwa na ziara nyingi mikoani kwa waziri mkuu mkuu. Katika ziara hizo kaenda mara nyingi sana Arusha kuliko mahapa pengine popote . Na kila akienda lazima kuna mkutano na michango kibao ya pesa. Najua mtasema anaenda kwao ni sawa lakini ni kweli safari ya mapumziko lazima kuwe...
 10. K

  Ni kweli hawa ni Watanzania wa kweli au ...

  Mimi Kimbembe Leo nimekuja na hoja nzito inaweza kutugawa ama kusema no Kimbembe wewe mbaguzi lakini ni kweli kwamba nina haki ya kusema mawazo yangu na kusikia maoni yako. Mwa muda wa miaka 40 na zaidi ya Uhuru wa Tanzania tuan Watanzania wazalendo kama mimi na wewe na wazawa pia lakini pia...
Top