Search results

 1. K

  Mamlaka kwanini zinamuogopa DC wa Tabora Mjini Komanya Kitwala?

  Huyu DC ndie DC wa hovyo kuzidi hata yule wa Kilolo. 1. Tangu ateuliwe kuwa DC kazi yake ni kujisifu mbele ya watumishi ,madiwani,wana CCM na hata mbele ya mikutano ya wananchi wakawaida. 2. Alianza kugombana na dereva wa DC ambae alimkuta akimuendesha DC Qeen Mulozi ambae ni DC aliekuwa...
 2. K

  CCM wapita bila kupingwa nchi nzima.

  Wapinzani wameweka mpira kwapani,wameogopa kishindo cha CCM sasa ni rasmi kila mtaa kwa sasa ni mali ya CCM,wasimamizi wengi nchi nzima wamewatangaza wana CCM kupita bila kupingwa baada ya tamko la pili la waziri Jafo. Wapeni mihuri wateule waanze kazi ya kuwatumikia watanzania hadi 2024...
 3. K

  Maelfu ya watoto wa wanyonge wenye Division one wakosa mkopo HESLB

  Bodi ya mikopo imetoa awamu mbili za mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Kwa kweli inashangaza kuona watoto wa wanyonge tena waliofaulu vizuri masomo ya sanaa na sayansi wamekosa mkopo. Mtaa ninaoishi vijana wote waliosoma kwa shida na kufaulu vizuri wamekosa mkopo. Mamlaka litazameni hili...
 4. K

  Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

  Kumekuwepo na vijembe na lugha za kejeli zinazotolewa na baadhi ya viongozi kutuhumu awamu zilizopita hasa awamu ya tano kana kwamba wao waliiba na hakuna maendeleo waliyoyafanya. Orodha ni ndefu mimi nayakumbuka haya. 1. Daraja la Kigamboni 2. Daraja La Kilombero 3. Daraja la Umoja 4. Daraja...
 5. K

  Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu mfumuko mkubwa wa bei kwenye vifaa vya ujenzi inamaana gani?

  Moja kwa moja kwenye mada,bei ya vifaa mbalimbali vya ujenzi imeruka kama ifuatavyo. Mikoani bei ya Mfuko mmoja wa saruji(cement) umepanda kutoka 14500 nwezi wa februari hadi 20000 bei ya leo. Nondoimepanda kutoka 15000 hadi 18000.. Bati chapa Kiboko zimepanda kutoka Tsh 240,000 hadi 320,000/=...
 6. K

  Hivi kuna watumishi waliobadlishiwa mshahara tangu kupewa barua za kupandishwa madaraja mwezi Juni 2019?

  Enzi za JK alieongoza serikali ya wapigaji,wafuja mali na wezi (kwa mujibu wa Musiba na ccm mpya)Kila mwaka Mtumishi akipewa barua ya kupandiswa cheo basi mwezi unaofuata anaanza kufurahi mshahara mpya. Enzi za Rais JK Kila mshahara wa mwezi wa julai,familia zilikuwa zinabadilisha mlo. Lakini...
 7. K

  Serikali yetu ina makusanyo makubwa,lkn kila sehemu mambo hayaendi.

  Facts. 1.Hakuna nyongeza ya mishahara. 2.Madiwani hawalipwi karibu nchi nzima 3.Miradi ya maendeleo iliyopitishiwa bajeti haipewi fedha kwa angalau 50%. 4.Ofisi nyingi za serikali hazina hata ream za karatasi(OC haziendi kwa wakati na kwa kutosheleza. 5.Miradi mikubwa inatekelezwa kwa...
 8. K

  Jinsi "Approver"anavyotumika kuwanyima haki watumishi

  Ndugu wana jamvi muhimu la JF. Serikali baada ya kuzuia kupanda madaraja kwa takriban miaka minne(Tangu 2015). Hatimae imetoa kibali kwa watumishi wote wa umma waliotumikia vyeo vyao kwa miaka minne au zaidi kupandishwa madaraja,kwa hili naipongeza serikali kwa kuwapa haki yao watumshi. Licha...
 9. K

  Chenge apewe nafasi ya Uspika, Ndugai apumzike ili kuiepusha CCM na aibu

  Katika ulimwengu wa sasa,ulimwengu ambao watanzania wengi wana uelewa na kuweza kuhoji kila sentensi inayotolewa na Kiongozi,ni wazi kuna haja yakurekebisha Bunge letu. Baada ya utumushi wa Spika Ndugai,nimelinganisha na Spika aliepita vs mahitaji ya wananchi kwa sasa. Nimekubali kuwa Mama...
 10. K

  Wananchi kumuondoa Rais Al Bashir wa Sudani kwa aibu Nkamia na wapambe wenzake wamejifunza?

  Ndugu wanabodi,ni wazi kuwa Sudani chini ya Rais Al Bashir ilikuwa na intelligence kubwa kubaini wasaliti. Sudani ilikuwa na jeshi imara huku kitengo cha Usalama kikiwa kazini kwa muda wote kulinda maslahi ya Al Bashiri na washirika wake. Hata hivyo wananchi walipoamua kupinga mauaji...
 11. K

  Msajili aifutie usajili CCM kwakuwa kiongozi wao aliongoza kuchoma kadi za ACT kinyume na Sheria

  Inamaana Msajili hakuona jinsi Katibu wa CCM kigoma mjini akivyoongoza zoezi la kuchoma kadi za ACT-Wazalendo? Hii chuki inayopandikizwa na Msajili anajua hasara yake kwa taifa? Hivi kama hutaki watu wawe na vyama vya siasa,na kila wanachofanya wewe unadhibiti unataka waanzishe vikundi vya...
Top