Search results

 1. Augustine Moshi

  Election 2020 Bunda: Haijawahi kutokea Esther Bulaya avunja rekodi akusanya watu kwa maelfu,Wazee wa mji wasema niyeye tu Bunda Mjini Oct 25

  Kwa kawaida binadamu huchukia uonevu. Ndivyo alivyoumbwa. Na hukaa upande wa anayeonewa. Brutality ya polisi dhidi ya Chadema inawasukuma sana watu kusimama upande wa Chadema. Hamuoni aibu kumtumia huyo binti maaskari waliosheheni silaa za vita? Kwanini huyo Binti asiachwe aongee na wapiga...
 2. Augustine Moshi

  Election 2020 Bunda: Haijawahi kutokea Esther Bulaya avunja rekodi akusanya watu kwa maelfu,Wazee wa mji wasema niyeye tu Bunda Mjini Oct 25

  Unafiki wa viongozi wa ccm unatisha. Hawataki vyama vingine hata kidogo. Hizi porojo za "mniombee" ni unafiki wa kutisha. Kifupi ni kwamba ccm ni kizazi cha nyoka. Chama hicho na polisi wake wamekuwa den of vipers. Mungu tunusuru, kwani watamwaga damu mwaka huu. Tena labda nyingi. Dalili zote...
 3. Augustine Moshi

  1968 Oscar Kambona interview

  Ukipenda kuelewa vizuri mchango wa Oscar Kambona, soma kitabu hiki: THE MAKING OF TANGANYIKA byJudith Listowel. Published by Chatto and Wundus, 1965. Kitafute kwenye maktaba za Tanzania. I read it about 40 years ago, and it left a lingering impression on me. Inawezekana Kambona alifanya makosa...
 4. Augustine Moshi

  Maneno Hayavunji Mfupa

  Wakati mwingine ukoko unaweza kupatikana kwenye chungu ambacho kinapika chakula kizuri sana. Yaani unapata kitu kizuri na ukoko pia. Our man gets it done, big time.
 5. Augustine Moshi

  Maneno Hayavunji Mfupa

  Hii ni pointi nzuri sana. Mifupa inaweza wakati mwingine ikavunjwa na consequences za maneno, na sii kwa maneno yenyewe.
 6. Augustine Moshi

  Pendekezo: Kiswahili kitumike kama lugha ya kufundishia ngazi zote za elimu, ili tukomboke kifikra

  Ziko faida na pia hasara za kufundisha kwa Kiingereza. Na naongelea kufundisha kwa Kiingereza kuanzia darasa la 3 kama ilivyokuwa ikifanyika hadi 1965. Kipindi hicho mhitimu wa elimu ya msingi alikuwa anafahamu Kiingereza kiasi cha kutosha kusoma vizuri masomo ya sekondari, kwa Kiingereza. Na...
 7. Augustine Moshi

  Maneno Hayavunji Mfupa

  Siko kwenye ulaji awamu hii, na sijawahi kuwa serikalini. Sana sana nimefanya kazi ya kufundisha.
 8. Augustine Moshi

  Maneno Hayavunji Mfupa

  Ni kweli ilibidi aajibishwe. Chungu hakikosi ukoko. He is good but not perfect.
 9. Augustine Moshi

  Maneno Hayavunji Mfupa

  Mtukufu wa awamu ya kwanza alisema hatawavumbia macho wabadhirifu wa mali ya umma na wazembe. Lakini aliwafumbia macho. Sana sana alikuwa anawabadilishia majukumu tu. Mrithi wake akasema angetumia fagio la chuma kukomesha ufisadi. Lakini ufisadi ulishamiri vizuri sana wakati wake. Wa awamu ya...
 10. Augustine Moshi

  Joseph Selasini asema tatizo la CHADEMA ukiwa na mawazo tofauti unaitwa 'Snitch', Msaliti, Usalama, unatumika na mwisho, unataka kuhama

  Nguvu ya Chadema ilitokana na kupigia kelele ufisadi. You (we, as I supported Chadema wholeheartedly and made financial contribution) lost that when we dumped Slaa and embraced the person we had identified as the personification of corruption. We have lost the plot, I am afraid.
 11. Augustine Moshi

  Nafikiri NIDA wanapaswa kuwajibika kwa uzembe na ndio pekee walipaswa kupewa ukomo wa muda sio wananchi

  Nilipata kadi ya kitambulisho toka NIDA miaka 7 baada ya kuomba. Niliomba walipoanza mwaka 2012 na nikapata 2019. Mara mbili hapo katikati ilibidi nianze upya kwani waliniambia maombi yangu yalipotea. You cannot get milk out of a tree. Inabidi kuanza na ngombe, na sio mti, kama unataka maziwa...
 12. Augustine Moshi

  Joseph Selasini asema tatizo la CHADEMA ukiwa na mawazo tofauti unaitwa 'Snitch', Msaliti, Usalama, unatumika na mwisho, unataka kuhama

  Mimi ni mzaliwa wa Rombo na mimekuweko huko Noeli iliyopita. Niliulizia kuhusu umaarufu wa Mh Selasini. Hakuna anayeweza kumpiku kwa sasa. Anakubalika sana sana. Atapata kura nyingi irrespective ya chama atakachokuwa. Rombo wanachagua mtu, sio chama. I proposed, four years ago, that Chadema...
 13. Augustine Moshi

  Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

  Yesu hakutuachia Biblia. Alituachia Kanisa. Kulikuwa na vitabu vya Agano la Kale wakati wa Yesu, lakini vitabu vya Agano jipya viliandikwa na wafuasi wa Yesu baadaye. Biblia haitaji ni vitabu vipi ndivyo Neno la Mungu. Uamuzi wa ni vitabu gani ni Neno la Mungu ulifanywa na Mtaguzo Mkuu wa...
 14. Augustine Moshi

  Uchaguzi 2019 Dhuluma ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yatinga kwenye vyombo vya habari vya Kimataifa

  The people in green are acting like savages. May be they are savages. Huyo mwenye tofali anaitwa nani?
 15. Augustine Moshi

  Picha ya Rais: RC Makonda amtaka Msanii Idris Sultan kujisalimisha kituo cha Polisi

  Grin and bear it Mr Makonda. Au utakonda bure.
 16. Augustine Moshi

  Mjapan: Kwa kasi hii ya maendeleo Rais Magufuli alistahili kuishi Japan maana anaamini katika kazi siyo siasa

  Rwanda na Tanzania zimepata viongozi wenye kuleta maendeleo. Si wanademokrasia lakini ni wasimamizi thabiti wa ujenzi wa nchi. Siungi ccm mkono ila namwunga Magufuli mkono kwa dhati. Mola amjalie maisha marefu. I know a good thing when I see one.
 17. Augustine Moshi

  RUFIJI: Wanafunzi 320 wanasomea chini ya Mti na kujisaidia porini

  Milioni 5 kwa ajili ya kuimarisha uhusiano na nchi jirani ni good investment. Fedha kidogo sana. Mrejesho wake utakuwa mkubwa, kiasi cha mabilioni. Hiyo shule Rufiji inatia uchungu. Uchungu wa kuona kuna wazazi na serikali za mitaa hawawezi hata kuchimba choo. Ningekuwa mwalimu hapo...
 18. Augustine Moshi

  Kukatika kwa umeme Dar usiku wa jana kwasababisha kibarua cha muongoza mifumo kuota nyasi

  Amemsimamisha kazi, hajamfukuza au kumwachisha. Tusome kwa umakini. Siku za kuzembea bila kuajibishwa zimepita. Hizi ni zama mpya. Zama za Jiwe na Majaliwa. Everybody has to be on their toes. Na kama Waziri hangechukua hatua basi Jiwe angemchukulia yeye hatua.
 19. Augustine Moshi

  Inasikitisha sana: Hivi ni kweli nchi hii tunaweza kukosa ndege au helicopter za ambulance za dharura mpaka tuazime nchi nyingine?

  Kwani huko Afrika ya Kusini na Kenya ni serikali ndiyo zina ndege za kukodisha? No, ni makampuni ya watu binafsi. Tuko bado mno kwenye mtazamo wa kuitegemea serikali. Hawapo tena watu aina ya Ndesamburo wenye mtaji na uthubutu wa kufanya biashara ya kukodisha ndege? Tumezidi mno kujikita...
 20. Augustine Moshi

  Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

  Karibu magari yote yanayopita hapo yanatoka Japan. Japan has a vested interest in road infrastructure in Tanzania. Usidhani misingi ya "misaada" ni upendo.
Top