Search results

 1. Ole

  Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

  On your dreams mate, continue to dream. BTW kama hufahamu Kabendera alikwisha plea bargain muda mrefu ni, kwamba ilikuwa inafanyika hesabu. Wewe endelea kuota hapa JF.
 2. Ole

  Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

  JPM hana mchezo mchezo, akimaliza muda wake kuitawala Tanzania tutaheshimiana. Wacha wapiga zumari waendelee kipiga.
 3. Ole

  Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

  Nyie pigeni porojo JF, lakini mfahamu kuna watu wanaishi Tanzania ya kusadikika. Nini USD approx. 75,0000 au £58,000 kwa Kabendera and co.? ''On the tax evasion charge, he agreed to pay $75,000 (£58,000) within six months. On the money laundering charge, he has already paid a fine of $43,000...
 4. Ole

  Dodoma: Jeshi la Polisi lamuita Cyprian Musiba kwa mahojiano kuhusu tuhuma za kutaka kuuawa

  Dah! Kweli JF ina wenyewe, huu uzi ulianzishwa tangu jana lakini ulimezwa kama nyangumi.
 5. Ole

  Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

  Hili swala liko kushoto kidogo, is this the official Robot or a hoax? As far as I know JF is already bought by a certain party, kulikoni?
 6. Ole

  Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

  Pigeni ukulele pamoja na zumari, katiba ya Tanzania haibadilishwi ati kwa sababu wale waliokuwa wanaiba pesa za walipa kodi na kuwadhulumu raia matunda ya uhuru wao wameshindwa kuiba tena, wameshindwa kuendeleza dhuluma zao, wameshindwa kwenye medani ya ushindani. Hata mkitoa machozi ya mamba...
 7. Ole

  Simple equation inayoitesa CCM na Taifa

  At least you know we know.
 8. Ole

  Election 2020 Watumishi wa umma, chagua CCM 2020 yakukute ya wastaafu wa leo

  Nani kama JPM? Hakuna, hao kina TL, Mbowe na Zito ni makuwadi, wamekwisha pumuliwa kwenye shigo zao wataweza kweli kuwaletea maendeleo Watanzania? Ukiona kiongozi anajiuzauza kwenye nchi za nje kama malaya kwenye bar muogope kama ukoma.
 9. Ole

  Simple equation inayoitesa CCM na Taifa

  kagoshima, Wacha uongo CCM hana mbadala. Hizo SACOS hazifai Tanzania, ni swala la muda tu.
 10. Ole

  Simple equation inayoitesa CCM na Taifa

  At least you know that, and still better the history of Tanzania. Tanzania created SADC, and the country is well respected with partners who respect other countries rights.
 11. Ole

  Freeman Mbowe afika KCMC kumjulia hali Katibu wa Chadema aliyevunjwa miguu na mikono na wasiojulikana

  Baada ya kufuta thread yangu ndio unakuja kujikombakomba?
 12. Ole

  German economy on verge of collapse

  EU summit collapses as leaders struggle to fill €75bn Brexit hole ''A summit of EU leaders seeking to fill a €75bn hole in the bloc’s budget left by Brexit dramatically collapsed after Angela Merkel led major contributors in rejecting a proposal that would have left them paying billions more...
 13. Ole

  Kamishna wa madini atumbuliwa

  Mwacheni JPM aisafishe hii nchi. Yaani hata Watemi wetu walikuwa wanaafadhali ingawa walikuwa hawakusoma.
 14. Ole

  German economy on verge of collapse

  Watanzania wengi sana wanaichukulia UK poa sana, ni nchi ndogo sana lakini ipo makini sana katika kuwawezesha raia wake waendelee kuitawala dunia kwa sababu lugha yao tu ni turufu. Wana vyuo vikuu vyenye hadhi vingi na wapo vyema kwenye mageuzi ya dunia ya leo. Tuige mfano kutoka kwao na sisi...
 15. Ole

  Tanzania miner records 36pc sales boost despite bumps

  A miner in a diamond mine. Williamson Diamond Mine in Tanzania has a 17 per cent increase in production in 2019. Williamson Diamond Mine in Tanzania has announced a 36 per cent increase in sales revenues and a 17 per cent increase in production in 2019. Majority shareholders Petra Diamonds...
 16. Ole

  Mahakimu kupata dharura siku ya kesi ni udhaifu mkubwa wa muhimili wa Mahakama?

  Hapa ndipo JF ilipogota. Mahakimu hawatakiwi kuwa na dharura bali wafanye kazi kama ma-robot. What a stupid idea, and then they should inform tabutupu!.
 17. Ole

  Msimamo Rasmi: Wakati Umefika kwa Freeman Mbowe (MB) Kujiuzulu; na Sekretariati Yake...

  Mbona siku nyingi tu tuliwaambia Chadema ni chama chake yeye binafsi Mbowe kwa maslahi ya ukoo wa Mbowe, msipate shida kulielewa hilo. Kama Watanzania wengine ambao hawakuelewa kwa nini Dr. Slaa alinyimwa haki yake kugombea pale aliponyang'anywa tonge mdomoni. Mna wakati mgumu kumwelewa Mbowe...
 18. Ole

  German economy on verge of collapse

  Brexit inaondoka na wengi.
Top